rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Arusha: Kusomba wanafunzi wa vyuo na mabasi kwenda kumpokea rais Samia kutasaidia? Kuonyesha kuwa anakubalika?

    Mnakuwa mnafanya makosa makubwa sana kumhadaa kiongozi wenu kuwa anakubalika wakati hakubaliki. Leo mmepeleka mabasi ili kusomba wanafunzi kwenye vyuo mbalimbali hapa Arusha ili kwenda kumpokea rais ili watu wajae na mummudanganye kuwa anakunalika. Huu ni ushamba na utapeli wa kisiasa.
  2. M

    Ndejembi amwakilisha Rais Samia mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini Tanzania

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, anamwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania (TMIC 2026). Mkutano huo unafanyika kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba 2026...
  3. Rais Samia kufungua mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi 20-22 November

    RAIS SAMIA KUFUNGUA MKUTANO WA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI Jeshi la Polisi Nchini linatarajia kufanya Mkutano Mkuu wa mwaka 2026, ambao utahusisha Maofisa Waandamizi wa Polisi kuanzia Novemba 2022, 2026 na utafanyika katika Shule ya Polisi Tanzania - Moshi. Mkutano huo, utafanyika...
  4. Rais Samia: MV Mwanza kuiunganisha Tanzania na Uganda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania inatarajia kuanza kwa safari za kibiashara za meli ya MV Mwanza kutoka Mwanza hadi Bandari ya Port Bell nchini Uganda, hatua inayolenga kuimarisha usafiri na biashara katika ukanda wa Afrika Mashariki...
  5. Rais Samia anapaswà kujiuzulu na kuomba radhi watanzania

    Matukio yaliyotokea Oktoba 29 tunayajua wote. Amri ilitoka kwake. Watu kupotea, kutekwa, kufungwa kwa mazingira yenye utata na kuuawa, akiwemo Kibao, ni mambo ambayo yanahitaji uwajibikaji. Hivyo, anastahili kuwajibika waziwazi. Pia, wawekezaji waliowapa nafasi nchini humu wanapaswa kutambua...
  6. R

    Mtukufu Rais Samia , maridhiano yanafanywa na watu wanao tofautiana, sasa hawa marafiki wako wanaokuunga mkono kwa kila kitu mnaridhiana nini?

    Mnaridhiana mnaotofautiana. Hawa vyama shikizi ni washirika wako wakubwa, Hawa ni wasaidizi wako, marafiki zako, mnapeana bahasha, sasa mnaridhiana nini?
  7. CHADEMA hawana hoja zaidi ya kuropoka Rais Samia ameua October 29. Walitegemea ICC kama silaha yao ya mwisho

    Inaumiza sana unafanya kila aina ya propaganda ili vijana waingie kwenye mfumo. Yes, wanaingia mazima kwenye mfumo lakini matokeo yanakuwa sifuri. Baada ya vijana waasi kuadhibiwa kwa shaba October 29 CHADEMA walijua hapa sasa mambo yamekaa vuzuri. Walitumaini Rais Samia sasa atakuwa yuko...
  8. Askofu Mwamakula: Rais wa Tanzania pekee anayewakutanisha viongozi wa vyama vya siasa kama Baraza la Mawaziri na akatoa maelekezo

    Ni Rais wa Tanzania tu duniani kote anayeweza kuwaita viongozi wa vyama vya siasa anavyoita Baraza la Mawaziri na akatoa maelekezo yake! Fikiria Rais Ruto anawaita akina Sifuna, Martha Karua, James Orengo, Rigathi Gachagwa kisha akawa Mwenyekiti wa Kikao chao. Au fikiria Rais Mutharika wa...
  9. Kuelekea safari ya Maridhiano ya kitaifa: Rais Samia afanya mashauriano na baraza la vyama vya siasa

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo, tarehe 16 Novemba, 2026, amekutana na kufanya majadiliano na wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, Ikulu jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Rais amelishukuru Baraza pamoja na viongozi wa vyama vya siasa kwa utayari...
  10. Rais Samia afanya kiako na Wenyeviti wa Vyama vya Siasa nchini

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha na Wenyevyiti wa Vyama vya Siasa baada ya kushiriki katika Kikao na Baraza la Vyama vya Siasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 16 Novemba, 2026.
  11. Rais Samia Suluhu Hassan ang'ara COP31 Uturuki, hoja Nishati Safi ya kupikia mashuleni na Sekta za Afya.

    Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania adhihirisha ubora wake katika sekta ya nishati , Makubwa yanakuja baada ya COP31 Uturuki. #COP131 #SAMIA
  12. Rais Samia amefanya makubwa makubwa katika sekta ya nishati kuliko kiongozi yeyote

  13. HOJA Pendekezo kwa Rais Samia: Kurasimisha sekta ya udalali ili kuongeza mapato ya serikali na kupunguza utapeli

    Hakuna taifa lolote liliendelea dunia i bila ya wananchi wake kuwajibika kulipa kodi, Mheshimiwa Rais Amani iwe nawe, napendekeza Serikali iangalie uwezekano wa kurasimisha shughuli zote za udalali nchini Tanzania kwa kuweka mfumo madhubuti wa usajili, utoaji wa vibali na ulipaji kodi. Kwa...
  14. H

    Dkt. Mwigulu ampongeza Rais Samia kupanua Elimu ya amali

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗠𝗣𝗢𝗡𝗚𝗘𝗭𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗔𝗡𝗨𝗔 𝗘𝗟𝗜𝗠𝗨 𝗬𝗔 𝗔𝗠𝗔𝗟𝗜 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu ya amali nchini, akisema uwekezaji huo unalenga kuwapatia vijana ujuzi utakaowawezesha kujitegemea. “Hii ni hatua kubwa sana, na inalenga...
  15. Maganya: Mzanzibar ruksa kuwa Rais baada ya Samia kutoka

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhil Maganya, amesema hakuna kikwazo cha kikatiba kinachomzuia Mtanzania kutoka Zanzibar kushika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Rais Samia Suluhu Hassan. Maganya ametoa kauli hiyo leo, Ijumaa, Novemba 13...
  16. Dkt. Mwigulu ampongeza Rais Samia kupanua Elimu ya amali

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu ya amali nchini, akisema uwekezaji huo unalenga kuwapatia vijana ujuzi utakaowawezesha kujitegemea. “Hii ni hatua kubwa sana, na inalenga kuwaandaa vijana wa Kitanzania kuwa na ujuzi,” amesema. Dkt...
  17. I

    Rais Samia ataka nishati safi ya kupikia ifikie kila kaya Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito wa kuongeza juhudi za kuhakikisha kila kaya barani Afrika inapata nishati safi ya kupikia, akisisitiza kuwa mafanikio ya ajenda hiyo yanapaswa kupimwa kwa idadi ya familia zinazopata huduma hiyo kwa gharama nafuu na...
  18. L

    Soma Hapa Ujumbe Mzito Wa Rais Samia Aliouandika Kwa Mkono Wake Kutokea Nchini Uturuki Kwenda Kwa Watanzania Na Dunia Nzima

    Ndugu zangu Watanzania, Mama kaongea,Rais wetu Kazungumza,Jemedari wetu Katamka,Kipenzi Chetu Katoa Muelekeo . Dunia Nzima Na Macho ya Dunia Nzima Kwa Sasa Yapo Alipo . Alipo Ndipo Palipo na Majibu na Majawabu ,Ndipo Palipo Na Dira na Muelekeo,Ndipo Palipo na Tumaini kuu la Dunia nzima . Rais...
  19. Nimeipenda hotuba ya Rais Samia UN, ameshangiliwa sanaa. Tunasonga mbele

    Hotuba fupi lakini yenye maana kwa kila neno. Kilichonishangaza ni makofi mengi kwake. makofi mengi haya maana yake nini? Utasema naongea uchawa lakini hebu sikiliza mwenyewe hapa. https://youtu.be/juimjW6PrDw?si=IH5XCbVEffcYZumv
  20. TPA Yamshukuru Rais Samia Uwekezaji Wa Sh60 Bilioni Bandari Za Ziwa Victoria

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uwekezaji wa zaidi ya Shilingi bilioni 60 katika kuboresha bandari za Mwanza Kaskazini, Bukoba na Kemondo, unaolenga kuimarisha usafirishaji wa abiria na mizigo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…