Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU.
Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA KUWASHINDA MAASKARI
UHUNI MLOUFANYA KWA POLEPOLE, KWAKUA HAMNA AKILI, NDIO MNAURUDIA ULEULE
Huu hapa chini ndio ujumbe alioutoa Hilder Newton kupitia Mtandao wa X:
Muda huu Jeshi la Polisi limezingira ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA Mikocheni, watu hawaruhusiwi kuingia wala kutoka.
Ikumbukwe asubuhi hii chama kilikuwa kinatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari.
Naibu...
Police in Uganda have arrested a dress belonging to Parliament Speaker Anita Among. The designer outfit, which she wore during President Museveni's recent swearing-in, was reportedly purchased for Ksh. 1.1 million. Among is facing corruption allegations.
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 20, 2026, amesema hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa na sio mwanasiasa atishiwe na kujibiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa au Jeshi la Polisi, kwani mfumo wa nchi unaruhusu uwepo wa vyama vingi...
Mali za Spika wa Bunge la Uganda aliyemaliza muda wake, Anita Anneth Among ikiwemo magari yamebebwa na Polisi kuelekea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kuendelea na uchunguzi kufuatia kashfa ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka.
Wakati hayo yakiendelea tayari Spika Among ametangaza rasmi...
Kama serikali ya CCM inavochukulia watanzania ni wasahalifu na nyie inawachukulia hivo hivo sababu ndio mlipotokea.
Sio kwamba jeshi la polisi hakuna watu wanayofurahi haya ila kutokana na mfumo uliojipenyeza mpaka ndani ya polisi.
Mfumo huu ni sababu ya CCM na hipo mifano mikubwa mpaka kwenye...
Mfumo wa kubadilisha umiliki wa magari nchini Tanzania umejaa vikwazo vingi visivyo na ulazima. Hii ndiyo sababu leo utakuta magari mengi yanatumika na watu tofauti kabisa na wale waliopo kwenye umiliki rasmi wa nyaraka. Hali hii inaleta changamoto kubwa kwa vyombo vya usalama, hasa pale...
Anonymous
Thread
fanya
kazi
kikwazo
kufanya
kufanya kazi
magari
moja
polisi
tanzania
umiliki
zao
Jeshi linalotumwa kuwalindia madaraka
Askari mwenye V tatu
Mshahara 625,000 /= baada ya makato
Huna V hata moja 228,000/=
Hii iliongezwa kutoka 215,000/=
Kupanda vyeo labda jeshini, polisi ni nadra
Mkataba wa ajira kama huna nyota moja ni miaka mitatu mitatu tu. Day waka !
Miaka 6 ya...
Jeshi la polisi mkoani Arusha limesema katika kipindi cha Aprili 18, 2026 hadi sasa, watuhumiwa 176 wamehukumiwa vifungo mbalimbali vya makosa ya jinai ikiwemo ulawiti, ubakaji, wizi, dawa za kulevya, pamoja na kupatikana na nyara za serikali baada ya kufikishwa Mahakamani.
Akitoa taarifa hiyo...
Lei, Mei 18 kwenye baadhi ya maeneo kumeonekana migomo na maandamano ya watu wakidai bei ya mafuta imekuwa kubwa sana hivyo wanahitaji uwajibikaji bdi ishuke
Maandamano ya kitaifa ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta yamegeuka kuwa vurugu na kusababisha vifo Jumatatu, Mei 18, baada ya makabiliano makali kati ya polisi na waandamanaji katika maeneo mbalimbali nchini Kenya.
Huko Kakamega, watu wawili waliripotiwa kupigwa risasi na kufariki, huku...
Habarini polisi wa tanzania japo mumekuwa kwenye katiba ya CCM sehemu yao.
Kuna jambo la kujifunza sana maana ndio kitengo duniani kinachukiwa na kuwa na lawama tokea mlipo shiriki kumtesa Yesu na nyie ndio mumefanya pasaka kuwa pro max.
Idara za polisi duniani zilizojijenga na kuwa karibu na...
Baada ya Chadema Kuchoma Kituo cha Polisi Nyankumbu mkoani Geita, leo CHADEMA wameamua kupandisha bendera yao mbele ya kituo hiko cha polisi katika mlingoti unaopandishwa bendera ya Jeshi la Polisi.
Hii ni Ishara kuwa Chadema wamedharau jeshi la Polisi na sasa wamedhamiria kuteka, kulipua na...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud Othman, Othman, leo Mei 16, 2026, jijini Dar es Salaam, akizungumza katika Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Tanzania, uliohudhuriwa na makada wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia, na waandishi wa habari...
Wakazi wa eneo la Lupaso, Vikawe wilayani Kibaha mkoani Pwani wameingiwa na hofu baada ya watu wanaodaiwa kujitambulisha kuwa polisi kufanya operesheni ya usiku na kuwakamata baadhi ya wananchi, siku nane tangu kutokee vurugu zilizohusishwa na mgogoro wa ardhi katika eneo hilo.
Tukio hilo...
Wamejijengea hawana sifa ya kuaminika. Na hili la kichwa, nitakuwa wa mwisho kuwaamini.
Kama walikana kumshikilia Sativa, na mbaya zaidi yule kijana SOKA aliyeripoti kwao kuchukua pikipiki yake, leo eti niwaamini. HAPANA
Soma pia Kichwa cha Marehemu James Temba, aliyeokotwa Mto Msimbazi...
Msigwa amejitapa kuwa dunia ya sasa ipo juu kiteknolojia. Ndio maana waliomkamata wametiwa mbaroni na polisi.
Haya sasa hivi ni zaidi ya masaa 24 kwq nini hawajap3lekwa mahakamani kwa mujipu wa sheria?
Kama hawana hatia waaachiwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.