polisi

  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nimetoka. Nyumbani nikaenda kumsalimia Mkuu wa kituo cha polisi, akaishia kunishangaa.

    Nina Imani ningeenda kwa Afande Muliro kumsalimia hata chai angenipa, ila huyu OCD ndo kwanza akaishia kunishangaa. Nimefika kwake kituoni nikajitambulisha Mimi ni mgeni wa OCD, nikafika ofisini kwake, nikajitambulisha NAITWA sifi Leo ni mgeni wako, akanipokea Akachukua note book na karamu tayr...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM wataka Polisi kukanusha kuhusu kushirikiana na Sheikh Said Mwaipopo "kutahiri watu bila ganzi"

    CCM wataka Polisi kukanusha kuhusu kushirikiana na Sheikh Said Mwaipopo kutahili watu bila ganzi. MY TAKE Polisi inazuga kutafuta vikundi vya kihalifu wakati vinajulikana na vinajitangaza kwenye TV. Sasa ni Rasmi kwamba kikundi cha kigaidi cha Sheikh Mwaipopo ndicho Tume ya Mzee chande...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtu sio polisi, hana ushawishi hata kwenye ukoo wake anawezaje kutishia waandamanaji kama sio anachochea na kuleta vurugu na taharuki.

    Hamjambo! Dola ili isimame inahitaji mambo makuu matatu; 1) Mfalme/Rais. Huyu atakuwa kiongozi anayeonekana kwenye utawala. Ambapo atakuwa na mamlaka yanayoonekana lakini haimaanishi mamlaka yanaishi sehemu moja. Huyu kazu yake kupitua vyombo vya serikali kama vyombo vya dola kazi yake ni...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Polisi wafunga comments za post ya Tanzia ya Richard Ambwao

    Hii ni kuzuia maneno ya chuki kutoka kwa raia.
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi nguo za polisi wanavalia wapi na kuzivua wapi.Maana wakirudi majumbani wananguo za kiraia

    Tokea kutumwa kufanya yale October 29 naona wengi au ni mimi tu nilipo. Zamani walikuwa wanajitapa wakija na jezi zao mpaka wanapoishi. Ila sasa uwezi kuona kavaa anatembea mtaani kwenda kituo chake cha kazi.
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tukisema polisi na Tiss nyie ndio mnasimamia CCM sasa mnaweza kubisha .Maana kesi zenu mlalamikaji ni nani ?.

    Kwa sasa ukiwa mpinzani unaweza shangaa umefunguliwa kesi kuwa wewe ni bra bra bra. Sasa aliyefungua kesi hiyo ni nani?. Ina maana sasa chama cha CCM kimejivisha kazi yenu kiujumla.
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchini uganda ukiwa serikalini au polisi unaambiwa utapandishwa cheo ukideal na upinzani.

    Sio simulizi ni ukweli ndani ya nchi ya uganda. Vyeo vya uganda tena upande wa polisi unavipata kwa ku deal na wapinzani. Ndio maana wakistaafu kuna mawili wauliwe au wabaki kujiona wametengwa.
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Sakata la Milioni 800 za Wananchi: Kilio Chaibuka Ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi Kusuasua, IGP Aombwa Kuingilia Kati

    Kwa heshima kubwa, tunaiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi Tanzania na hasa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuchukua hatua za haraka kuhusu malalamiko yanayoendelea kujitokeza juu ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Wananchi wa Itumbi pamoja na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Polisi mnashindwa nini kuwaita mnaowashuku kutenda makosa kama mlivyomuita Boni Yai leo? Today you acted professionally!

    Endelea kufanya kazi professionally na si kuteka watu. Basi mtoe Soka et al! Mtoe Mdude basi! Na wengine
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Boniyai afika Polisi Oysterbay kuhojiwa, asema tuhuma za kupanga maandamano ni za uongo, aulizwe Kihongosi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boniyai ameripoti katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam leo Juni 16, 2026, akisema amehojiwa kuhusu tuhuma za kuratibu maandamano yanayotarajiwa kufanyika Julai 7, 2026 akisema tuhuma hizo ni za uongo. Akizungumza...
  11. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waweke mwongozo wa viongozi/ wanachama namna ya kujihami na kuitwa polisi na kupotea as if hawajaitwa na polisi

    Kaeni na wataalamu wa mambo ya usalama hata kama kuwatafuta nje ya nchi, wawape namna mtu akiitwa na polisi afanye nini kabla ya kwenda polisi. Nimesoma Mwenyekiti wa Vijana Kanda serengeti ameitwana polisi / walifika Nyumbani kwake na sasa hajulikani alipo Wekeni protocol mtu afanyeje...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania John Heche: Jeshi la Polisi mrejesheni Ibrahim Myovela kwa familia yake

    https://www.youtube.com/live/Ex4phmqWLxY?si=-kvbHkryi4LV2ROJ Video: MATUKIO DAIMA MEDIA Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasi na maendeleo (Chadema) John Heche ametaka jeshi mkoa wa Iringa kusema wapi alipo aliyekuwa mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Iringa, Ibrahim Myovela anayedaiwa kutoweka...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lijenge utamaduni wa kutolea mrejesho matukio yenye maslahi kwa umma wanayotelea taarifa za awali

    Kwa nyakati tofauti, Jeshi la Polisi limekuwa likijikuta kwenye mtihani wa kuaminika mbele ya umma kutokana na matukio yenye utata ambayo huacha maswali mengi bila majibu ya wazi. Mara nyingi, taarifa za awali hutolewa, lakini baada ya hapo umma hukosa mrejesho kuhusu hatua za uchunguzi au...
  14. chakii

    JamiiForums Tanzania Moshi: Kijana wa bodaboda apoteza maisha baada kukimbizwa kugongwa na gari la Polisi akihisiwa kubeba mirungi

    Gari ya polisi Rombo yadaiwa kumgonga dereva pikipiki aliyedaiwa kuwa na mirungi nakuondoka na mwili, barabara yafungwa RPC asema barabara ishafunguliwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema barabara ya Rombo na Moshi imefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa zaidi ya saa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Wananchi zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi - Shinyanga waachiwe huru au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekuwa ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Mkoani Shinyanga, zaidi ya Wananchi 200 kutoka Kata ya...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Arusha: Masheikh 8 kati ya 12 waachiwa huru, walipotoka nje wamekamatwa tena na Polisi, haijulikani walipo

    Kuna tukio lililotokea mkoani Arusha, leo Juni 5, 2026 ambapo masheikh 12 waliokuwa wanashikiliwa gerezani walifikishwa mahakamani. Inadaiwa kuwa kati yao, masheikh 8 waliachiwa huru na mahakama, huku wanne wakirejeshwa gerezani. Hata hivyo, baada ya wale wanane kutoka nje ya mahakama...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Zanzibar: Msongo wa mawazo ndiyo chanzo cha kujinyoga kwa Ashley Robinson na kupelekea kifo chake

    Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar kupitia Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar, ilikuwa inafanya Uchunguzi wa Shauri la KUJARIBU KUJINYONGA linalomhusu Raia wa Kigeni ajulikanae kwa jina la ASHLEY JENNAE ROBINSON, Raia wa Marekani, mwenye umri wa miaka 31. Tukio lililotokea tarehe...
  18. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Dkt. Chris Cyrilo: Omar Kashera amenitafakarisha wakati akimuhoji mkuu wa Polisi wa zamani Omar Mahita

    Kwanini Ndg. Omar Kashera alikuwa anachekekea simuliza za ukatili za Omar Mahita wakati wa mahojiano? Nimemfahamu Omar Kashera mitandaoni na nimekuwa mfuatuliaji mkubwa wa masomo yake ya Diplomasia na Uongozi. Nimekuwa namkubali sana. Lakini nilipofuatilia mahojiano yake na IGP wa zamani Omar...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dar: Muliro awapongeza Askari Polisi waliofanya Vizuri 29 Oktoba 2025

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. ===== KAMANDA MULIRO AWAPONGEZA ASKARI...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Songea, Ruvuma: Wananchi tunaishi mtaa wa Ruhuwiko tunasumbuliwa sana na Vibaka, tunaomba msaada wa Polisi

    Sisi wananchi wa Mtaa wa Ruhuwiko katika Manispaa ya Songea tunakabiliwa na changamoto kubwa ya vitendo vya wizi vinavyofanywa na vibaka ambao wamekuwa wakivamia maeneo yetu ya makazi mara kwa mara. Matukio haya hutokea zaidi nyakati za usiku, ambapo wahalifu hao huingia kwenye makazi ya...
Back
Top Bottom