polisi

  1. JamiiForums Tanzania Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa TARURA Wilaya ya Dodoma, Sath John Masawa (31), kwa tuhuma za kumtishia kwa kitu kilichodhaniwa kuwa bastola dereva wa basi la SATCO, Said Fadhili (54). Tukio hilo linadaiwa kutokea baada ya basi hilo lenye namba za usajili T308 EME, aina...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Polisi 5 na Mahabusu 7 Wafariki Duniani Ajalini Singida Wakielekea Mahakamani. Wagongwa na Gari La Mafuta Lililo Feli Breki Mlima Sekenke.

    Ndugu zangu Watanzania, Taarifa ndio kama hivyo ambapo watanzania wenzetu wamepoteza Maisha katika ajali mbaya huko Mkoani Singida . Ambapo Gari la mafuta lililo feri Breki liligonga gari lililokuwa limebeba mahabusu waliokuwa wanapelekwa Mahakamani.
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SIM Cards Kadhaa Zapatikana Polisi Wakimkamata Mshukiwa Maarufu wa Utapeli wa M-Pesa

    M-Pesa attendant mmoja Garissa alidhani anasaidiwa kufanya line upgrade. Dakika chache baadaye, line yake ilikuwa imeswap na fedha zikahamishwa kwenda account nyingine. Polisi sasa wamemkamata Edwin Mugoi, ambaye DCI inamtuhumu kujifanya Safaricom agent na kuwalenga M-Pesa attendants katika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida afariki dunia

    Msiba mwingine jeshi la Polisi👇
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Maadhimisho Miaka 60 ya Jeshi la Polisi

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 📌 17 Septemba 2024 — Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tarehe 17 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Amiri Jeshi Mkuu, alihudhuria na kuongoza hafla ya kuhitimisha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, yaliyofanyika Shule ya Polisi...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Swali kwa IGP, nani aliyeruhusu askari polisi kuingia mitaani na silaha za kivita

    Swali la pili. Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari. Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Mambo ni...
  8. JamiiForums Tanzania Oparesheni ya polisi Kilimanjaro yanasa watuhumiwa 242 wa makosa mbali mbali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeendesha oparesheni kubwa katika maeneo mbali mbali ya mkoa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake ya kikatiba ya kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi pamoja na mali zao, huku likiendelea kuchukua hatua dhidi ya watu wanaojihusisha na vitendo...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sh178M kwa Polisi Waliojeruhiwa Kwenye Maandamano: Serikali Yaanza Kulipa Officers Walioathirika

    Zaidi ya Sh178 milioni zimelipwa kama fidia kwa maafisa wa polisi waliofariki au kujeruhiwa wakiwa kazini wakati wa maandamano na protests nchini Kenya. Kwa mujibu wa Panel of Experts on Compensation of Victims of Human Rights Violations, angalau maafisa 178 wamepokea malipo katika phases III...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi wasingekuwa compromised wangemhoji Freeman Mbowe kuhusu kupigwa kwake Risasi

    Polisi huwa wanaita kila mtu kuchukua maelezo yake kuhusu tuhuma zozote zile kabla ya kufikishwa mahakamani. Tundu lissu kapitia mengi Kitendo cha Freeman Mbowe kutokuitwa kuhojiwa kwa chochote japo jinsi alivyosafiri na Mgonjwa hadi Nairobi. Ni dalili ya Polisi na vyombo vya Usalama kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tukio kama hili la kumpiga Kocha wa Gaborone Utd lingekuwa limefanywa na MwanaCHADEMA polisi wangekuwa wameshamkamata.

    Polisi wa Tanzania wapo very biased. Hawafanyi kazi kwa weledi. Wanafanya kazi kwa mihemuko na ushabiki Mtu anampiga mtu ambae ni kocha na alipaswa kupewa heshima na ulinzi.Anarekodiwa mbele ya kamera na anafamika lakini mpaka sasa hajakamatwa. Police wapo kwa ajili ya kukamata wanachama na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Impliedly; RPC Arusha anamaanisha wanaostahili kupigwa ni migambo sio askari wa Polisi

    Kwa tafsiri hii ni kuwa Migambo ndio wanastahili kichapo👇
  13. JamiiForums Tanzania Tabora: Polisi waanza kumsaka Mwalimu wa Madrasa mume wa wake watatu na baba wa watoto 17 ambaye ametoweka na kuacha familia yake ikiteseka

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limeanza kufanyia kazi tukio la kutoweka kwa Shaaban Maulid Songela, mwalimu wa Madrasa na mkazi wa Mtaa wa Mlimanicity, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, ambaye familia yake inasema hajulikani alipo kwa zaidi ya siku kumi. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya raia kupambana na polisi na kuwapiga ni dalili kuwa ipo siku raia watashika silaha na amani itatoweka

    Utawala wa sheria unapaswa kufanyika kwa misingi ya sheria. Lakini kama wasimamizi wa sheria wanakiuka nini kitafyata? Raia watachoka, kila mtu atajichukulia sheria mkononi. Raia watapigana na polisi. Baaddae wao kwa wao watapigana na kuuana.
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Askari Polisi apigwa kama Mbwa koko

    Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja. Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi na TRA, kusanyikeni hapa!

    Polisi mnafanya kazi njema, TRA mnasaidia kukusanya mapato. 1. Polisi, kwa kushirikiana na TRA tunaomba kanuni za kulazimisha Pikipiki zote na Bajaji na Maguta kuweka plate number kwa mbele, yaani si nyuma pekee ili wakimkosea traffick aweze kunakili. 2. polisi na TRA tunaomba mfikirie hizi...
  17. JamiiForums Tanzania Aomba kupelekwa polisi baada ya kugonga gari la gharama

    Mzozo wa barabarani umejitokeza baada ya dereva wa pikipiki ya miguu mitatu (Toyo) kugonga gari la kifahari, kisha kuomba apelekwe kituo cha polisi kuliko kutakiwa kulipa gharama za matengenezo ambazo hana uwezo nazo. Tukio hilo limetokea baada ya mfumo wa breki wa Toyo hiyo kukatika ikiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nimetenga 3m inisaidie kujiunga na jeshi la polisi Tanzania

    Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbaga wa uhakika ili nizame CCP karibu
  19. R

    JamiiForums Tanzania Poleni jeshi la polisi kwa msiba huu mzito

    Kama waungwana tunatoa pole. Basi na nyinyi tunawaombea mubadirike muwe Police Peoples Service and NOT Force. Ikataeni falsafa ya Kifo ni Kifo. RIP Kamanda.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Advocate Mtatiro: Polisi wamemtesa sana na kumuumiza Daktari aliyepigana na Traffic

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika: "Kuna msamaria mwema ndani ya Jeshi la Polisi kanijulisha kwamba Doctor Conrad Agonza ambae alipigana na Traffic yupo kituo cha Polisi Oysterbay. Anasema juzi baada ya Wanajeshi wa JWTZ kuachanisha ugomvi huo, walimchukua Dr. Conrad...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…