Hizi kashikashi zilizoanza kabla ya wakati wa kampeni, wakati wa kampeni ,baada ya kampeni, maandamano ,kukipambania chama cha mapinduzi nk bila shaka jamaa wameingiza mpunga wa kutosha kupitia vifuta jasho vya hapa na pale visivyo kauka.
Nguvu inayotumika kudhibiti maandamano si kitoto hivyo...