Picha aliyoisemq Tundu Lissu ni hii kwamba akiwa Tarime alipigwa na Polisi mpaka wakachana Kombati yake.
Hii Kombati ilivyo ngumu inakuwaje wanampiga mpaka kuichana?
Yawezekana walikuwa wanamgawana. Msomi na mtetezi wa rasilimali za nchi na mtu anayependa haki na usawa. Anafanyiwa hivi na...