pesa

  1. Tlaatlaah

    As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Nimeona ni muhimu sana kuwajulisha na kuwaandaa kisaikolojia, ili wakati muafaka ukifika msione kama ni surprise. Chama hakina pesa kwa sasa na sio siri tena, chama kinapitia ukata mkali wa pesa za matumizi ya kawaida ya kuendesha chama kwa kiwango kibaya sana, na mchango wako wa hali na mali...
  2. B

    Kutokana na wanawake wa kaskazini kupenda Sana Pesa sikujua kama Wana nyege nyingi kiasi hiki.

    Declaration of Interest: Nimeona wanawake wawili kutoka Kaskazini. Twende kwenye Mada sasa, aisee hii ni balaa, zamani nilikuwa nilikutana na single Maza kutoka Kaskazini najua ni kwa sababu anapenda hela hivyo Wanaume wanapiga na kusepa. Nilishtuka mara ya kwanza Mtoto kutoka Rombo...
  3. A

    KERO Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi

    Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi. Mara nyingi, mteja hushawishiwa kufungua akaunti bila kuelezwa kwa uwazi gharama zote, kisha hujikuta akikata pesa bila taarifa ya kutosha. Nilifungua akaunti CRDB miaka kadhaa iliyopita...
  4. BIOTOXINS

    Wanawake na pesa ni kama askofu na bible

    Huyu jamaa angempa hata teni
  5. U

    1/3 ya pesa za el nini zimetafunwa Kwa vikao, na sioni el nino

    Nina wasi wasi ana upigaji unaoendelea kupitia mambo ya el nini, Kuna baadhi ya watu nawajua kupitia hii el nino wameshajenga nyumba na kuisha, El nino hatutaki itokee, lakini maandalizi na vikao vya kuikabili El nino inasemekana zimeshatafuna 1/3 ya bilioni 780, hivyo , tunasuburi Sasa itokee...
  6. A

    KERO Walimu tulioajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC) mwaka wa pili sasa hatuna fedha za kujikimu

    Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa. Tunaomba mamlaka husika itusaidie kufuatilia suala hili na kuhakikisha na sisi walimu tunapatiwa...
  7. N

    Misri wana mvua chache sana ila wana pesa nyingi kuizidi Tanzania. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE l??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Misri hawana mvua ila wana pesa nyingi kutuzidi. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria na sisi (Tanzania) tuwape maji ya ziwa Victoria kwa maana tuna pesa kidogo ila mvua ni nyingi sana??
  8. tpaul

    Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

    Sitaki kuwapotezea muda kwa maelezo marefu. Kila kitu kiko wazi. Tafiti za mahusiano zilizofanywa na wataalamu wa mahusiano zinaonyesha wanawake wengi hawatazami ukubwa wa pochi, bali ukubwa wa muda unaotolewa . Wengi wanasema pesa sio shida bali umakini na mawasiliano ya kweli ndivyo...
  9. Duh Aisee

    Watu wanafanya Money Laundering nyie mnakazana na story za kuuza UTU, Migongo, Mara Kafara Pesa ziko nyingi sana mtaani na hawajui wapi pakuzipeleka

    Hakuna mtu atasponsor lifestyle ya gharama kubwa hivyo kwasababu ya sex ya namna yoyote, ila wanapenda mfikiri hivyo. Mjini hela iko nyingi sana na inaonekana wameirudisha baada ya kuona hakuna maandamano, kwa hiyo harakati zao zitakwenda fresh. Siwezi directly kusema inatokana na mitikasi ya...
  10. Design Your Idea

    Huwa najiuliza the likes ya watu kama aunty, gigi, wolper, uwoya, etc wanatoa wapi pesa hadi wana push magari ya 100m+

    Mbona sanaa yenyewe wanayofanya na brand deals sio ya vipato vya kushtua. Anyway, ngoja nimalizie kufua soksi za shemeji alafu nije nisome comments
  11. M

    Katika safari yangu ya kuishi maisha bila stress niliamini pesa itazipunguza lakini sioni dalili, Je ni hadi uwe bilionea kuishi maisha bila stress ?

    Najua pesa haiwezi kutatua kila kitu wala kununua kila kitu lakini kwa kiasi kikubwa niliamini ingepunguza stres nilizokuwa nazo. Nimepambana sana, siwezi hata kidogo kujiita tajiri lakini angalau kiuchumi kwa kijana ambae bado sijafika 40 Nimeshajenga kwangu, gari zipo, watoto wanasoma private...
  12. M

    Usiridhike na cash au salio la Bank, Wekeza au nunua assets kulinda thamani ! miaka 30 iliyopita elfu 50 ilikuwa na thamani kuzidi milioni ya leo.

    Usiweke tu pesa zako kwenye savings, hakikisha unawekeza, Nunua kiwanja, nunua Bonds, assets, n.k. Enzi hizo miaka 30 iliyopita ukiwa na elf 50 ni zaidi hata ya milioni ya sasa, leo hii kama kuna mfungwa aliefungwa miaka hio katoka jela na aliacha elf 50 hawezi kupata basi Dar kwenda Mwanza...
  13. Kamanda Asiyechoka

    Tafiti: Bomoa bomoa ya vibanda vya wamachinga ni kwa sababu hawakumchagua rais Samia pamoja na kupewa Tisheti na pesa

    Hii bomoa bomoa ya vibanda vya wajasiriamali ni hasira za raisa aliyepo madarakani bila ridhaa ya umma. Amekasirika kiasi cha kuita wafanyabiashara ni takakataka. Kisa tu mwaka jana hawakumpigia kura na hawamtaki. Politika science has revelead.
  14. A

    KERO Malalamiko kuhusu ada za Carryover na Supplementary katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeanza utaratibu wa kuwatoza wanafunzi malipo kwa ajili ya Carryover na Supplementary Examinations, utaratibu ambao umeanza kutumika hivi karibuni katika mwaka wa masomo 2025/2026. Utaratibu huu umekuwa changamoto kubwa kwa wanafunzi, hasa wale wenye hali duni...
  15. Nsennah

    KERO Babati: Malalamiko kuhusu kukataliwa kwa noti zilizounganishwa na 'seal tape' na changamoto za huduma za mafuta

    Kumekuwa na utaratibu wa baadhi ya wafanyabiashara, hususan wamiliki wa vituo vya mafuta na hata baadhi ya taasisi za kifedha, kukataa kupokea noti ambazo zimeunganishwa au kutengenezwa kwa kutumia 'seal tape'. Nilishuhudia tukio katika Tawi la NMB Babati, ambapo mteja mmoja, ambaye alikuwa...
  16. Mad Max

    Kwa Pesa gani Msanii Kumiliki G63 AMG? Wacha wakae nayo tu!

    Ushuru tu Mil 400+ na Bado ulifanyie customization liwe unique, plus CIF. Kwa muziki gani? Tupogo? Note: Picha ni za Mfano tu.
  17. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Usikubali kufa masikini. Nakupa hili dili jipya, Fuga senene kibiashara, upige pesa

    Kufuga senene kwa ajili ya biashara ni wazo jipya lenye fursa kubwa, hasa ikizingatiwa kuwa kwa muda mrefu senene wamekuwa wakivunwa tu msimu wao unapowadia (kawaida kuanzia Novemba hadi Desemba na mara chache mwezi Aprili/Masi). Hata hivyo, ufugaji wa senene kibiashara unahitaji udhibiti...
  18. Think2

    Mafisadi huu ndio wakati wenu wa kupiga pesa ndefu

    Nyie vigogo na machawa huu ndio wakati wenu wa kupiga pesa chafu maana nchi inaongozwa na raisi asiejua kila kitu just to read on writing paper during conference Tumeshuhudia bajeti za karibu kila wizara imetoa bajeti ya pesa ndefu sana billion 523.3 watu wa burudani na michezo Tukija kwenye...
  19. Red black

    Kama kungekuwa na pesa za uchawi/majini basi bro Mshana Jr angekuwa tajiri namba 1 Africa

    The old Witcher 🤔 Mshana Jr
  20. jamaikatz

    Kuna baadhi ya biashara kama huna muda wa kuzisimamia ni bora ukaitunza tu pesa yako

    Kuna baadhi ya biashara kama huna muda wa kuzisimamia ni bora ukaitunza tu pesa yako .tupe mfano wa biashara hizo?
Back
Top Bottom