pesa

  1. Kingsmann

    Mkumbo wa Vijana Kwenda Kulelewa na Vibibi vya Kizungu: Vijana Wakumbushwe Pesa Usiyoitolea Jasho Haina Thamani.

    Vijana wa sasa wanaamini sana kwenye shortcut, lakini wajue kabisa shortcut huwa ni kwa ajili ya dharura tu, ukiifanya kama ndiyo normal life yako hakika nawe hautatoboa.
  2. Kaka yake shetani

    Kabla ya teknolojia tuliamini gold ndio ulinzi wa pesa ila kwa sasa jifunzeni cryptocurrency

    Hii dunia sio mwamwedi ngamia kuishi congo au nguruwe kuishi jangwani. Maisha ya dunia yana badilika na kubadilika kila siku. Leo ulijua kuna mobile money wakati enzi za zamani ulikuwa unatuma pesa kwa kutumia basi. Hata barua posta ziliogopa email na leo njia ambazo kwa sasa dhahabu au...
  3. ChoiceVariable

    Misemo ya Maskini Wasio na Pesa Kujifariji na Kuwasema wenye Pesa( Matajiri)

    1.Anaringa ana hela ,hela ndio zitamzika? 2.Utakufa utaziacha 3.Kama huna Yesu ni Kazi Bure My Take Tutafute pesa Ili kuondoa umaskini kwenye jamii,hiki ndio chanzo Cha mihogo zmajungu na mauaji. Ongeza mingine
  4. Yoda

    Kuna mahali karoti moja inauzwa shillingi mia tatu Tanzania hii!

    Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu! Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?! Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
  5. Tlaatlaah

    Kulikoni ghafla tu wafaddhili wanasita kuichangia pesa na wakopeshaji wanakwepa kuikopesha tena chadema?

    Unadhani wametathimini, wamegundua na wameshtuka au kuona kitu gani hapo mbeleni, hata kusitisha mambo hayo ambayo ndio yalikua yakifanya chadema kua hai, japo haina sifa za kisheria kushiriki uchaguzi wowote ule kote nchini Tanzania?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  6. min -me

    Uchungu wa pesa una uma🥲

    Nilikuwa na mke wa ndoa tukakubaliana tuachane kipindi sina kitu, ila alivyo ona mimi sio fala akanidanganya tuachane tu ila ndoa tusivunje🤔 Eti kigezo kuwa yeye kaajiriwa nitatumia bima yake ila nifanye maisha yangu😅😅 Aisee niligoma nikamgonga talaka , japo nilizaa nae😊 Akaenda...
  7. Hismastersvoice

    Pesa za kukabiliana na El Nino zinatumika kuziba mitaro ya maji ya mvua kando ya barabara Mbagala Rangitatu.

    Katika hali ambayo si ya kawaida manispaa ya Temeke imeamua kukifanya tunacho katazwa, manispaa ya Temeke inaziba mitaro ya maji ya mvua kwa kutumia mbao kisha kuwauzia wafanyabiashara eneo la juu ya mtaro futi 4×4 shs. 200,000/=
  8. A

    KERO Nimetengeneza samani katika Zahanati ya Seseko na Ihapa, miaka mitatu sasa sijalipwa fedha zangu

    Mimi ni fundi seremala kutoka Shinyanga Mjini. Mnamo tarehe 17 Agosti 2023, nilipewa kazi na Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO) wa Shinyanga Mjini ya kutengeneza samani, zikiwemo viti, benchi, meza na rafu za dawa katika zahanati za Seseko na Ihapa. Thamani ya kazi hiyo ilikuwa jumla ya Sh8,720,000...
  9. A

    KERO Nimelipia kifurushi cha Azam TV tarehe 5 Oktoba 2026 Azam TV wanadai kuwa fedha hizo hazijawafikia

    Nimelipia kifurushi cha Azam TV tarehe 5 Oktoba 2026 kwa kiasi cha Sh28,000 kupitia Azam Pesa. Muamala unaonyesha kuwa malipo yamefanikiwa kikamilifu, lakini Azam TV wanadai kuwa fedha hizo hazijawafikia. Nilipowasiliana nao, niliambiwa nisubiri ndani ya saa 72 huku suala langu...
  10. 1995El

    Kuna vitu ukivipoteza Maishani, hata Pesa haiwezi kuvirejesha

    Kuna vitu ukivipoteza, huwezi kuvipata tena hata ukiwa na pesa. Wakuu, nimekuwa nikifikiria jambo hili. Maisha yanatufundisha kucheza na vitu vingi kwa sababu tunaamini vinaweza kurudi. Pesa ikipotea, unaweza kuitafuta tena. Kazi ikipotea, unaweza kupata nyingine. Simu ikiharibika, unanunua...
  11. M

    Sheria ya kuishi na ndugu niliyowahi kujifunza kwa uchungu, Usijihusishe na taabu zao ambazo hazikusumbui,

    Family Rule: dont bother the trouble if the trouble isnt bothering you Kuna kipindi niliwahi kuitwa kutoa ushauri wa tabia mbovu ya mtoto wa kaka ya kutofanya baadhi ya majukumu alipokuwa kwa bimkubwa Basi mimi nikajitia fronti nikaanza kumkanya huyo mtoto, nilimcharaza maneno kisawa sawa hadi...
  12. and 998 others

    Peter Msechu [Chivayo] anzisha Youtube Channel upige pesa!

    Peter kwanza pole na msiba. Tumia nafasi hii anzisha Youtube channel ukielezea maisha yako na harakati za muziki na maisha utapiga sana hela. Pita na huu upepo kuongeza kipato na business deals.
  13. kilio

    NSSF wanatoa riba ya kiasi au asilimia ngapi wanaporudisha pesa yangu baada ya kukaa nayo?

    Wadau kama nimekaa miaka minne mradi umeisha NSSF yangu inasoma 24,000,000. Je NSSF inanilipa kiasi gan . wamekaa na fedha yangu mda wote wa miaka minne, je waniongezea kiasi gani
  14. O

    Baada ya mgonjwa wa Ebola kutangazwa, Mbunge Ndindi aonya kuwa kama kuna pesa zilitolewa na Wamarekani za Ebola Kenya watarudisha

    Mbunge wa Kiharu, Ndindi Nyoro, ametoa kauli kufuatia taarifa ya Serikali kuhusu kuthibitishwa kwa kisa cha kwanza cha Ebola nchini Kenya. Kauli hiyo imekuja baada ya Waziri wa Afya, Aden Duale, kuthibitisha kuwa mgonjwa huyo ni raia wa Kenya aliyekuwa akiishi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  15. Financial Analyst

    Ila waafrika bwana!, mtu anaweza kugeuka kuwa paka ili asumbue watu usiku ila hawezi geuza makaratasi yakawa pesa

    Which is which
  16. Kaka yake shetani

    Wakati sina pesa benk ilikataa kunikopesha leo na pesa wanalazimisha ni kope.

    Miaka 2016 nilikuwa na changamoto ya mtaji ili ni boost kufikisha malengo. Ila nilipo waomba benk waligoma kabisa japo nilikuwa na account yao. Nimejikokota we mungu si dotto magari mambo yapo mazuri. Sasa ule mzunguko wa import na export pesa kwenye account kila siku wana lazimisha ni kope...
  17. M

    NILITAKA KUPOTEZA PESA KUTOP-UP FROM PIXEL 8A TO PIXEL 9 PRO LAKINI AI IMENIFAA SANA, THANKS AI

    Nisiwe mwingi wa maneno wakuu mko poa? Jamani mimi katika kufanya side hustles nikaona nijiongeze kufanya kazi ya kupiga picha na kuziuza. Kifaa nilichokuanacho wakati napata hilo nsimu pixel 8a inawasha sana picha ila sikuwa naridhika na quality za hizo picha, nilitaka wateja wangu wapate kitu...
  18. mcTobby

    Ngoma ya mtu pesa ya Twanga pepeta

    Hii ngoma ya dansi asee walio itunga walitisha .. binafsi kwangu itabaki kuwa ngoma Bora ya dansi . Hili goma kwa mtu anayejua ilitoka mwaka gani naomba anijuze ... Maana ni kitambo sana nikiwa kid nimeisikia redioni. https://youtu.be/iqTgo8AI7OQ?si=D3k9s4A_AZvggG5L
  19. Idugunde

    Uchunguzi ufanyike kama Chivayo amekufa na pesa za walipa kodi wa Tanganyika.

    Nimemsikia Rigathi Gachagua wa Kenya akisema kuwa Chivayo alikuwa akicheza dili na marais wengi wa Afrika kupiga madili na yeye kujifanya ni pesa zake. Hapa nchini uchunguzi huru ufanyike. Maana wanaoumia na masuala kama haya sio Wazanzibar bali ni Watanganyika.
Back
Top Bottom