pesa

  1. A

    KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya Handeni tumelipwa pesa ya kujikimu Tsh350,000 tu

    Vijana tulioajiriwa kuanzia mwezi wa 7 pamoja na kucheleweshewa fedha zetu za kujikimu, sasa tumelipwa kiasi cha tsh 350,000 tu kama posho ya kujikimu. Hatuna pa kusemea. Sijui posho ya kujikimu huwa wanaangalia nini ili kuamua kiasi cha kulipa.
  2. Aisee mpate pesa mpelekeni watoto wenu zile shule zinazosimamiwa na masista huko mikoani ila kuepuka vituko kama hivi kwenye hii video

    Umasikini ni kitu cha kishetani sana aiseee.
  3. Hiki ndicho mzungu anachoweza kukifanya na matokeo yake ya kushikika ila sisi ni 2026 mwana JF unaandika uzi wa kuomba mganga wa pesa za kimazingara

    Jamaa kafanyia facial implant, yaani kama muujiza.
  4. Hakuna mtu anayetafuta pesa ya halali akaitupe bar

    Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
  5. Pesa zinajipendekeza kwangu mpaka naanza kuogopa.

    Nimekaa tu inaingia sms kuwa nmewekewa muamala kiasi flani. Tarakimu 5. Nikanyamaza tu. Ikatumwa sms whatsapp " Boss tugawane hicho kidogo nashukuru sana umetusaidia" Basi nikamwambia asijali ni mambo ya kawaida. Hii si mara ya kwanza. Toka nimeshika hiki kitengo mwaka jana mwishoni...
  6. M

    Mchambuzi MKALABOKO: Simba Sc ni sawa na Muhasibu wa kikoba ,akifika wakati wa marejesho lazima pesa mumpe yeye.

    Haya ni maneno aliyoyaelezea mchambuzi gwiji wa mpira kwa sasa nchini Tanzania. Amesema hayo hapo jana akihojiwa na Mtangazaji Tunu Hassan Shenkome kuhusiana na mchezo wa ngwe ya kwanza dhidi ya 15 agosto. https://m.youtube.com/watch?v=iJXAH1zXHqg
  7. Nini kilisababisha John Pambalu kurudi Tanzania kutoka Mafichoni nchini Kenya?? Pesa za wafadhili zilimuishia?

    LILIKUWA ni suala la muda tu kuwa utafika lini ili Pambalu afike hapa alipofika sasa kwenye hatua za maisha yake hapa duniani. Amepata alichokuwa anahangaika kukipata kwa muda mrefu sana kwenye huu ujinga wao wanaofanya na kuuita ni siasa na hatakati. VIJANA wengi wa BAVICHA huwa...
  8. M

    Huu sio ustaarabu; uniombe nikutumie pesa, niitafute au nijibane, nihangaike kukutumia halafu ikifika ukae kimya bila hata kunijulisha

    Imagine mtu amekuomba umtumie pesa. Wakati huo huna au unayo ila ilikuwa na kazi nyingine, utajiminya au utahangaika mpaka umtumie, lakini ikifika yeye hafanyi hata effort ya kukujulisha kwamba amepokea. Unaweza kubaki na wasiwasi, ukidhani labda pesa haijafika, kuna tatizo la mtandao au...
  9. Tafuta pesa / tutafute pesa ndio kauli hovyo zaidi mwaka huu.

    Hii Ni kauli ya hovyo, ya kijinga, ya kipumbavu na kifedhuli zaidi katika mwaka huu iliyojipatia umaarufu mkubwa zaidi nchini.
  10. Hivi pesa za kuokota ziliendaga wapi sikuizi? ni muda sijaokota

    Good morning Wakuu, Hivi pesa za kuokota ziliendaga wapi sikuizi? ni muda sijaokota "Some of you will be coming into unexpected money! Receive! It will be more than you asked God for Sis! Over Flow season! ~B Pokeaaaa
  11. Ila JF 😁, kila mtu ana pesa, ana nguvu za kiume, anatongozwa na wake za watu , kila mtu haishi kwa shemeji yake na kila mdada humu ana keboz makubw🔥

    Maisha yaendelee
  12. A

    Je, ni bora kuwa na pesa nyingi bila amani au kuwa na kipato cha kawaida lakini maisha yana utulivu?

    Ndugu zangu, kuna jambo ningependa niongee hapa. Yani unakuta mtu ana kipato kikubwa, ana uwezo wa kununua vitu vingi anavyotaka na anaonekana kufanikiwa kimaisha. Lakini kila siku anaishi kwenye msongo wa mawazo, hana muda wa kupumzika, mahusiano yake hayana utulivu na wakati mwingine...
  13. Nasra Mohamed (M/kiti UVCCM – Dar): Kiongozi anayewatisha Vijana tutakushugulika naye, hatutakuogopa, upendwe na kila mtu wewe Pesa!

    “Kuna kiongozi anatishia UVCCM tutakushugulikia hatutakuogopa, unataka upendwe na kila mtu umekuwa Pesa.?” - NASRA MOHAMED - Mwenyekiti wa UVCCM DSM.
  14. Watu wa Arusha uwa mnatumia wapi pesa zenu weekends?

    Nataka nipige ata Smirnoff mbili. Ndio naingia town.
  15. Wengi wanaingia kwenye biashara ya Agrobusiness wakiamini kilimo kina pesa, lakini wachache ndio wanaojua jinsi ya kuzipata

    Kuna mfanyabiashara mmoja alianza biashara ya mazao ya kilimo akiwa na mtaji mdogo. Alikuwa akinunua mahindi kutoka kwa wakulima na kuyauza sokoni. Mwaka wa kwanza alipata hasara kubwa, si kwa sababu hakukuwa na wateja, bali kwa sababu hakujua wakati sahihi wa kununua, namna ya kuhifadhi mazao...
  16. U

    KERO Wanafunzi wa NIT tuliomaliza, tulitoa hela ya mafunzo ya udereva na leseni ila hakuna huduma tuliyopata

    Sisi ni wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), ambao baadhi yetu tumehitimu mwaka 2026 na wengine tunaingia mwaka wa tatu. Tunatoa malalamiko kuhusu fedha tulizolipa kwa ajili ya mafunzo ya udereva na upatikanaji wa leseni, ambazo hadi sasa hatujapata huduma tulizolipia. Wakati...
  17. Saikolojia ya Umma na Ripoti ya Jaji Chande: Je, Tume walitambua "Watu wa Itikadi" Ambao Hamna Pesa au Silaha Inayoweza Kuwanunua?

    Ndugu Wana-JamiiForums, Nimekuwa nikitafakari kwa kina kuhusu kiini cha matukio ya ghasia za Oktoba 29, 2025, na jinsi Ripoti ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman ilivyofikia hitimisho lake. Ripoti ile inasisitiza kuwa yaliyotokea yalikuwa na uratibu, ufadhili wa fedha (Sh 10,000 hadi 50,000)...
  18. MSAADA WA KISHERIA: Pesa ya Fidia ya Nyumba Mil 100 ya Mama Imeingia kwa Mtoto wa Miaka 20 na Amekataa Kurudisha

    Wana JF naomba ushauri Nina shangazi yangu alifiwa na mumewe na kuachiwa watoto watatu. Wawili ni wadogo wanasoma, wa kwanza ni kijana wa miaka 20 hasomi. Walikuwa na nyumba yao ya familia maeneo ya Mabibo. Nyumba iko kwa jina la marehemu baba. Hivi karibuni eneo lote limenunuliwa na kampuni...
  19. Biashara ya udalali: Unaweza kupata pesa bila kumiliki bidhaa unayouza!

    Unajua kuna watu wanapata mamilioni kwa kuuza nyumba ambazo si zao, magari ambayo hawajayanunua na viwanja ambavyo hawavimiliki? Hiyo ndiyo nguvu ya biashara ya udalali! Fikiria kijana mmoja anajua kuna mtu anauza kiwanja cha TSh milioni 20. Anamtafuta mteja, wanakubaliana bei na mauzo...
  20. Wengine wanavuna asali, wengine wanatengeneza pesa kwa kuiuza — wewe upo upande gani?

    Je, unajua kwamba unaweza kuingiza kipato kizuri kupitia biashara ya asali hata kama humiliki mzinga mmoja wa nyuki? Hebu fikiria jambo hili. Mfanyabiashara mmoja ananunua asali kutoka kwa wafugaji wa nyuki mkoani Tabora, anaichuja, anaifungasha vizuri kwenye chupa zenye lebo, kisha anaiuza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…