nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA walitaka wajisifie kuwa na jengo zuri au Siasa na Demokrasia nzuri za kuikomboa Tanzania?

    Halafu mkiambiwa mmepungukiwa madini ya akili Vichwani mwenu mnanuna na kukasirika. CHADEMA iliyokuwa chini ya Dkt. Wilbroad Slaa ilikuwa ya uhakika, yenye Dira, Mikakati, Hamasa, Chachu ya Mabadiliko, tishio kweli kwa CCM na ilipendwa na hata sisi akina GENTAMIYCINE tusio na chama chochote...
  2. warzone

    JamiiForums Tanzania Natafuta frem nzuri iliyo eneo zuri kwa biashara ya juisi za matunda

    Habari wakuu,natafuta frem kwaajili ya kuweka biashara ya juisi ya matunda ,na location ikiwa nzuri kwa uuzaji wa juisi ya matunda itakuwa vizuri zaidi. pm kwa mawasiliano zaidi
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kazi nzuri ya Gado katika katuni Rais Samia

    Godfrey Mwampembwa ni mchoraji wa katuni kutoka nchini Tanzania anayeishi Kenya. Katuni zake nyingi zinahusu habari za siasa lakini amechora pia Hekaya za Abunuwasi. Gado ni mchoraji anayechapishwa zaidi katika Afrika ya Mashariki.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Quality ya nguo za GSM na Waikiki siyo nzuri

    Mwaka jana mwezi wa 12 niliamua kufanya shopping ya nguo kwa watoto wangu. Nilianza na Woolworth. Woolworth bei za nguo za watoto ni juu sana kwa kweli. Nilinunua nguo chache lkn kwa gharama kubwa. Baada ya hapo nikaamua kwenda Mlimani City. Hapo ndipo nikagundua kumbe naweza kununua nguo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada shule nzuri ya High school iliyoko Dar au Pwani yenye karo nafuu comb ya GBG

    Wakuu hamjambo? Kijana wangu kamaliza kidato cha nne 2022, ufaulu wake ni C. C. C ktk comb ya CBG. Natafuta shule yenye unafuu wa karo iliyopo hapa Dar au Pwani. Ukinijuza shule na karo yake utakuwa imenisaidia sana. Shukran.
  6. Ndege Tai

    JamiiForums Tanzania Gari nzuri kwa watu wenye vipato vya kawaida hususani vijana

  7. masai dada

    JamiiForums Tanzania Hoteli nzuri za kufikia unaposafiri kwenda nje ya Nchi

    Habarini Wakuu, Wengine huwa tunajilipua tu haswa kwenda kutizama fursa na kufanya biashara na kutalii. Unakuta hatuna guide wala wa kutupokea. Bila kusahau mikoa mbalimbali haswa ya kibishara. Na miji mikuu ya nchi kama Nairobi, kampala. Kwa wenye exposure jamani tuambien hotel za kufìkia na...
  8. Teslarati

    JamiiForums Tanzania BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

    Habarini wana jamvi. Nimesoma hii story NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma nikakumbuka yalonikuta miaka ya mwanzo kabisa naanza mahusiano, sio kisa exactly lkn regret nlonayo ni kama ya mwenye aloandika hio story. Ilikua hivi, miaka hio...
  9. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu nzuri kwenye maisha yangu(Baba yangu)

    Nawasalimu natumaini tuko poa na wagonjwa Mungu atujaalie afya zetu ziimarike. Leo imekuwa siku nzuri ya kumbukumbu nzuri maishani mwangu Kama kitu nilibahatika ni kuwa mtoto wake. Mama aliwahi kunambia kabla ya kuzaliwa kwangu baba yangu alikuwa asiyejali kabisa kuhusu future yake ila baada...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni siku ipi nzuri kwako ilikuwa na matukio nadra mazuri kwako?

    Niliwahi kumpa mwanafunzi mwenzangu shilingi laki 3 tukiwa chuo, yeye akiwa mwaka wa mwisho ili alipie kodi ya geto lake mimi nikirudi nihamie. Aliingia mitini kwa miaka mitatu hivi, siku ya siku nikiwa sina hili wala lile napokea meseji, shilingi laki 3 na elf 20 imeingia, napokea na meseji...
  11. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmepata ajenda nzuri ya kuiondoa CCM madarakani, mjivuruge wenyewe sasa!

    Hata mtu mjinga anajua kuwa huu mkataba wa "kuwauzia" Waarabu Bandari zetu umepatikana kilaghai! Nape Nnauye ni mnafiki sana! Analinganisha mkataba wa Bomba la Mafuta na huu wa Bandari,wakati anajua wakati wa Hayati Rais Magufuli mkataba ule ulijadiliwa na Baraza la Mawaziri mara kadhaa! Sasa...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hitimisho langu. Ni ishara nzuri ya kuongezeka kwa confidence kwa Wawekezaji ila kwetu tuzidi kupambana na ujinga na chuki hawa ni maadui wakubwa sana

    Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu. Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua...
  13. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Hivi Ukizaa na mke wa mtu na bahati nzuri au mbaya mtoto amefanana na wewe. Je unaweza kudai mtoto wako?

    Hivi Ukizaa na mke wa mtu na bahati nzuri au mbaya mtoto amefanana na wewe. Je unaweza kudai mtoto wako?
  14. me fareed

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya alizeti bei nzuri sana

    Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
  15. SaidJuma123

    JamiiForums Tanzania Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
  16. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Lodge nzuri maeneo ya Mwenge

    Wakuu, nahitaji lodge nzuri maeneo ya Mwenge na makumbusho, Dar es salaam. Bajeti yangu ni Tsh. 20,000 hadi 25,000.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna Barber shop nzuri Arusha mjini

    Naomba kufahamu Barber shop nzuri Arusha mjini.( Wanaozingatia usafi wa hali ya juu, wenye customer care nzuri na wanaonyoa vizuri)
  18. She Quoted you

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi gani nzuri ya kusomea Wizara ya Utalii/ Maliasili

    Hello jF, Mdogo wangu amemaliza shule form four amefaulu vizuri. Hataki kwenda advance ila anataka asomee course/diploma inayohusiana na mambo ya utalii/maliasili mfano chuo. Cha Mweka Kilimanjaro. Naombeni msaada Ni Kozi gani nzuri zenye future katika hii sekta?
  19. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua App nzuri ya Mazoezi

    Wakuu, mwenzenu napenda sana kufanya mazoezi ya viungo hasa nikiwa home. Huwa nafanya mpka naishiwa style za mazoezi. Naomba kujua App nzuri ambayo ninaweza kuipata playstore niwe nabeba madini huko. Ikiwa ya bure itapendeza zaidi maana kodi zimetukodesha. Yanga Bingwa CAFCCC
  20. U

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi Kuona Vyombo(mitungi) , Tafrija ya Ikulu, nzuri sana

    Leo ni Siku muhimu Kwa Mkoa wa Dodoma ambao ni makao makuu ya Jamhuri ya Muubgano wa TAnzania, kwani unafanyika Uzinduzi wa Jengo la Ikulu (State House ambayo pia ni Ofisi na Makazi ya Raisi na Makamu wa Raisi. Kwakweli Leo nimefarijika sana na uandaaji wa Tafrija hii kwani wameweka na Vyombo...
Back
Top Bottom