nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Akufukuzae Hakwambii Toka, Njia ngani nzuri ya kumwambia mtu sasa ni wakati wa yeye kwenda?

    Wakuu, Njia gani bora ya kumwambia mtu sasa ni wakati kwenda kwake? Mara nyingi wana wakija lbd kuangalia movie au kutumia Internet unawez kumuambia "Aise mda wa kusepa huu" mtu anakuelewa haina hata shida naondoka Shida ni kwa wadada toka asubuhi mpaka mdaa huu bado mtu hana mpango Na pia...
  2. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kujua duka wanalouza mota bei nzuri kwa Dar

    Wanajf natumai mpo poa, Naomba anayejua duka ambalo naweza pata mota kwa bei nzuri ukiachana na autosokoni. Nawasilisha kwa msaada.
  3. Chale david

    JamiiForums Tanzania Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Kati ya kwenda hge hgk au kwenda chuo course ya bussness administration au human resource qu accountancy ipi ni bora zaid naombe msaada
  4. U

    JamiiForums Tanzania Anayeijua App nzuri ya kukata online tickets za mabasi hapa Tanzania anijuze

    Naomba anayeijua app nzuri ya kukatia online tickets za basi hapa Tanzania anijuze tafadhali! Nimejaribu app ya e-ticket kilichonipata sina hamu kabisa!!!
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Watu wa Kariakoo tusiende na matokeo yetu Tanga hali si nzuri kwetu

    Nawatakieni uvumilivu mwema kwa matokeo yoyote yale (yasiyo ya Kufurahisha) ya Leo Jumatano na Kesho Alhamisi. Mkifanikiwa sawa ila hali si nzuri kivile kinyota kwa wana Kariakoo wote au mmoja wao. Msije kusema sikuwatahadharisha.
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Natafuta Feni nzuri na bora ya Darini

    Wadau nahitaji feni nzuri kubwa 56" at least ya darini yenye upepo mwingi but isiwe na kelele nyingi. Budget tsh 100, 000 isizidi hapo kwa moja. Nami nahitaji mbili zinazodumu
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kokoriko ya Paw Fum ni ngoma nzuri sana kwa DJ's wa Pub

    E banae katika pitapita zangu YouTube nimekutana na ngoma moja ya Kokoriko ya jamaa anaitwa Paw Fum nikaichukulia poa badae nika download nikaeka kwenye bufa ebana ngoma inakita sio poa. Kwa wale DJ's wa Pub hii itakuwa nzuri kwenu kwasababu ina amsha amsha flani hivi inapandisha mizuka...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Four takeaways from Trump's indictment for 2020 election interference

    Four takeaways from Trump's indictment for 2020 election interference The special counsel investigating Donald Trump's efforts to overturn the 2020 election results has issued four charges against the US former president. The 45-page indictment alleges Mr Trump orchestrated a broad conspiracy...
  9. 2Laws

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tazama ramani utaona nchi nzuri

    "Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania..." Ningetamani kuimba hata mwisho lakini wengi tunaufahamu na tumewahi imba. Ila nilikisudia tuvute taswira na kuyatafakari maneno ya wimbo huu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa DP World una nia nzuri lakini haukufuata utaratibu

    Nia ya mkataba wa DP WORLD ulikuwa na nia njema ya kuiongezea Tanzania mapato makubwa na baadae kuwekeza fedha hizi katika miradi ya maendeleo lakini kwa nia njema kabisa utaratibu haukufuatwa. Kutokana na mapungufu hayo nashauri mkataba huu UFUTWE MARA MOJA na tuanze upya kutafuta wawekezaji...
  11. Chale david

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ipi inafaa kwa Certificate kwa matokeo haya?

    Kozi ipi inamanufaa kwa ngazi Certificate kwa hay matokeo PHYS D CHEM D BIO C GEO C HIST C KISW C CIV D ENG D MATH F
  12. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mbona hatueleweki, akisema mbaya au nzuri yote tunashangilia, angalia Hayati Magufuli anavyoshangiliwa

    Uzuri wote tulivaa kijani na njano, hakukuwepo na kaki au nyekundu humo ndani. Kama una bundle angalia na usikilize hii 👇🏾. Mzee baba alikuwa anapiga madongo ya kusiliba aina ya ukopaji na kuomba ovyo misaada, hii ilionyesha alikerwa sana na mfumo wake. Ndugai (huyu aliyewahi kuwa spika...
  13. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Apps nzuri ya kutunzia Documents

    Apps nzuri ya kuntuzia data Kisha ni unstall nikizihitaji ni zipate tena niki download.
  14. Maleven

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna wanawake wananyota nzuri ukiwa nao au ni dhana tu?

    Hili suala nilikua nalisikia tu lakini sasa niko asilimia nyingi kuamini kua kuna wanawake ukiwanao au ukikutana nao wanakua na bahati sana. Kuna mdada kila tukikutana baada ya hapo nitapata habari njema, nashangaa sana. Ni kweli haya mambo yapo au ni coincidence tu?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kuwa celebrity ni sifa nzuri kwa jamii zetu?

    Nimekuwa nikitafakari hili neno maana wanaojiita celebrities wanajivunia sana kuitwa hivyo. Celebrity ana sifa zipi?
  16. Issaboy255

    JamiiForums Tanzania Ushauri ipi kozi nzuri

    habari zenu wa JF nina mdogo wangu kahitimu form six mwaka huu P.C.M amefaulu vizuri tu ana dvs2 ya point 12 sasa yuko dilemma mwanzoni alitamani kusomea water supply and sanitation bt now naona anataman kuchukua computer science au I.T ananiomba ushaur daily bt sina uelewa kiundan kuhusu hizo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA miaka yote wameweza kuwa na safu nzuri ya wataalamu kwenye hoja kuliko Serikali? Wanapataje wataalam wao?

    Ukisoma analysis za miaka yote za CHADEMA zina element ya consistence kwenye neutrality za hoja. Most of time wameweza sana kutokutoa advice,comment au maazimio ya kichama yanayokinzana na wananchi waliowengi. Wana toka na maazimio ambayo kila mtu akiyasoma anaelewa. Lakini jambo la pili...
  18. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua Apps nzuri ya music player msaada tafadhal

    Habar za usiku wananzengo!! Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Kwayeyote mwenye kujua apps nzuri ya music player kwenye simu naomba anitajie tafadhali ili ni download niweze kuskiliza good music na mimi kwenye kijitambo changu
  19. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Dar - Mbezi Msuguri; Nauza Friji kubwa na ya kisasa (brand samsung) na SOFA nzuri sana (Leather sofa)

    Hello ladies and gentlemen hizi hapa mali safi kabisa Friji iko mwake mwake kama unavyoiona.. Bei 750,000 Tuwasiliane Mbezi kwa Msuguri
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wekeni mambo wazi, ujenzi wa Ikulu Chamwino ni kazi nzuri ya hayati Magufuli, angekuwepo hata bandari ingeendelezwa na JKT bila DP World

    Miundo mbinu ya bandari ni cranes, na kuwa na gati za kisasa. Hili halihitaji mwarabu kupewa kwa nguvu hata JKT wangepata utalaamu kutoka China wqngefunga cranes za kisasa na kuwezesha ufanisi. Hii ya Ikulu Chamwino msitie Chumvi za uongo aliyepambana ni hayati. Vinginevyo wangejenga hata...
Back
Top Bottom