nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Mapazia ya kisasa, designing and installation kwa ajili ya nyumba, hotel, offices etc

    UNATAKA NYUMBA, HOTEL AU OFFICE YAKO IONEKANE YA KISASA NA YA KIFAHARI? 🏠✨ Watu wengi hutumia fedha nyingi kwenye furniture, rangi na decoration mbalimbali lakini bado room haipati ule muonekano wa “complete luxury look”. Sababu kubwa mara nyingi huwa ni uchaguzi mbovu wa MAPAZIA. Pazia si...
  2. Mnyororo wa Umaskini: Jela ya Kifamilia na Ukoo inavyozima Ndoto nyingi

    Mnyororo wa umaskini (Generational Poverty) siyo tu hali ya kukosa fedha bali ni mfumo wa kimaisha, kifikra, na kijamii unaorithishwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine. Katika familia na ukoo Umaskini huu hufanya kazi kama gereza lisilo na kuta, ambapo watoto huzaliwa na kukuta madeni...
  3. T

    Binadamu alichomwa chanjo nyingi kuliko binadamu yoyote afikisha miaka 100

    Sir David Attenborough, ambaye anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 100 leo, amesafiri karibu kila kona ya Dunia kama sehemu ya azma yake ya kuwaelimisha wengine kuhusu ulimwengu wa asili. Mtangazaji huyo, maarufu kwa sauti yake ya kipekee ya utulivu, aliweka viwango vipya vya makala za...
  4. E

    Maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki

    Habari, maeneo mengi ambayo taa ziliwekwa kwa Mitaa ya Tandale, Taa zake Nyingi zimekufa haziwaki. Ni taa ambazo zimewekwa tangia enzi za Magufuli..
  5. Ado: Kuwa mwanasiasa wa upinzani nchi nyingi Afrika ni kujiingiza kwenye misukosuko

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini na Katibu mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza na waandishi wa habari, amesema katika vitu ambavyo haogopi ni kupata misukosuko ya kisiasa kwa hofu hiyo aliitoa alipoamua kuwa mwanasiasa wa upinzani. Ameongeza kuwa, kwa nchi nyingi za Afrika...
  6. Unataka kuoa unakuta demu ana sifa nyingi nzuri lakini ni Kiholoholo. Hapo mimi siwezi kabisa

    Demu kiholoholo ni demu kimbaumbau. Nimejarib mara kadhaa kula.... Huwa kwa kweli sivutiwi kabisa. Napenda demu awe na makebo makubwa. Hapo sawa. Lakini akiwa kiholoholo.... Aaargh labda ELI COHEN na Intelligent businessman wanaweza elezea kwa uzoefu wao. Maana hawa jamaa wana exposure kubwa...
  7. M

    Vitu ninavyotamani ningevijua mapema kwenye kumiliki gari, ningepunguza gharama nyingi sana

    Ni kwa uzoefu wangu wa kutumia magari kwa mizunguko ya mjini na safari chache nje ya mkoa, Gari nilizomiliki ni automatic, mafuta petrol, cc 1500 hadi 2500, magari ya kawaida tu, nothing fancy Hakikisha unatumia oil sahihi na original za gari lako, kama engine inahitaji 10W40, tumia hiyo. Kama...
  8. Baada ya kelele nyingi juu ya Dualis nikaamua kuiuliza AI

    Ni kweli kuwa gari aina ya nissan dualis zinakawaida ya kuwaka moto? MAJIBU YA AI ni hayo: Hiyo kauli kwamba Nissan Dualis “inakawaida ya kuwaka moto” imezidi kupitishwa sana kuliko ukweli halisi. Si kwamba Dualis nyingi zina tatizo la kipekee la kuwaka moto—mara nyingi ni mchanganyiko wa...
  9. R

    Musukuma: Tunatenga hela nyingi ya 10% lakini Wakusanyaji wetu hawana utaalamu kukusanya madeni, wanaenda kudai wanarudi na mkaa na kuku

    Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma wakati akichangia hoja leo Aprili 15, 2026 Bungeni, ameitaka serikali kuzingatia ukusanyaji wa madeni wa mikopo ya asilimia 10% kwenye Halmashauri kwa kuajiri vikundi au vijana wasomi wenye ujuzi huo ambapo kwa sasa kazi hiyo inasimamiwa na...
  10. A

    KERO Selcom inatukata pesa nyingi kama 'penalty' kila unapokosea muamala

    Kero yangu ni selcom penalty, Selcom ulikuja kama mtandao (mobile wallet) mbadala kutokana na kuwa na makato madogo. Ila kwa sasa hali imebadilika umekua ni mtandao wa kukata watu hovyo ukifanya muamala imepelea hata shilingi moja pengine kwa kujua au kutokujua hawatumi meseji kuwa salio...
  11. M

    Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi kwenye starehe?

    Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi Kwenye maisha kuna mambo mengi sana, kuna wakati mtu unaamua kujipa kafuraha unatumia pesa, ukistuka kibinda kimeenda kikubwa kiasi unataka kuumia roho ila unatafuta kamsemo ka kujifariji...
  12. Kuna faida nyingi kiuchumi kwa mwanaume kuchepuka

    Naungana na ndugu yangu Equation x .Mwanaume kuchepuka kuna faida nyingi sana kiuchumi. Embu fikiria leo hii wanaume kwa umoja tukakubaliana hakuna kuchepuka kila mmoja atulie na mpenzi/mke wake, nini kitatokea. - Wanawake wengi sana watashindwa kuendelea na masomo ya chuo kikuu - Wanawake...
  13. G

    KERO Bima za afya za watumishi wanyonge NHIF standard hazilipii gharama nyingi za matibabu zaidi ya matibabu madogo madogo tu

    BIMA ya standard ni ya kizushi gharama za huduma nyingi unaambiwa hii haipo kwenye bima ya NHIF. Yani mtoto alimeza coin nikampeleka hospitali imatolewe RIGID BRONCHISCOPY.. nikalazimika kulipia laki tatu na nusu 350,000/= huku mimi baba wa mtoto na mama wa mtoto wote ni watumishi wa serikali...
  14. A

    Kwanini Taasisi nyingi za kiislamu kama mashule na hospitali zimejaa uzulumaji (Haziwapi Wafanyakazi wake stahiki zao )

    Kwanini Taasisi nyingi za kiislamu kama mashule na hospitali zimejaa uzulumaji (Haziwapi Wafanyakazi wake stahiki zao )
  15. A

    KERO Zebra nyingi zimefutika Barabara ya Bagamoyo, TANROADS shughulikieni hilo

    TANROADS wanajisahau sana kuhusu alama za wavuka kwa Miguu ya PUNDAMILIA/ZEBRA, zimefutika kiasi kwamba sasa zimekuwa chanzo cha ajali. Changamoto hiyo ipo sana maeneo ya Barabara ya Bagamoyo, mfano Kituo cha Kibo Complex Tegeta, Boko Basihaya, Boko magengeni, Bunju Center ndio hakuna kabisa...
  16. A

    KERO Responded Waziri wa UTUMISHI afanye ziara kama Waziri Mkuu, Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri nyingi ni 'Miungu Watu'

    Tumeona ziara ya Waziri Mkuu ikitupa picha halisi juu ya uzembe na kutokuwa na uwajibikaji wa uwazi katika Ofisi za Umma. Tunaomba pia Waziri wa UTUMISHI (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) angeanza ziara ya kupitia hususani katika Halmashauri zote...
  17. Haya maneno yapo kwenye nyimbo nyingi je yana maana gani?

    Kwenye nyimbo za kizungu, kibongo,nk. Je? Yana maana gani? Na chimbuko lake ni wapi?
  18. Kwa nini mabosi au Watu wenye hela nyingi hawajengi kwao? Mkienda kuzika mpaka unaona aibu

    Hii n changamoto sana hapa mjini kwa kwelii.....Najiuliza kwa nini mabosi wengi maofisini wana shida kubwa hawajengi makwao wanapotoka??[sio wote] Na sasa hadi wafanyabiashara wakubwa wanajaza majumba Dar wanazikwa kijijinI. Majuzi kati nilienda kumzika bossi mmoja Tanga aisee nilishtuka. Dar...
  19. Dunia mara nyingi huwajaribu watu wenye uadilifu

    Mara nyingi watu wanaojaribu kuishi kwa uadilifu, kanuni na heshima ndio wanaopitia majaribu mengi zaidi. Kisaikolojia, hii sio bahati mbaya. Maisha yana tabia ya kuwajaribu zaidi wale wanaojaribu kusimama imara kwenye misingi yao. Ni kama chuma kinavyopitia moto mkali ndipo huwa imara zaidi...
  20. Je wewe una akili nyingi?

    Akili nyingi ni kufanya kitu ambacho wengine wote wameshindwa kufanya, ila wewe ukaweza kufanya na kikaonekana. Iwe ni kwenye teknolojia, biashara, maamuzi magumu n.k Je, wewe una akili nyingi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…