nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Ulishawahi kukutana na Mpenzi/ Mchumba mwenye Chale nyingi kwenye Mwili wake? Nini kilikushangaza? Ulichukuliaje?

    Binafsi BushDokta naamini ktk tiba ya mizizi na mimea kama ilivyokuwa hapo kale. Kamwe siamini ktk ushirikina au mambo ya mauza uza. Mwaka fulani nilikutana na Msichana Mrembo mzuri anavutia, Mpole, na tabia njema shape kama loote( kwa wale mnaopenda mitulinga). Kilichonishangaza ni wingi wa...
  2. Yoda

    Kwanini kumekuwa na story nyingi sana za kutunga mtandaoni Tanzania?

    Nini kimetokea kuanzia JamiiForum, Facebook, Twitter na Instagram raia wengi wa Tanzania hasa vijana wanaposti visa au story nyingi mbalimbali za matukio ya uongo tu ya kutunga ya mahusiano, ndoa, uchawi n.k ?
  3. Fbn

    Kuna siku mtasikia pesa imelipwa kampuni ya META ambayo inashutuma kubwa sehemu nyingi.

    Kwa kuwa mchakato bado ujamalizika na wengine wakisubiri juwa la jioni kuweka misamahaa yao kwenye vitabu. Kuna jambo mtakuja kubaki midomo wazi kuhusu META hii kampuni ya facebook na ubagazaji wa afrika kuficha maovu na nchi zinazo walipa mpaka urusi yupo,USA yupo,israel yupo,afrika ndio...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Wakati wa maandamano ya ukombozi simu nyingi za wazazi zililia kuwaambia watoto wao wasitoke na wabaki ndani wasije wakauawa

    Hamjambo Wote! Wazazi wengi waliwatia uoga vijana wao. Simu zilikuwa zikiita kwa vijana zikiwaonya wasitoke. Wabaki ndani. Makundi sogozu ya kindugu yalikuwa na hofu. Hakuna kujadili mambo ya kisiasa. Huku msisitizo mkuu ukiwa vijana wasitoke ndani siku hiyo. Vijana wabaki ndani. Nakumbuka...
  5. O

    Taifa linaloutukuza ujinga na kuudharau maarifa hujichimbia kaburi lake lenyewe; mara nyingi uhai wake hauzidi karne moja.

    Mnakaribishwa!
  6. Financial Analyst

    Kwanini wanaume wengi kutoka mataifa ya asia haswa ya kiarabu wana kesi nyingi za ubakaji na unyanyasaji kingono huko uingereza?

  7. DogoWaNjombe

    Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa Wasichana na kusahau Wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni

    PRESHA WAVULANA WENGI WANAPAMBANA KIMYA KIMYA. Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa wasichana… lakini mara nyingi husahau kwamba hata wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni. Tofauti ni kwamba wavulana wengi wamefundishwa kuficha maumivu yao. Wamefundishwa: “vumilia.” “kuwa mwanaume.”...
  8. MRWINNER

    Nini Hupelekea Ndoa Nyingi Kuvunjika Ama Mahusiano?

    Je, sababu kuu huwa ni usaliti na matamanio, kukosekana kwa uwazi, au kuchokana ?
  9. robbinhood

    Bado mnatumia Excel kufuatilia mali (Asset) za kampuni?

    kampuni nyingi bado kufuatilia laptop, printer, furniture au vifaa vya kazi kwa makaratasi au Excel. Changamoto inaanza vifaa vinapopotea au kukosekana kwa taarifa nani anatumia kifaa gani. Asset Management System inasaidia, 1. Kufuatilia vifaa vyote kwa urahisi 2. Kujua nani amepewa kifaa...
  10. M

    Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.

    Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita. Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
  11. Q

    Peter Msigwa: Tawala nyingi zilizofanya mauaji ya halaiki dhidi ya raia wake ziliporomoka

    Historia ya dunia ina mifano mingi ya serikali au tawala zilizohusika katika mauaji ya halaiki dhidi ya raia wao au makundi fulani ya watu. Mara nyingi matokeo yake yalikuwa: • kuporomoka kwa tawala, • majeraha ya kizazi kwa kizazi, • migawanyiko ya kitaifa, • hukumu za kimataifa, • au viongozi...
  12. M

    Makanisa yanayohimiza elimu yameleta maendeleo kwenye jamii, Makanisa yanayofaidisha matapeli ni janga kwenye jamii, hatuna budi kumuiga Kagame

    Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi. hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k. Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
  13. M

    Ni kwa familia nyingi au ni chache tu nazozijua yule mtoto aliekuwa hapewi mategemeo makubwa ndie anakuwa tegemezi hapo baadae.

    Huenda walikuwa watundu sana, au wakaonekana wenye kiburi, au wazazi waliwapuuza hata walipokuwa watiifu na wenye heshima. Lakini ukubwani, mambo yanakuwa tofauti, unakuta wanabeba mizigo ya familia kuanzia uchumi hadi usimamizi wa kila jambo.
  14. Zack Abdul

    Rais Samia: Utalii Waneemesha Sekta Nyingi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aua ndege wawili kwa jiwe moja. ◇Kazi zake katika utalii zaanza kuneemesha sekta zingine ◇Ndege Ulaya kuleta watalii moja kwa moja kuja Tanzania ◇Matunda, mboga mboga, maua, samaki kupelekwa ulaya
  15. K

    Angalieni wenyewe siasa nyingi mbipango mibovu

    https://youtu.be/mVPnfyiLJaI?si=yHScuM1kZJdb9zxM
  16. Mad Max

    Kwanini ChatGPT ukimuambia achague random namba, kati ya 1 na 100, mara nyingi atachagua 73?

    Kavurugwa. Gemini yeye anapenda 42.
  17. M

    Bei sio kigezo tena cha kutambua bidhaa original, Bidhaa feki zimejaa sokoni na tunapigwa kwa bei original

    Bei haionyeshi ubora tena, feki na original vinauzwa sawa sokoni Zamani ilikuwa rahisi kutambua biashara ya bidhaa feki. Wafanyabiashara walikuwa wanauza vitu hivyo kwa bei ya chini kabisa, na mnunuzi alikuwa anajua kabisa kwamba anachonunua si original. Ilikuwa kama makubaliano ya kimya kimya...
  18. B

    Mapazia ya kisasa, designing and installation kwa ajili ya nyumba, hotel, offices etc

    UNATAKA NYUMBA, HOTEL AU OFFICE YAKO IONEKANE YA KISASA NA YA KIFAHARI? 🏠✨ Watu wengi hutumia fedha nyingi kwenye furniture, rangi na decoration mbalimbali lakini bado room haipati ule muonekano wa “complete luxury look”. Sababu kubwa mara nyingi huwa ni uchaguzi mbovu wa MAPAZIA. Pazia si...
  19. Mshana Jr

    Mnyororo wa Umaskini: Jela ya Kifamilia na Ukoo inavyozima Ndoto nyingi

    Mnyororo wa umaskini (Generational Poverty) siyo tu hali ya kukosa fedha bali ni mfumo wa kimaisha, kifikra, na kijamii unaorithishwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine. Katika familia na ukoo Umaskini huu hufanya kazi kama gereza lisilo na kuta, ambapo watoto huzaliwa na kukuta madeni...
  20. T

    Binadamu alichomwa chanjo nyingi kuliko binadamu yoyote afikisha miaka 100

    Sir David Attenborough, ambaye anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 100 leo, amesafiri karibu kila kona ya Dunia kama sehemu ya azma yake ya kuwaelimisha wengine kuhusu ulimwengu wa asili. Mtangazaji huyo, maarufu kwa sauti yake ya kipekee ya utulivu, aliweka viwango vipya vya makala za...
Back
Top Bottom