Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.
Kamwe usianzishe biashara kwasababu Umeona mwenzio ameanzisha na anapiga pesa. Kumbuka kila biashara inachangamoto zake,na inahitaji uzoefu flani.
Jana nilikua Jiji la Mbeya ni kama BAJAJI NI NYINGI kuliko idadi ya watu wanaohitaji huduma hiyo(sina uhakika hii ni assumption tu).
Nikawaza...
Tatizo la kofia za pikipiki ya Boxer asee ni kubwa
Hazina uimara zinaharibika haraka sana
Nyepesi mno mikanda inayoshikilia imefungwa vibaya na vishikizo vyake haviko vizuri ukivuta kinakatika
Sehemu zilizowekwa gundi kwa maana mkanda unaoshikilia jumba la nje na ile sponge ya ndani, gundi...
Anonymous
Thread
hatari
hazina
kofia
nyingi
pikipiki
sana
sokoni
ubora
watumiaji
Uarabuni Kuna fursa nyingi sana za kazi, kama umesoma na hupati kazi Tanzania nenda Uarabuni, tena kama ni Muislamu ndio mambo yanakuwa rahisi zaidi na unaweza kujipatia hata mke au mume Mwarabu huko.
Huwa nashangaa kumuona Muislamu msomi wa degree, diploma au VETA anahangaika na ajira...
Mwanafunzi wa kike wa shule ya Sekondari "aliyerekidiwa "akitolewa usichana " na kijana Kelvin wa miaka 26 alikuwa "anabanjuliwa kwenye Gesti house" na Siyo nyumba ya kulala wageni.
GESTI ni "nyumba rasmi zenye leseni ya kufanyia ngono muda wowote na kuna malipo ya "short time" na kulala siku...
Ninaandika kwa huzuni kubwa sana. Kuna watu pale NECTA na Wizara ya elimu wanaichezea elimu yetu. Tunajidanganya mno. Hivi kwa nchi kama hii yenye wanasayansi wachache na teknolojia duni unaondoaje penalty kwa F ya Basic Maths form Four? Kwanini tunajidanganya?
Wataalamu wa elimu hawajui kuwa...
Naomba niwambie fu, hawa watu hawatakaa kwa amani hata kidogo baada ya kufanikisha dhamira yao ovu kwa Tundu Lissu
Kwahiyo, katika kuhangaika, siku si nyingi wataitisha mkutano wa waandishi wa habari ambapo pamoja na mambo mengine, warazungumzia swala la Lisu.
Moja ya jambo watalokujanalo...
Hii imekaaje?
Hivi kuna watu wanaongoza kwa kuomba na kusali kama watu kutoka Afrika kweli?
Nyumba za ibada kila baada ya mita kadhaa, nadhani bara hili hata kwenye wingi wa nyumba za ibada tunaongoza duniani, huko mitaani makanisa na misikiti vimesongamana mno, nimeona nyumba za ibada...
Kuna ndoto niliwahi zileta humu kulingana na tafsiri za wadau nyingi zilileta maana.
Leo nimeota hivi usiku.
Nilikuwa mm na mke wangu na mdogo wangu wa kiume ambaye pia naishi nae huku nilipo sasa tulikuwa tumetokea mjini tunatembea na mguu tunarudi kwenye mitaa tunayoishi.
Sasa njiani...
Na ndio maana sikuhizi gereji za wachina zinazidi kuwa na demand kubwa, mtu anaona ni heri alipie mara tatu kuliko kwenda garage za mafundi wabongo.
Mafundi wetu wana tatizo moja kubwa: hawajui kusema "SIJUI."
Kila kitu wanalazimisha kukitengeneza hata kama hawana uelewa nacho. Mwisho wa siku...
Hizi ni Baadhi tu ya stori za Biblia zilizobadilishwa kiajabu ajabu na kiholela na Quran
1. Yesu Hakufa msalabani
2. Yesu alizaliwa chini ya mtende anazungumza
3. Ishmael mtoto wa ahadi badala ya Isaka.
4. Farao wa Misri kujenga mnara wa kwenda mbinguni badala ya watu wa mji wa Babel...
Ukiondoa wale wanaokula madhabahuni, yaani pastors, bishops, mitume na wengine wenye access na sadaka wengine wengi wanateseka sana katika maisha ya kiuchumi.
Wakristo wote tuliomwamini Yesu tutaingia mbinguni bila kujali dhehebu na kama kuna Mkristo hataingia mbinguni basi kuna sababu zingine...
Leo natamani kutoa pongezi zangu za dhati kwa kaka yangu, Prof. Eliamani Sedoyeka, kwa kazi kubwa na ya mfano anayoifanya kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Kumbukumbu zangu zinarudi nyuma mbali sana, wakati ninaingia Kidato cha Kwanza katika shule ya ufundi ya Moshi Technical School (Moshi...
je hii ni shida au ndo maamuzi yao wazalishaji wa nyimbo hizo maana unakuta jitu linacheza club ukiliuliza ni kinaimba.
Nlasambaa, nakasolembwaa x2
kah
yaani sauti iko chini biti kuliko bongofleva atleast inakuwa juu ya biti au ni style sio kwamba wanakosea
Ningependa kuwasilisha ushauri kuhusu changamoto zinazowakabili vijana na wafanyakazi wengine katika sekta binafsi, hususan masuala ya mikataba ya ajira, mishahara na mazingira ya kazi.
CHANGAMOTO KUBWA
Mikataba ya ajira: Wafanyakazi hupewa mikataba ya mwaka mmoja inayorudiwa kwa kipindi cha...
Anonymous
Thread
binafsi
changamoto
iangalie
nyingi
sekta
sekta binafsi
serikali
wafanyakazi
Ili niliwai liandika sana na kuandika sana, lakini nikaonekanika ni kibwengo tu nisiyejielewa, nilidhiakiwa sana na kubezwa
Kitendo cha kuunganisha siku ya kumbukizi ya kifo cha Hayati mwalimu Julias Kabarage Nyerere na siku ya kilele cha mbio za mwenge kitaifa ni kumzalilsh Mwalimu.
Hii ina...
Ujinga wa wananchi wa nchi nyingi za Afrika hauiishi leo au kesho.
Kundi kubwa ni bendera fuata upepo halijui linataka nini.
Ni huzuni sana. Akitokea mmoja kuwatetea utasikia wanasema sisi hatuna wala shida ni yeye tuu huyo.
Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara.
Sasa basi suluhisho ni nini?
Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
ajali
bandari
bandari kavu
barabarani
basi
chanzo
chanzo cha ajali
iko
kutatua
malori
mfumo
mikoani
msongamano
muendelezo
nchini
nyingi
reli
serikali
serious
suluhisho
uwepo
wazi
Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi.
Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona.
Millennials wengi wakaingia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.