nyerere

  1. Dr Adam Francis

    Miaka 27 bila Mwl Nyerere; Je CCM bado inaiishi falsafa yake ya kimapinduzi?

    Leo imetimia miaka 27 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere atutoke October 14, 1999. Moja ya urithi aliotuachia ni Chama Cha Mapinduzi. February 5, 1977, TANU na ASP zilipounganishwa kuzaa CCM mwalimu alisema; “Kuanzishwa kwa Chama Cha Mapinduzi ni kitendo cha watu waliodhamiria kuleta...
  2. Mohamed Said

    Maktaba Yamuadhimisha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    https://www.facebook.com/share/p/19oZy4YqCD/
  3. T

    Tarehe 14/10/2026 Tunamkumbuka Nyerere

    Vifo vyote Tanzania Bara na Zanzibar, pamoja na vifo vinavyotokana na magonjwa, uzee, ajali, majanga, vita na matukio mengine, kuanzia mwaka 1961 hadi sasa Vifo vya jumla, 1961–2025 Takribani milioni 21 Haya ni makadirio ya awali, si jumla rasmi iliyothibitishwa. Chanzo cha takwimu za mwaka ni...
  4. Mohamed Said

    Nyerere Day 2026: Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    https://youtu.be/8_rapZFjZ88
  5. Yoda

    Kwa nini Mwl. Nyerere hakuh ?

    Katika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru. Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es Salaam ni watu wa "shughuli" zaidi, starehe, umbea, udaku na kupiga maneno. Bahati mbaya sana Dar es...
  6. Deus Jovin

    Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Profesa Palamagamba Kabudi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) nchini Tanzania, tangu 02 April 2026 KIhistoria, Tanzania ni Taifa linalojumuisha dola mbili za Tanganyika na Zanzibar, tangu mwaka 1964. Jumla ya eneo la Tanzania ni kilomita za mraba...
  7. Mohamed Said

    Nyerere Day 2026: Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    https://youtu.be/dB0Fte5XLTg?si=1ELIsna7kObFGKwO
  8. N

    Misri wana mvua chache sana ila wana pesa nyingi kuizidi Tanzania. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE l??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Misri hawana mvua ila wana pesa nyingi kutuzidi. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria na sisi (Tanzania) tuwape maji ya ziwa Victoria kwa maana tuna pesa kidogo ila mvua ni nyingi sana??
  9. M

    Sifa alizopewa Nyerere zina mashaka, Maamuzi aliyojichukulia kuifuta Tanganyika kana kwamba ni mali yake yanatucost sana mpaka leo

  10. M

    TBT: Karume alimwambia Nyerere yupo Tayari kuwa nchi moja na Tanganyika, Nyerere alikataa !! Nyerere ndie katufikisha hapa tulipo

    Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi kwamba angeweza kuamua mustakabali wake bila kuwashirikisha Watanganyika wenyewe. Tanganyika ilikuwa...
  11. Dr Matola PhD

    Kuuliza si Ujinga, hivi huyu Yericko anayedandia ubini wa Nyerere wazazi wake na ndugu zake wanajisikiaje?

    Nimejikuta nawaza kama mzazi umezaa mtoto umemlea kwa kadiri ya Mungu alivyokujalia, mara mtoto anakuwa anajiingiza kwenye maisha ya utapeli na kulikana jina la ukoo wako wewe kama Baba mzazi utajisikiaje? Wapo watoto wa ukoo wenye jina lao la Nyerere na hawashoboki nalo mfano mtoto wa kike wa...
  12. _-_-_-

    Silaha ya Kisaikolojia: Jinsi Plato, Nyerere na Brass Bands za Majeshi ya Afrika Zinavyotumia Muziki Kulinda na Kuendesha Dola

    Wakuu, jioni ya leo mtanisamehe kwa kuandika uzi mrefu kidogo, lakini naamini utakuwa na manufaa makubwa kwa wale wanaopenda kufuatilia jinsi mifumo ya madaraka (State Machineries) inavyofanya kazi nyuma ya pazia.Mara nyingi tukifikiria kuhusu "Zana za Kuendesha Dola," vichwa vyetu vinakimbilia...
  13. MWANAHARAMU

    Yericko Nyerere utafaidika na nini iwapo Lissu akinyongwa?

    Kaka Yericko Embu tujuze kipi utafaidika au una faidika iwapo mpiganaji Tundu wa LISU akinyongwa? Sote tunajua, ulishindwa kwenye harakati za chama na kikundi Chako kuwania madaraka ya kumbakisha aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Aikael Mbowe. Ninyi mliamini kwenye siasa za kimkakati...
  14. Blasio Kachuchu

    Nyerere Cycling Tour Watangaza Washirika wao wa mwaka 2026

    Washirika wa Nyerere Cycling Tour, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Zuweina Farah (wa nne kulia), ambaye aliwakilisha Vodacom Tanzania PLC kama mdhamini mkuu wa msafara huo, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa habari na...
  15. R

    Nyerere alisema mvua za kwanza ni za kupandia. Majira yamebadirika, subiri ,mvua za kwanza usipande, sikilizia.

    " vimvua" vilianza August, mpaka leo September hakuna mvua ya maana ya kupanda mazao. Hivyo majira yamebadirika. Ushauri wa Nyerere does mot hold any longer! Ila tayarisha mashamba
  16. M

    G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa na Warioba vs Kikwete ilishindikana kupata Tanganyika au Zanzibar huru. Je, kipindi cha Samia tutatoboa ?

    G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa, na Warioba vs Kikwete. Vipindi hivi vitatu vilitikisa mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano, lakini hatimaye havikuzaa Tanganyika au Zanzibar huru. Leo tunajiuliza swali lilelile: Je, kipindi cha Samia Suluhu Hassan ndiyo tutatoboa? Je, tutafika kwenye...
  17. Ndombwindo

    ULINGANIFU WA MIUNDO YA MIUNGANO: Nyerere alizidiwa Maono na Karume, Unfortunately, alidhani ataishi milele kuziba mianya.

    Copy and Paste ya mfumo wa UK ilimgomea, maana wanzanzibar hawakuwa wajinga pia. MUHIMU KUJIFUNZA: Tofauti kati ya wenye akili Nchi 4 zenye chumi kubwa zinaungana na kuunda serikali kuu moja, na wafuata mkumbo tuinchi tudogo tuwili ambato GDP zake anamiliki muwekezaji mmoja tu toka USA tunakuwa...
  18. R

    Steve Nyerere: Si afya kuendelea kutoa matamko, Watanzania hawataki siasa sasa hivi, wameridhika, wamempokea Makamu mpya

    Nukuu ya Steve Nyerere kwa Maandishi "Tukiikubaliane kwamba yaliyopita si ndio yetu, tugange yajayo. Laiti pili, mimi sizani, na hili ninawaomba kwa wenyeviti wa Chama cha Mapinduzi wa mikoa yote, sizani kama kuna afya sana kuendelea kutoa matamko. Kwa sababu tamko limeshatolewa na Kamati Kuu...
  19. Zack Abdul

    TUKIRUDI KWENYE CHIMBUKO LA MFUMO HUU TUTAONA MAONO YA NYERERE HAYAKUWA KUMJENGA MTU BALI KUJENGA TAIFA LENYE UONGOZI UNAOWEZA KUTENDA

    Tunapojadili leo kwamba Rais ana mamlaka makubwa hivyo Tanzania inahitaji Katiba Mpya ni muhimu sana kurudi nyuma na kujiuliza Kwa nini Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alichagua mfumo wa Rais mwenye mamlaka ya kiutendaji baada ya Tanganyika kuwa Jamhuri mwaka 1962? Tanganyika ilipojipatia...
  20. K

    Kisiwa cha Lupita: Tathmini ya kisheria na onyo la kinabii la Nyerere na Ndugai kuhusu ‘kuuzwa’ kwa Taifa

    Utangulizi: Mtikisiko wa Kitaifa Juu ya Kumiliki Ardhi Sakata la hivi karibuni la kutangazwa "kuuzwa" kwa Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika na bilionea wa Kimarekani, Tim Draper, limeibua mjadala mzito na hisia kali nchini Tanzania. Ingawa Wizara ya Ardhi ilifanya jitihada za haraka...
Back
Top Bottom