nyerere

  1. L

    Yericko Nyerere: CHADEMA inatakiwa kufa sasa kwa sababu haijui inachopigania kwa sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Embu Soma Hapa Kilichozungumzwa na Mwanachama huyo wa Zamani wa CHADEMA na ambaye alikuwa na ushawishi kwa Viongozi Waandamizi wa CHADEMA Taifa Haya hapa Mazungumzo yake nimeyaleta kama Yalivyo👎Mwanachama wa Chama cha CHAUMMA, Yericko Nyerere, amesema Chama cha...
  2. kavulata

    Mwenyewe alitaka afungwe jela ili afanane na Nyerere na Mandela. Tupunguze mihemko ya kukata rufaa tupate radhi yake

    Mheshimiwa Lissu anatamani afungwe ili awe siti moja na Nyerere, Kenyatta, Mandela, Kaunda na Mugabe. Nadhani tumuache aendelee na kifungo. https://youtube.com/shorts/HOJXYfboUkA?si=p1x7sIbU9YOctQuL
  3. gallow bird

    Uzi wa Malcolm kuhusu Nyerere na kuharibikiwa kwetu,umefutwa?

    Nimeusaka huu uzi wa MALCOM LUMUMBA siuoni Kama kawaida nchi hii,hatupaswi kumchambua/jadili mtakatifu baba wa taifa kwa mawanda yaleyale wanayochambuliwa Marais wengine hasa toka 'pwani na visiwani' Huu siyo uhuru wa maoni na kinyume na kauli mbiu ya jukwaa hili
  4. MALCOM LUMUMBA

    Machafuko ya ukanda wa maziwa makuu ni makosa ya sera za Julius Nyerere

    "Baba amekula zabibu mbichi, lakini meno ya watoto yakatiwa ganzi" Ezekiel 18:2 Kwa miaka mingi nimekuwa nikiwaambia watanganyika na nitaendelea kuwaambia, kwamba asilimia 70% nzima ya matatizo yenu mnayoyapitia leo hii yamesababishwa na MTAKATIFU NYERERE. Ila wengi wenu kwa UNAFIKI na UFINYU...
  5. Wakili wa shetani

    Nyerere aliona mbali sana. Huwezi kuwa na shirikisho la sarafu bila kuwa na shirikisho la kisiasa. Akasitisha matumizi ya sarafu ya Afrika Mashariki.

    Huu ukweli Nyerere aliuona mbali sana. EU wanakuja kuuona wameishachelewa na inawatesa sana. Msikilize Nyerere. Aliongea haya 1966 "Kuna badiliko jingine kubwa linalotokea katika mambo ya uchumi wetu, ambalo linahusiana sana na maendeleo yetu. Kesho noti za fedha za Tanzania zitatolewa kwa mara...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    Yeriko Nyerere amepost hivi baada ya hukumu ya Lissu. Mwambieni hatutasahau tutamkumbusha siku ikifika

    Huyu ni miongoni mwa walioumia baada ya Lissu kuibuka mwenyekiti wa Chadema January mwaka 2025. Sasa baada ya hukumu ya leo ya Tundu Lissu tarehe Novemba 6 mwaka 2026, ametweet huko mtandao wa X kuonyesha furaha yake. Mlio karibu nae, mwambieni ubaya hauna kwao na siku ikifika tutamkumbusha...
  7. T

    Kuna uhusiano mkubwa sana baina ya siasa za mageuzi na harakati ndio maana hata Nyerere alikuwa mwanaharakati.!

    Katika mapambano ya kitabaka harakati ndio kichocheo kikubwa sana cha mageuzi katika jamii. Kusema kweli hata chama cha siasa ni lazima kinuse fukuto la wana harakati na kuweka mikakati ya kubeba sauti za wanaharakati ili kisijepigwa na dhoruba ya mabadiliko ya lazima. Kihistoria tunafahamu...
  8. Sifi Leo

    Ccm acheni upumbavu aliyekufa leo ni mwaccm mwenzenu ingawa alidai yeye ni wa Nyerere sio wenu nyie matapeli toeni pole tu kwa familia ya Lissu mbona.

    Mbona Lissu alimpa pole Samia hata alipokuwa jera? Nawakumbusha tu alute ni mwanaccm mkongwe jamani toeni pole .
  9. A

    KANISA KATOLIKI walimpenyezea Nyerere taarifa kuwa TISS na Polisi wameua, maiti zimebwagwa BUGANDO, vyeti vya vifo ni feki!

    KANISA KATOLIKI wametupigania muda mrefu sana Tanganyika. TISS na Polisi waliua raia Mwanza na Shinyanga, January mpaka March 1976. Maiti zilipelekwa Maswa District Hospital na Bugando Hospitali zikitokea kwenye dangulo la mahojiano la Kigoto, nje ya jiji la Mwanza pamoja na dangulo na...
  10. Zee la madawa

    Lawama zote hazimkwepi Mwalimu Nyerere kwa yanayoendelea nchi hii!

    Kataa au ukubali lawama kwa yanayoendelea nchi hii Nyerere hazimkwepi hata kidogo yeye anahusika kwa yanayoendelea wala tusifichane uungu mtu wake na kujifanya Godfather ndiyo imeifanya nchi hii iwe hapa Umasikini,udini,unyonge,ujinga na katiba mbovu yeye ndiyo muhusika kwasababu hakutaka...
  11. E

    NYERERE alianzisha TANU na baadae CCM kuepuka ukabila na utanganyika na uzanzibar, mawazo yake yamefeli CCM imekuwa kitu cha hovyo kuliko ukabila

    Nyerere ni muasisi wa CCM, alitumia short cut kuukwepa ukabila kwa kuanzisha CCM. Naweza kusema hakuona mbali kwa sababu mfumo haujaweza kufanya kazi bila yeye kuwepo. CCM ni zaidi ya makaburu wa south ambao Nyerere alipigana nao
  12. Mohamed Said

    Nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma Yenye Historia Kubwa ya Mwalimu Nyerere Imevunjwa

    https://youtu.be/x2tRI9JFItw?si=TPN2hXKMkti1RaR7
  13. R

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere kuhusu vijana tunaopata elimu kusaidia jamii zetu masikini, kuzisemea. Tusipofanya hivyo sisi ni wasaliti

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure. Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
  14. R

    Nyerere na majengo dhaifu

    Katika hotuba na nasaha zake, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alitumia msemo wa "vigorofa kama viberiti" kuelezea majengo marefu yenye nafasi finyu sana na yaliyosongamana bila kufuata mipango miji mizuri au yaliyojengwa kwa mlundikano usio na tija kwa maisha ya jamii. Muktadha...
  15. Nyendo

    Tarehe kama ya leo Oktoba 23, 1999, Mwalimu Nyerere alizikwa Mwitongo, Butiama. Unakumbuka kitu gani siku hiyo?

    Baada ya kifo chake kilichotokea tarehe 14 Oktoba 1999 huko London, mwili wake ulirejeshwa Tanzania na kuagwa kitaifa katika Uwanja wa Taifa (sasa Uwanja wa Uhuru) Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda Butiama kwa ajili ya mazishi ya kifamilia tarehe 23 Oktoba. Kwa mujibu wa mila za...
  16. Kiranga

    Museveni and his Upanga days unpaid bills Covered by my family

    This is a factual account, read it as a story of how the vagaries of life can take you from a refugee fleeing debt to a president, or a character flaw and seminal integrity issue that explain bigger leadership problems in Uganda and Africa. You are probably aware that Yoweri Museveni studied at...
  17. M

    Mnaowaza serikali (CCM) kupinduliwa muache kuota ! Jeshi ni mali ya Ccm, Hakuna Backup ya serikali nyingine na hakuna mfumo wa majimbo.

    1. JESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA Njia mojawapo ya kawaida ya mapinduzi ya serikali ni jeshi kuingilia siasa na kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa kutumia nguvu. Kwa mfano walichofanya kina Ibrahim Traore wa Burukina Faso. Hata hivyo, katika muktadha wa Tanzania, Baada ya...
  18. Q

    Marais waislam na familia zao, hatukuona kwa Mkapa, Magufuli hata kipindi cha Nyerere

    Nyerere hakutaka kuhusisha urais wake na familia yake, Mkapa hakutaka hata tuwajue watoto wake, Magufuli vile vile sijui hata ana mtoto wa kiume. Sasa njoo kwa wenzetu, Karume rais mtoto wake rais, Mwinyi rais mtoto wake rais, Kikwete rais mtoto wake waziri, mke wake mbunge, Samia rais mtoto...
  19. R

    Mwalimu Nyerere alikuwa anamsema nani?

    Aliona mbali sana. Amshukie yeyote anayasema Katiba ni Kijitabu
  20. H

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.
Back
Top Bottom