Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa.
Katika Ibada hiyo...
Enzi za Mwalimu Nyerere (1961-1985) serikali ilisimamia, ilimiliki na kuendesha viwanda mbalimbali vipatavyo 400.
*Orodha ifuatayo ni sehemu ya viwanda hivyo vilivyokuwa vikitekeleza jukumu la uzalishaji ili kujenga taifa lenye uchumi imara.
1. TANGANYIKA PACKERS-kusindikaji wa nyama...
Kichwa cha habari kitoshe kuwasilisha ujumbe. Leo, ni kumbukizi la 27 la Mwalimu Julius Nyerere. Tukiwakumbuka mashujaa wetu waliouawa na tawala zandiki mwaka jana mwezi kama huu, tukiwa tunamkumbuka Nyerere nao tusiwasahau.
Je, wewe umewakumbukaje katika kumbukizi hili la Mwalimu?
Hanikiza...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mh. DEOGRATIUS NDEJEMBI akiwa katika picha ya pamoja na Wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa mara baada ya kuhitimisha kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya miaka 27 ya kifo cha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mjini...
JULIUS KAMBARAGE NYERERE
"Ukipewa kazi ya nchi, lazima ujiheshimu. Huwezi kupewa kazi ya nchi halafu unaishi kihunihuni. Kazi za uhuni barabarani ziko tele." (1995)
Maneno hayo ni nukuu maarufu kutoka kwa Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyosisitiza umuhimu wa...
Alikiri wazi wazi kuwa katiba hii haifai maana akitokea Rais asiye na maadili anaweza kuitumia na kuwa dikiteita hatari. Tanganyika sasa inapitia moto mkali wa Katiba inayompa Rais Ukuu hata kumzidi Mungu.
Angalia leo inavyoitumia kuua watanganyika, kuuza mali za Tanganyika akishirikiana na...
Katika biblia tunasoma kwamba Yuda alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha. Yuda anachukuliwa kama msaliti kwa sababu aliamua kushirikiana na maadui kumuuza Yesu kwa maslahi yake binafsi. Hadi siku hizi, mtu yeyote anayeenda kinyume na mtazamo wa wengi kwa maslahi yake binafsi, huitwa Yuda...
Ili niliwai liandika sana na kuandika sana, lakini nikaonekanika ni kibwengo tu nisiyejielewa, nilidhiakiwa sana na kubezwa
Kitendo cha kuunganisha siku ya kumbukizi ya kifo cha Hayati mwalimu Julias Kabarage Nyerere na siku ya kilele cha mbio za mwenge kitaifa ni kumzalilsh Mwalimu.
Hii ina...
Wale pro-Nyerere wote nawaita humu. Kichwa kinajieleza chenyewe. Ni kweli Nyerere alirithi Tanganyika kwa njia za kidemokrasia kupitia uchaguzi halafu baada ya yeye kuingia kwenye madaraka, akaamua kwa utashi wake yeye binafsi, kuleta udikteta kupitia chama chake cha TANU na baadae CCM.
Na huu...
Ndugu zangu Watanzania,
Huu ndio Ujumbe Mzito wa RAIS wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ambapo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ametoa Ujumbe huo Mzito katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Baba Wa Taifa...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Oktoba 14, 2026 ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbulizi ya Hayati Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania (Mamajusi Watatu) Jimbo Katoliki Sumbawanga, Rukwa
Katika Ibada hiyo, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
Wanabodi,
Mimi mwana Bodi mwenzenu niko hapa mjini Sumbawanga kwenye kilele cha Wiki ya Vijana, Kuzimwa kwa Mwenge wa Uhuru na Sikukuu ya Mapumziko ya Nyerere Day.
https://www.youtube.com/live/7Skt4UMDoVs?si=WEikF_1rmCQaZX2k
Karibuni Tufuatilie,
Mzee Pasco
Rejea;
Hili la Vijana wa Chama...
Nianze na jambo dogo kuhusu hii makala ya Mheshimiwa Paschal Mayalla. Kwanza niseme wazi, bila kumung'unya maneno. Unasoma karibu 50% ya mwanzo wa makala hiyo huku unajiuliza hii ni makala kuhusu Paschal Mayalla mwenyewe au Nyerere? Hilo tuliache.
Tuje umalizio wa makala yenyewe. Hapo ndipo...
Katika video hii ya kihistoria inayokumbusha misingi ya taifa, Mwalimu Nyerere anasisitiza kuwa maendeleo hayawezi kutenganishwa na uhuru wa watu binafsi. Kwa mujibu wa Mwalimu, maendeleo ya vitu (kama barabara na majengo) hayana maana ikiwa hayamkomboi mwanadamu na kumpa nafasi ya kuamua hatala...
Happy Nyerere day Tanzania 🇹🇿
Leo ikiwa ni kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa taifa hili, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyezaliwa tarehe 13 Aprili 1922 na kufariki tarehe 14 Oktoba 1999, ni vyema tukajikumbusha historia yake na mchango wake katika taifa hili.
Nyerere wakati anafariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.