Hii nchi ngumu sana!
Tanganyika ukitaka kuiona basi ni hapo TAMISEMI - ila sasa tumeletewa DC huyu Mohamed Hasan Moyo ambaye kwa mujibu wa taarifa ni mzanzibari!
Isitoshe kumbe ni baba watoto wa Wanu na ndo mume wa kwanza - Mchengerwa ni mume namba mbili! Yaani mmekosa nchi nzima mtu wa kumweka...
Tatizo la ghost town lipo dunia nzima hata kama utaboresha vipi na kulipa au kusaidia watu waishi hapo bure.
Shida tunayotaka kuangalia ni nchi kuwa ya mikakati mfano kama ilivyo USA na China ili kubalance maendeleo na fursa sehemu zote.
Ukiwa nchi kama china au USA wamejigawa ndio maana...
Hello wakuuu
Tupeane mbinu mnaishije na mwenza au mpenzi mwenye tabia ngumu ambapo unakuta io tabia inakukera au zinakukera sana na umejaribu kuongea nae mara kwa mara lakini haachi,,,na unakuta unampenda ila hiyo tabia ndo inakukwaza sana
Pongezi kwa kila mwenye kupata riziki halali. Ukiweza kutega mifereji ya kupata shilingi kadhaa, kwa jasho lako (au hata kwa kusaidiwa)...wewe sio MTU wa mchezo mchezo..heeeko👍🏾!
Angalau kutana na huyo ana kwa ana mpe the very details of what transpired on 29th October 2025.
Ukweli na msitie chumvi!
Face to face makes a difference !
Ni hilo.
Naishauri serikali kuu na zile za mitaa kutunga sheria kuzuia uchomaji wa taka ngumu mitaani.
Unakuta baadhi ya mitaa kuna mashindano ya kuchoma taka ngumu.
Unakuta taka zina nailoni mbali mbali na materials nyingine ambazo zinaweze kuwa na madhara ya kiafya kwa wakazi wa maeneo hayo.
I hate Barcelona,
Nawachukia Barcelona
Laki tatu siyo ndogo.
Nawachukia.
Why ball position iwe 78 then ushindwe kuifunga timu mchekea like as Valencia?
Kwa taarifa zenu hafilisiki mtu
Ajira mpya wilaya ya chemba afya tuna mwaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu
Anonymous
Thread
afya
ajira
ajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
hali
hali ya maisha
hatujapewa pesa ya kujikimu
januari
kujikimu
maisha
mishahara
mpya
mwaka
ngumu
pesa
pesa ya kujikimu
shida
tuna
wilaya
wilaya ya chemba
Nimefanya tafiti nimegundua mwanamke anaweza ku squirt (katerero) na asifike kileleni!, na anaweza asi squirt na akafika kileleni!!.
Kiufupi ku squirt ni jambo tofauti nakufika kileleni!, na kufika kileleni ni jambo tofauti na ku squirt!.. japokuwa haya mambo mawili yanaweza kutokea kwa wakati...
Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake!
Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
Katika watu ambao inabidi walindwe kwa gharama zozote basi ni madaktari.
Asilimia kubwa ya madaktari wanafanya kazi kwa uwito na sio maslahi zaidi . Ukitaka kuamini hivyo utakuta daktari ana miradi yake mikubwa tu na asilimia kubwa inahitaji uwepo wake lakini yeye yupo busy hospitali kutibu...
Wakati tunaanza na kumpatia uhakika wa huduma alikuwa anatoa ushirikiano nzuri tu kunipatia sifa kedekede za 'uhandsome'. Leo, baada ya kuyafikia malengo yake kwa asilimia kubwa, amenizingua kwa kauli kama hiyo. Nimfanyie uhuni gani.
Nje ya mada; hivi miaka 40+ unaweza kumpata bint wa 2005 kuja...
Sisi kuungana kuanzisha biashara pamoja kisha kuikuza na kufanya idumu ni ngumu sana. Partnership nyingi huishia kwenye uadui wa kudumu. Nilishawahi kuungana na jamaa zangu in my early 20s lakini haikudumu ila kwa bahati nzuri tuliachana kwa amani kabisa kupitia mwanasheria wetu.
Mimi naona...
Kinachotakiwa sasa ni kumwaga mkojo nje sio kuzuia ndani kwasababu utaharibu figo
Hata White wasipoingia ndani bado watafikishiwa taarifa zote huko waliko
Wengi washazuia wamechoka wameamua kukimbia
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika salamu zake za Meimosi amesema ingawa sheria ya kumlinda mtumishi wa Umma dhidi ya matumizi mabaya ya madaraka kutoka kwa viongozi waovu, Lakini kwa sasa imekuwa mzigo kwa walipa kodi kwa sababu ugumu wa kumwondoa mtumishi...
Leo nimerusha vaibu kwa demu nnayemmaind.kanichenjia kinoma ameniambia nimkome.
Hata nashindwa ni kiherehe gani ilinipeka kwake.saiv kan vuruga nimeamua nkanywe bia nitulize mawazo.
Umofia Wadau.
Nipo ndotoni ndugu zangu kiukweli, hivi watu wamekufa kiasi kile ila Viongozi hawajutii wala kusikitika wanachofanya ni kujipalilia waendelee "KULA"
Labda wale wa Rohoni mnipe tafsiri sahihi ya hili bila kujali Imani ya Dini zenu:-
1. Kila mtu aitii Mamlaka iliyo kuu;kwa maana...
Mimi ni mdau, nipo Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, naomba kuwasilisha kero kuhusu malipo ya posho za kujikimu katika Idara ya Elimu.
Walimu wameripot kazini lakini hela za kujikimu inakuwa changamoto kupewa kwa muda, kuna walimu wanapewa nusu na wameahdiwa kupatiwa inayobaki..ila hakuna...
Anonymous (d932)
Thread
hali ya maisha
halmashauri
maisha
ngumu
posho
posho za kujikimu
walimu
Mbunge wa Misungwi mkoani Mwanza, Silvery Salvator amesema kuwa utekelezaji hafifu wa uamuzi na mijadala ya Bunge unakwamisha maendeleo na mafanikio ya Serikali.
Akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma leo Jumanne, Aprili 14, 2026, Salvator ameeleza kuwa uzoefu wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.