ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Hii ndio sababu kwanini ni ngumu au almost impossible kujinasua katika ukata na ukapuku.

    Kila mtu atakuambia ufikirie nje ya box ili ujinasue na mtego uliokushikilia ila ni ngumu kuwa na mawazo thabiti kama ukame unakuandama, maana saikolojia yako imekuwa disturbed. Ni ngumu kujitoa katika ufukara na madeni ya mitaani kama ulilazimika kimataduni au kulazimishwa na wazazi kupata...
  2. Gunner11

    Hamu Kali ya Ngono Kazini: Nifanyeje?

    Sijui ni nini hiki, ila ni Natamani kufanya ngono kila wakati, yaani it requires a little trigger mara wa babeli kusimama. Ni wapo kazini Nita mu idealize mwanamke wa usafi, ni tamu idealize secretary yaani it goes to the point najiona ningelikuwa bora nijihasi tu, maana hii sio kawaida...
  3. Design Your Idea

    Ni ngumu kushinda ushoga kama unaedhania ndio atakaye kuwa msaada wako ni mtumiaji wa mashoga hao.

    Kwa hii hali ambayo mashoga wana tamba mitandaoni hadi wanaji rekodi live video, kuna kitu nyuma yake
  4. M

    Katika kozi hatari za kusomea Tanzania ni za Computer. Kwa jinsi Ai inavozidi kukua ukikosa kazi Serikalini itakuwa ni ngumu sana kutoboa.

    Tatizo ni kasi ambayo AI inabadilisha kazi zenyewe. Hasa ukizingatia kwamba vyuo vingi bado vinafundisha Computer kwa mfumo wa zamani: theory nyingi, practical chache, na walimu ambao walianza kujifunza computer vyuoni muda mwingi ubaoni na kwenye makaratasi. Computer ya 2026 haiwezi...
  5. MamaSamia2025

    Hili gari lingekuwa binadamu ingekuwa ngumu sana kulitetea kama ilivyo kwa single mothers.

    Gari ambalo linazidi kupoteza kuaminika.
  6. insane

    Kuondoa serikali iliyopo madarakani ni ngumu

    Msingi mkubwa wa serikali upo kwenye jeshi. Kule jeshini kiongozi anakuwa ameweka viongozi ambao amekubaliana nao au hata ndugu zake kabisa. Sasa imagine jeshi litatetea wananchi eti kisa kauli mbiu 'jeshi la wananchi JWTZ' mbele ya dada yake au mjomba yake. Hii ingewezekana kwa watu wengine...
  7. covid 19

    Miaka 20 iliyopita mtu angekuambia utazungumza na kompyuta kama mtu, ikuelewe Kiswahili, ikuandikie barua na ikusaidie kazi ngumu” usingeweza kumuelew

    Ukiangalia simu, computer, magari na mifumo mbalimbali ilivyobadilika ndani ya miaka michache tu, unaweza kujiuliza miaka 20 ijayo itakuwaje. Kwa upande wangu, naona sekta ya afya inaweza kubadilika zaidi. Huenda siku moja watu wasihitaji tena kwenda hospital kupanga foleni kwa ajili ya vipimo...
  8. Dogoli kinyamkela

    Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana

    Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMOND
  9. M

    Kesi Imeshakuwa Ngumu: Jezi ya Taifa Msuluhishi Nani???

    Hii meza ambayo Boss kubwa wa Serikali Sekta ya Michezo aliyoitikisa Ina vinywaji vya gharama sana. Unaweza ikamgharimu, yasije yakamkuta kama yaliyomkuta Nape na Kamati yake ya Uchunguzi kuhusu Mawingu FM Kilichomkuta Nape aliishia kutumbuliwa na report ya kamati haikusomwa. Wanasema Dunia...
  10. C

    Tanzania ni nchi mgumu sana

    Tanzania ni nchi mgumu sana Watanzania.Tunahitaji nguvu ya ziada. Urusi ipo kutusaidia tuiunge mkono na inamtambua vizuri Rais Samia. Mwisho mzuri sio mbaya.
  11. S

    Lissu, Heche and the like, kazi yenu ni kubwa lakini sio ngumu

    Kazi ya kusimamia HAKI ni kubwa kwa sababu mahali popote pale HAKI ni kwa ajili ya maslahi ya wengi(vizazi kwa vizazi). Lakini pia kazi ya kusimamia HAKI sio ngumu kwa mtu mwenye nia thabiti isiyotetereka. Mwenyehaki kusimamia HAKI kwake ni burudani sio mateso. Ni raha sio karaha. Haijalishi...
  12. M

    Mkurya akishakuwa na msimamo ni ngumu sana kuununua msimamo wake, Tuombeane uzima yasije yakajirudia ya Chacha Wangwe

    Nimeishi na Wakurya, wakiwemo Wanzanaki na koo mbalimbali ambazo wakati mwingine hujitambulisha kama makabila tofauti, lakini ukiangalia kwa karibu utaona ni wale wale tu wote wanaitana MURA ! mambo mengi wanafanana kuanzia majina, mila, tohara na mambo mengine mengi. Kwa kifupi, wote ni kina...
  13. MamaSamia2025

    Nikikumbuka kashfa yake ya 2005 naona ni ngumu sana kumtetea Lema, hakuna namna afukuzwe tu CHADEMA

    Kwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje...
  14. Moto wa volcano

    Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Huwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya nyumbani na wewe umezoea kumuona akiwa home muda wote . So day one inakuwa ngumu sana watoto wengi wanakuwa...
  15. secretarybird

    Kiingereza kweli ni ngumu! Mtangazaji wa Crown FM apata homa akiwa anawahoji wageni waliomshtukiza studio

    Imagine Mimi nisiyejua kiingereza nimeona aibu kwa niaba ya mtangazaji huyu, nasikia tu you,you, you gonna... Kiufupi ni ngori! 🙌 Kiingereza kweli ni kumanyoko! 😎
  16. M

    Kihongosi: Ni Ngumu kujua anayeteka Watu Nchini, Vyombo vya Ulinzi vikibaini vitaleta Taarifa, Wananchi waripoti taarifa

    Odemba: Taarifa hizo zipo, ndio na sisi tunaziona. Kwamba watu wanatekwa hapa nchini? Ndio, watu wanapata changamoto. Nani anayeteka watu hapa Tanzania? Kihongosi: Ni vigumu kujua jambo hilo ndugu Odemba, kwa sababu sisi kama Chama Cha Mapinduzi..." Odemba: Kama chama tawala mmeshindwa...
  17. The Ghost Scripter

    Ombi kwa nyakati ngumu

    Zungumza na Mungu usiku wa leo mwambie "Mungu nimekuletea kilakitu kilicho ndani ya moyo wangu, wewe unayatambua mawazo yangu, hofu na tumaini langu, lakini nahitaji niyakabidhi kwako. Uzito wa hofu niliyonayo Kuna wakati unanielemea, na ninaomba uniongoze katika wakati ambao siioni njia...
  18. idiomer

    Kwanini ni ngumu watu kufuata utaratibu katika nchi zinazoendelea?

    Kufuata utaratibu ni ngumu. Mfano stendi ni magufuli watu wanapaki shekilango! Na mambo mengine mengi.
  19. K

    Msaada tafadhali...

    Nahitaji msaada seriously niliweza kua na biashara mahali na ilikua kiasi cha kuweza kuitegemea na kua na ndoto. kwa bahati mbaya wakati wa maandamano mwaka jana niliibiwa kila kitu. Hio hali ilinipelekea kwenye frustration mbaya. Namshukuru Mungu baada ya kukaa sawa kisaikolojia na kukubali...
  20. Yoda

    Kwa nini nyama choma nyingi bongo ni ngumu sana?

    Ni aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko
Back
Top Bottom