ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    HOJA Kuimarisha utaratibu wa ajira kwa wauguzi kulingana na kiwango cha elimu

    Naomba Serikali kupitia Wizara ya Afya na mamlaka zinazohusika na ajira za afya zifuatilie changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wahitimu wa Shahada ya Uuguzi (Nurse Degree). Kwa sasa, nafasi nyingi ambazo zingehitaji wataalamu wenye shahada ya uuguzi zinadaiwa kutolewa kwa wahitimu wa...
  2. MamaSamia2025

    Shikilia vizuri ulicho nacho kwa sababu ni ngumu mno kuinuka upya baada ya kuanguka kiuchumi

    Motivational speakers watakuambia "Knocked down? You can stand up"... mwingine atakutolea mifano ya watu walioanguka na kusimama upya na mara nyingi huwa ni watu wa Ulaya na America. Hatakupa mifano ya watu maelfu walioanguka na kushindwa kuinuka upya hadi ile siku wanavuta pumzi ya mwisho...
  3. Red black

    kwanini watu wengi hawaipendi JF

    Je ni uvivu wa kusoma au ni spana maana miaka ya nyuma nili wafundisha baadhi ya watu kwa wakati tofauti tofauti jinsi ya kutumia Jf na kuwafungulia ID ila baada ya muda wakakimbia sikujua sababu hasa ni nini
  4. Kaka yake shetani

    Maraisi wauwaji ni ngumu kutoka madarakani na kama wakichoka huweka watoto wao

    Maraisi wauwaji ni ngumu kutoka madarakani na kama wakichoka wataweka watoto wao au ndugu zao. Hii mtajifunza Rwanda,Uganda na sasa inakuja kwetu.
  5. M

    Pesa halali imekuwa ngumu sana nchi hii

  6. Dogoli kinyamkela

    Ujinga zingine ziko kwa DNA 😄 🤣 😂 😆 ni ngumu kuwatoa wafuasi wa huyu kwa huyu .......apeli najua kuna watu bado na hii wataamini 😄 🤣

    UJINGA ZINGINE ZIKO KWA DNA 😄 🤣 😂 😆 NI NGUMU KUWATOA WAFUASI WA HUYU KWA HUYU .......APELI Najua kuna watu bado na hii wataamini 😄 🤣
  7. OMOYOGWANE

    Dizaini kama vile vyuma vimeanza kukaza mtaani, pesa imekuwa ngumu au ni huku tu kanda ya ziwa wakuu

    Hellow wakuu, Mimi binafsi huwa naleta thread kutoka field moja kwa moja kutoka mtaani mwaka 2020 yalinikuta enzi za anko Magu Kutokupata wateja kuanzia asubuhi hadi jioni baadhi ya siku yaani nilikonda nkachakaa 😄 usiombe uwe na biashara halafu huna backup unaitegemea hiyo hiyo na wateja...
  8. M

    Bara Kuna Uncle T na Visiwani Kuna Mauzinde: Hii vita bado ni Ngumu

    Nenda kajionee mwenyewe katika Instagram Akaunti zao uone watu wakubwa na Maarufu wanaowa-Follow kwenye Instagram Akaunti zao wenye jinsia ya kiume na wale ambao wao kina Uncle T na Mauzinde wanawa-Follow katika akaunti zao au biashara zao zinazomilikiwa na Wanaume. Ndiyo maana sikushangaa...
  9. Kaka yake shetani

    Unajuwa kwa nini serikali ya CCm inatumia nguvu kuficha ukweli October 29 .Sita sahau na ni ngumu kufutika akilini.

    Kitu ambacho kina nisuta jinsi watu walizikwa wakiwa hai,wengine waliitaji matibabu ila walishikiliwa na kuunganishwa kama marehemu. Hii kazi mungu ni samahee
  10. M

    Je, ni kweli ni ngumu kwa Mwanamke kutulia na Mwanaume mmoja?

    Huyu jamaa anadai kuwa inaamika wanaume ndio hawawezi kutulia na Mwanamke mmoja lakini yeye baada ya kuanza kufanya kazi na Wanawake amegundua kuwa hata wanawake ni ngumu kutulia na Mwanaume mmoja. Anasema jambo hilo lipo pande zote mbili, japo wanawake wanajitetea kuwa wanampenda fulani na...
  11. Gobole Lenye Risasi

    Wakati mwingine ni ngumu kutuelewa sisi wanaume

    Unakutana na demu mkali. Unaomba namba ya simu anakupa. Kesho Unakuja kumpigia kumsalimia anaitikia fresh tu na masham sham kama yote. Unamwuliza u wapi anajibu home. Unamwuliza lini tunaweza onana anakuambia hata muda huu mi fresh tu. Unamwuliza nikutumie nauli anasema tuma lakini si kwa...
  12. Mad Max

    Ngumu kuelezea, ila Ukigusisha Remote ya Gari kwenye Kichwa chako, Mionzi inafika mbali zaidi kuliko uki-point Remote uelekeo wa Gari

    Sijui kama tittle imeeleweka. Ila, kwa mfano unataka ku-lock/unlock gari, ila upo mbali mfano mita 100 kutoka kwenye gari, uki-point na kuclick lock isifanye kazi, kwasababu ya umbali. Ukiwa hapo hapo, ila this time Ile remote ukajigusisha kichwani mfano juu ya sikio, gari italock/unlock. Ni...
  13. Kaka yake shetani

    Kuna uchafu mwingi sana Tanzania kama ni kweli .Ni ngumu kutoka kwao

    Unaweza kuona bandari yetu wakijisifia ila nyuma ya pazia. Huko ndiko kitovu cha silahaa zinazokwenda congo,sudani . Mwengine ni kenya na yeye yupo kwenye listi. Tuishie hapa.
  14. gimmy's

    Dhana ya wazee wetu wa zamani kubadili majina ya wake zao kufuata koo zao mara tu wanapowaoa kwanini sasa imekuwa ngumu?

    Habari, Nimeleta mada hii kwenu baada ya mama wa watoto wangu kunieleza hadharani kwamba hawezi fanya ujinga huo, Mama wa watoto ameniambia wazi kwamba kubadili majina yake kwenye vyeti vyake kufuata majina ya koo yangu ni ujinga, Hoja yake imenikwaza kwasababu binafsi nimeona ni kama...
  15. min -me

    Hakuna kazi ngumu kama hii kwa kijana aliyefanikiwa hata kidogo tu🤔

    Ukishafanikiwa kimaisha hata kwa level ya kawaida tu kama kijana wa kiume , ni ngumu sana kutafuta mwenza sahihi wa maisha . Vijana wengi huishia tu kuwa watu wa usiku mmoja , kwa kuogopa kuingia mkenge na sio kwamba ni wakataa ndoa🤔 Wadada wengi siku hizi wameweka vipaumbele vyao vya pesa...
  16. Zack Abdul

    Kwa uelewa, unajua nyie ni vichwa ngumu!

  17. Kaka yake shetani

    Kuna biashara zinafanywa na viongozi ndio maana miradi ya serikali kuendelea itakuwa ngumu.

    Kila mtu akiwa mbunge ni bora kuuwa miradi ya serikali ili mradi biashara zake ziwe mstari wa mbele. Tumeona sukari,reli na n.k. Kukitokea swala la kiongozi hakaweza kuanzisha biashara ya maji au umeme basi msitegemee serikali kupiga hatua.
  18. Red black

    Hivi kuna kozi ngumu kama Quantum physics, mechanics?

    Hivi kuna kozi ngumu kama Quantum physics, mechanics ? 🙌
  19. bless on

    Hii ndo safari ngumu kuliko zote Duniani

    Kuna mahali kwenye uso wa dunia ambapo mfumo wa GPS haupo, barabara zote zinatokomea, na sheria pekee iliyobaki ni ile ya kinyama: mwenye nguvu ndiye anayeishi, na mdhaifu anazikwa na matope. Amini usiamini, eneo hili si la kufikirika lipo. Linalojulikana kama Darién Gap, msitu huu wa kutisha...
  20. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    MJUE MWENZI WAKO:- Watu hawa wenye damu AB- ni ngumu sana kuwajua kwa kina, ni wabaridi sana, hawana ladha kabisa.

    Watu wenye kundi la damu la AB- ni miongoni mwa watu nadra sana duniani (chini ya 1% ya idadi ya watu wote). Katika mifumo ya saikolojia na utamaduni wa tabia za makundi ya damu (kama vile Ketsuekigata), watu hawa huchukuliwa kuwa na sifa za kipekee zaidi kutokana na nadra yao na mchanganyiko wa...
Back
Top Bottom