Katika maisha ya sasa ya teknolojia, simu imekuwa sehemu kubwa ya maisha binafsi ya watu. Ndani yake kuna mawasiliano, kumbukumbu, siri na hata heshima ya familia.
Wakati mwingine mtu anaweza kujikuta ameona jambo ambalo hakutarajia kabisa — jambo linaloweza kumuacha na maumivu ya moyo...
Mke kupenda fedha kama Delila hubomoa ndoa yake
Samsoni na Delila
Hebu kwanza tusome habari fupi kuhusu Samsoni na Delila, kama ilivyoandikwa kwenye kitabu cha Waamuzi 16:1-22
Samsoni ni nani
Siku moja, Samsoni alikwenda mjini Gaza, akakutana na malaya mmoja akalala naye. Watu wa Gaza...
Sitaki kuwachosha, hebu twende kwenye mada moja kwa moja. Nabii na mtume mkuu wa kanisa la WRC amewaambia wafuasi wake na jamii kwamba kufunga ndoa kanisani ni upagani.
Mtume huyo, ambaye ni maarufu kwenye kauli tata, amesema hayo wakati akiwahubiria waumini wake huko Matembele, Kata ya Kivule...
KUAMINI NDOA NI MPAKA IFUNGWE KANISANI AU MSIKITINI NI DALILI YA UTUMWA NA UELEWA MDOGO KWA WATU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Acha Dotto Magari adharau Wasomi. Ingawaje naamini hawadharau kwa mambo mazuri bali kwa baadhi ya ishu walizonazo. Hasa kifikra.
2. Fikiria binti aliyehitimu...
Ukiona mwanamke ameweka picha ya mwanaume mashuhuri Kama mbappe, Fei toto nawengine wengi basi hao ndo anamapenzi nao na anawapenda..
Kwanini Yuko na wewe? Kwasababu Hana uwezo wa kukutana nao.
Saikolojia ya mwanamke inaongea zaidi kwa vitendo sio maneno
Klabu ya Chelsea ya Wanawake imetangaza kuachana na Mshambuliaji wao hatari Sam Kerr raia wa Australia ambaye ameifungia magoli 115 klabu hiyo mpaka sasa akiwa ameitumikia klabu hiyo miaka sita na nusu.
Miezi kadhaa iliyopita Sam Kerr alizua gumzo baada ya Kufunga ndoa ya Kanisani na Mchezaji...
HIZI NI SHERIA ZA NDOA ZA WATIBELI ZINAZOTUFANYA TUISHI DUNIANI KAMA TUPO PEPONI. MKITAKA MNAWEZA KUZIKOPA ZITAKAZOWAFAA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Nimeona serikali ikitaka wadau na wananchi kutoa maoni ya Sheria za ndoa.
Nikasema, Mimi kama Mtibeli nitoe muhtasari wa Sheria za...
Ikiwa yuko mtu ana specific details, naomba msaada tafadhari.
Ndoa ni ya Kikristo, muhusika anahitaji kuvunja na kuendelea na maisha mengine.
Kuna sababu za kuvunja, sasa naomba kujua mchakato wake.
Je, ndoa uliyoingia ukiwa na matumaini ya furaha na amani, ndiyo unayoishi leo?
Au imekuwa safari ya kuvumilia tu kwa ajili ya watoto, heshima ya jamii, au kuonekana kuwa na ndoa rasmi?
Nilicho gundua ndoa nyingi zime kufa mda mrefu sana ila watu wana pretand kama bado wapo pamoja
Hii baada ya kuambiwa mwenyekiti wa jumia yetu na mkewe wamegawana vyumba lakn kwa watu wanaonesha kuwa wapo pamoja na kanisani wana shirirki ekarist takatifu kabisa
Means ndoa nyingi sana zime baki...
Pamoja na wimbi kubwa la talaka na watu kutengana ama kuachana kabisa lakini hii ni special case kwa muktadha wa mada hii
Mahari ninini?
1.Wajibu wa Mwanamume: Katika mafundisho ya kidini (kama Uislamu na Ukristo), mahari ni zawadi au "mahr" inayotolewa na bwana harusi kwa bibi harusi kama...
Hamjambo!
1. Wengi wanaosema mapenzi na mahusiano hayana formula Kwanza ni waongo. Lakini pili ndio haohao wanaoteseka na mapenzi na ndoa.
2. Mapenzi na ndoa ma mahusiano yoyote unayoyajua Yana kanuni na formula zake.
3. Nitatoa kanuni chache ambazo ukizifuata mahusiano na mapenzi yako...
Ndoa si Biashara: Kujibu Hoja za Wanaokimbia Ndoa kwa Hofu ya Kiuchumi
Katika miaka ya hivi karibuni, kumezuka Wimbi jipya la wanaume wanaopania kukaa mbali na ndoa. Hoja yao kuu? "Wanawake wanatumia ndoa kama mradi wa kujitajirisha." Ingawa ni kweli kuwa kuna visa vya watu kutumia vibaya mfumo...
Takribani miaka 500 iliyopita kulikua na biashara ya utumwa ambayo kwa kipindi kile ilikua imehalalishwa kabisa kabla ya kuja kupigwa marufuku miaka ya mbele yake. Kulikua na watu watatu ambao wanahusika katika hii biashara ambao ni slave, slave driver na slave master.
Ndoa inafanana sana na...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, ametoa agizo kuwa waajiriwa wote wapya wa Serikali lazima wafanye kazi kituo kimoja kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) kabla ya kuruhusiwa kuomba uhamisho, isipokuwa kwa changamoto za kiafya zilizothibitishwa na jopo la...
Mambo ya kushangaza kabisa, mbele ya mchungaji mwanamke ni mpole, mnyenyekevu, anafunga mdomo wake, akisikiliza zaidi kuliko kusema. Hata akisema maneno ni machache tu....Ameen...amina...
Njoo kwa mbele ya mumewe sasa, ooooh ni kiranga.
Hata mkikosana mkapelekana kwa mchungaji, utakuta ushauri...
Tusiingiliane kama umeona ndoa ina kufaa oa,na kama haikufai kaa pemben.Na usipooa mbelen usije ukalaumu mtu,ukizidiwa na kujinyea kwa nyumba.Hata mm sijaoa nani maamuz yangu kwa hiyo,nikiishi na madem usije ukaniuliza mbona huoi maana tutazinguana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.