ndoa

  1. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi lodge kutakufanya uogope ndoa

    Astaghfirullah!! nipo apa mapokezi kuwaonyesha vyumba na kuwakabidhi wateja funguo kiukweli ni mzozo. Hivi uko kwenye ndoa mnaishi vipi mbona kina mama fulani na baba fulani wanapishana tu.
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Moja ya makosa utafanya ni kuolewa na Mwanaume wa miaka 50+. Walioingia huko wengi wanalia

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Chunguzi zangu za kina zinanionyesha haya. Nitazungumza ukweli mwingi ili kuwaponya ambao wanataka kujaribu kujiingiza huko. 2. Wadada wengi baada ya kuumizwa na mapenzi kutoka kwa vijana wenzao. Hufikiri kwamba suluhisho ni kuolewa na wababa watu wazima...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana Wakiume mjue Ndoa lazima izingatie maslahi yako ya Kiuchumi. Ndivyo familia kubwa zinavyofanya, siyo unajioleaolea hovyohovyo

    VIJANA WAKIUME LAZIMA MJUE NDOA LAZIMA UZINGATIE MASLAHI YAKO YAKO KIUCHUMI. NDIVYO FAMILIA KUBWA ZINAVYOFANYA. SIO UNAJIOLEA OLEA HOVYOHOVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kuna dhana nyingi za kizamani ambazo zipo zaidi Afrika na jamii maskini au zilizotopea kwenye ujinga. 2. Kwamba...
  4. A

    JamiiForums Tanzania How wenzangu munaweza ku control wanawake katika ndoa zenu nipeni mbinu

    Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga How Hawa wanaume wenzangu wanafikia Level za kutesa wake Zao au kuwa control na wengine wanashindwa kabisa na matukio ya wanaume wanaamua kwenda kwao Wanafanya fanyaje 😀😃😄 maana Mimi mwezenu tayari nimedandia mtungi wa vibwengo Nimeona Kamada wa jeshi (😀😃)...
  5. Stability

    JamiiForums Tanzania Wadada wavumilieni waume zenu. Baada ya kuvuka miaka 35 ile nguvu kupeleka moto huwa inaanza kushuka, sio kwamba amekuchoka ila ni engine

    Kidume akishavuka 35, ule uwezo wa kutafuna jagina sio tena ule wa 18-35 ndio maana hata sugar mamy huwez mkuta ana tembea na jamaa wa 35+, huwa mara nyingi ni vijana wa 20s. Kwahiyo acheni visa, endelea kumkatia kiuno na makebo kama kabinti kaamiaka 21 ili apate amsha amsha engine iwe turbo.
  6. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Nimehudhuria ndoa ya single maza, pilau tamuuuuuu

    Guys, yaan hapa nimeshiba kitumbo kipo ndi ndi ndi, pilau la harusi ya single maza lilikua tamu hatariii, pilau la mbuzi likatiwa zabibu kavu na tui la nazi kwa mbali oyaaaaaaaa🙌🏻 rosti la mbuzi na nyama za kuku za kuokwa nyie watu wanajua kupika, 😋😋 Sasa nawapa ubuyu kidogo wa huyu single...
  7. CONCHEY

    JamiiForums Tanzania Mwanamke na haki za ndoa

    TAMU YA KESI ILIYO AMULIWA NA ( SUPREME COURT OF INDIA) ANNA SAURABY DUTT VS. LIEUTENANT COLONEL CIVIL APPEALNO.25076 0F 2024 MAJAJI WALIELEZA YAFUATAYO KATIKA MAHAKAMA HIYO... Mwanamke aliyesoma na mwenye sifa za kitaaluma hawezi kutarajiwa kufungiwa ndani ya mipaka migumu ya majukumu ya ndoa...
  8. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni msingi muhimu na imara, je, ni yupi mwanaume sahihi

    Shikamoon wakubwa, wadogo zangu hamjambo. Siwezi kuwa mnafiki,ndoa ni moja ya nguzo ya lazima,na napenda sana niwe na mtu sahihi ambaye tutaheshimiana. Mapenzi ni kama majani huota popote vilevile,mpenzi atapatikana popote iwe jamiiforum,mtaani na kila sehemu. Lakini ni yupi mume mwema na...
  9. Labani og

    JamiiForums Tanzania Je, taasisi ya ndoa inaweza kugeuzwa kuwa vita?

    Mughonile bhandu ba kyala Kwanza kabisa niungane na Mbunge baba levo kuwa Kuna kampeni ya kumgeuza mwanaume kuwa adui wa jamii kwenye suala la ndoa nikama vile lawama zote zinabebwa na mwanaume.... Matokeo yake wanaume wanaongezewa stress nzito hivyo kupelekea kuwapoteza mapema zaidi Reference...
  10. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mwanaume uliepo kwenye ndoa, umeoa au mme-oana na huyo mwenzako?

    Ugonile, kabla sijaendelea wale wa 50/50 hapa sio pahala pake. Binafsi sijaoa ivyo sitojikita sana kwenye mambo ya ndoa ingawa nmeishi na wanawake tofauti tofauti kwa nyakati tofauti na mpaka sasa ndo utaratibu wangu. kwa jinsi tulivyoumbwa ni wazi mwanaume ni kichwa cha Familia huku mwanamke...
  11. majam19

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na hii ndoa yangu. Nifanyeje?

    Habarini wakubwa, Poleni na majukumu. Nianze kwa kuomba radhi kwa nitakaowakwaza. Mimi ni kijana wa miaka 27. Baada ya majaribio ya muda mrefu ya kutafuta mke kushindikana, nilikata tamaa ya kuoa kabisa na nikaamua kubaki single. Baada ya muda, dada yangu alinipatia binti mwenye miaka 17 na...
  12. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Miaka 25 ndoa ya Makamba January na Ramona, shikamoo Ramona

    Couple inaenda miaka 25, mbunge huyu wazamani, Jimbo la bumbuli, lushoto Tanga, limenipa furaha,lakini ghafla nikanuna, nikakumbuka jambo. The no 1 artist kule tandale, katika mahojiano aliwahi kudai kuwa, kipindi ana mahusiano na kimbaumbau kipyenga, ilikua siku Moja kwenye sherehe ya kuzaliwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha hii ya Aziz Ki akifunga ndoa ni halisi?

    Wakuu nimekutana na watu wanapost huko X kuwa Mchezaji Aziz Ki amevuta jiko lingine
  14. Khantwe

    JamiiForums Tanzania Hapa shida inaweza kuwa nini?

    Katika pitpita zangu mitandaoni, nimekutana na hii habari ya Mark wa Mark Angel Comedy (kama humjui potezea point yangu sio hiyo). Wanaijeria hasa wanawake wanamnanga kwelikweli hata mimi nimeona ni kweli kuna jambo haliko sawa, ndani ya miaka 8 ameoa mara nne?? Swali kwa wanawake unaweza...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Arudi kwa mzazi mwenzie baada ya miaka 15 ya ndoa

    Miaka kadhaa nyuma nilikuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi ya kijana mmoja kwenye kanisa nililokuwa ninasali hapa Dar. Upekee wa hii ndoa ni misuguano na mabishano yaliyokuwepo kati ya kijana na familia yake hasa mama yake na dada zake. Sababu ya mabishano ni dada anayetaka kuolewa na kijana...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana

    Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna. Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi? Ndio...
  17. Astrid_Lulanga 8223

    JamiiForums Tanzania Maisha bila watoto wala ndoa

    Naomba kujua kwa walioamua kuishi bila bila kuoa/kuolewa maisha yao yote na bila kuwa na watoto kabisa(sio kwasababu hana uwezo wa kuzaa). Ni mambo gani yaliwasaidia kuishi hiyo lifestyle? Umelala kwa muda gani na attention yako umehamishia wapi zaidi tofauti na ndoa/Watoto?
  18. MRWINNER

    JamiiForums Tanzania Nini Hupelekea Ndoa Nyingi Kuvunjika Ama Mahusiano?

    Je, sababu kuu huwa ni usaliti na matamanio, kukosekana kwa uwazi, au kuchokana ?
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hii chuki dhidi ya ‘Single Mothers’ Inaweza Kubadilisha Mfumo wa Mahusiano ya hawa Gen Z wakagoma kabisa kushika mimba mpaka ndoa

    ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa? Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua...
  20. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Kijana Usithubutu kuzaa nje ya Ndoa! Tafadhari sana! Uliza wakongwe

    Tafadhari tafadhari sana. Mtoto wa nje ya ndoa ni shida sanaaa! Hii hesabu haijawahi kukaa vizuri. Mimi ni muhanga
Back
Top Bottom