ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Kama hauko matured enough usijaribu kamwe kuingia kwenye ndoa

    Maturity imebeba mambo mengi sana, Ukiingia kwenye ndoa kwa kuongozwa na nyege au influence kutoka kwa jamii sjui umri umeenda wenzako wote wameshaoa wewe mbona huoni aise utarudi kwa speed kali sana kwenye ubachela. Ulishawahi kumuona kasongo akikimbia porini. Maturity ndio itaamua ukae...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke ataivunja ndoa yake mwenyewe

    Jiulize Kwani biblia haikuona mwanaume??? Wanajua vyanzo vya matatizo kwenye ndoa n wanawake Na ndio maana wanaume tukaongezewa tuishi nao kwa akili Sio miguu wala mikono  Nawakilisha
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa ambazo wanaume wametafutiwa wake na wazazi, ndugu wa wazazi au ndugu zao, zinadumu zaidi ?

    Ni zile aina ya ndoa mwanaume anatafutiwa mke na wazazi, ndugu wa wazazi au ndugu zake watu wazima.
  4. JamiiForums Tanzania Breakdown anaombea ajali, wenye hosptali tuumwe, wale wa Sinza tukimbie ndoa zetu, garage gari ziharibike, acha kuomba uone list wanaotuombea mabaya

    Ukiambi wa Sali Sali kweli Hapo juu n list chache tu na wao wakiamka wanaombea wateja wao ukiwemo wewe Hapo sijataja wazee wapale mahakaman aka mawakili, yaan pigana na maombi dunian Mungu pekee anajua Kikibaya unakuta mzee wako anaombea ajali brkdown zake zifanyekazi Mjomba ana garage wewe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

    Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu. Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ukianza kufikiria ma-ex ambao mwenza wako ametembea nao, inaweza kuua ndoa yako

    Ukimuoa mwanamke mwenye umri wa miaka 27 hadi 30, na ukichukulia kuwa alianza mahusiano ya kimapenzi akiwa na miaka 18, kisha akawa na wastani wa wapenzi watatu kila mwaka, hesabu zinaweza kuonesha kuwa amewahi kuwa na mahusiano na watu kadhaa kabla ya ndoa. Kwa mfano, ndani ya kipindi hicho...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba ndoa ya wahuni waliokutana baa NDOA ZAO hazidumu ukilinganisha na watakatifu waliokutana kanisani?

    Ni kweli kwamba ndoa ya wahuni waliokutana baa NDOA ZAO hazidumu ukilinganisha na watakatifu waliokutana kanisani?
  8. JamiiForums Tanzania Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

    Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba. Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni...
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu ndoa

    Salaam wakuu, mimi ni mwenzenu ila account yangu sijui imefanyaje na ile email walihack ila nimefungua account mpya. Sasa ndugu zangu mimi nina 38 sasahv na ndio naingia kwenye ndoa, huyu binti nilizaa nae miaka 12 iliyopita, ila nilikuwa sijapata kibali cha kuishi nae pamoja. Sasa naombeni...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kutunza siri, mnatuharibia sana. Saahizi ndoa yangu ipo matatani kuvunjika

    Habari gani kwenu wakuu? Najua mapambano bado yanaendelea, hakuna kukata tamaa.. Kuna uzi niliwahi kushare humu kuhusu huyu mwanamke wangu kuwa na tabia ya kushare mambo yetu ya faragha kwa marafiki zake...
  11. JamiiForums Tanzania Vituko na ugumu wa ndoa za wanaume " mama Boys"

    Wanawake sio walezi na watengenezaji wa wanaume na Baba Bora katika family. Mama Boys ni tatizo jipya katika jamii, ni mijadala na maswali magumu yanatusumbua sisi wana saikolojia, kilipatia majibu na kujenga ndoa imara Mahusiano ya mama boys na mabinti wengi huishia kubaya na ndoa kutodumu...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Tiba ya ndoa hii hapa

    SIKILIZA kwa umakini utajifumza na ndoa Yako itastawi au utawsaidia wengi https://youtu.be/EE1cGJZuNmo?si=u8Fa9QNg-n9F9wkO
  13. JamiiForums Tanzania Navyozidi kuwa mtu mzima nagundua kuwa mapepo huwa yapo katika jamii duni, ukishafanikiwa utayaita afya ya akili

    UKishafanikiwa utayaita afya ya akili. Utamwaisha mtoto wako milembe mapema mnooo Ukifika kule utagundua afya ya akili ya mwananadamu ni uwanda mpana sanaa wakati huku mtaani afya ya akili inapimwa kwa kiwango cha kuokota makopo na kukimbia sokoni matako wazi.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Lema amjibu Rose Shaboka: Kufua boxer au kupika ukiwa na degree nne si udhaifu

    Kufuatia Mjadala uliosambaa Mitandaoni baada ya kauli ya Mtumishi Rose Shaboka kuongelea kuhusu uwa na Elimu 'Degreee' na kuishia kuwa Mke wa kufua boxer na Kupika, basi Godbless Lema amesema yake; ------ Naandika kwa ajili ya binti yangu Brilliant! Tatizo la zama hizi ni kwamba tunawasilisha...
  15. JamiiForums Tanzania UKIINGIA KIchwa kichwa Ndoa ni chanzo cha utajiri kwa wanawake na chanzo cha UMASKINI Kwa wanaume wengi. Imagine Mgao wa TALAKA.

    UKIINGIA KIchwa kichwa Ndoa ni chanzo cha utajiri kwa wanawake na chanzo cha UMASKINI Kwa wanaume wengi. Imagine Mgao wa TALAKA.
  16. JamiiForums Tanzania Kila mtu ashikamane na kile alichokifuata kwenye ndoa

    Iko hivi, kuna mchungaji mmoja ambaye pengine ni mke wa mtu ameelezea vizuri kabisa kwamba hajasoma degree nne ili aje kufua boksa chafu za mume wake. Kimsingi, yuko sahihi, kila mtu ashikamane na kile alichokifuata kwenye ndoa. Ieleweke kwamba ndoa ni scam na ubabaishaji mwingi wenye lengo la...
  17. JamiiForums Tanzania Ndoa za Kiislamu, je upande wa anayeoa anakuwa hana kauli?

    Wapendwa, katika siku za karibuni nimekuwa nikiona ndoa za kifahari zikifungwa na ndugu zetu Waislamu, ni harusi ambazo ni funika bovu ni sherehe za kifahari kwelikweli, lakini kinachonishangaza ni kuwa waoaji yenye familia za upande wa kiumeni hawaonekani ni kama wao wameolewa, upande wa kike...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Video fupi: Yesu atoa ushauri kwa team kataa ndoa

    Katika video hii fupi, Yesu anatoa ushauri kwa team kataa ndoa kwa kuwaambia, "Kataeni dhambi, si lazima mkatae ndoa" Angalizo: Sura zinazoonekana katika video ni matokeo ya Sanaa na siyo uwakilishi halisi wa wahusika. https://m.youtube.com/watch?v=MfpPNr5Vujw&pp=ygUMWWVzdSBBbmFqaWJ1
  19. JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa mnanizidi nini katika mazingira haya!

    Sijawahi kuoa na sitokuja kujaribu huu utapeli. Hapa nilipofika Nina watoto wanne toka kwa mama watatu tofauti..Nina wahudumia kikamilifu na kuwapa muda wangu kulingana na uwezo n nafasi yangu . Tena hao mama wa watoto wangu, wote walikubli kunizalia watoto bila mbambamba Wala kelele.DNA...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna mambo gani mazuri ya kuvutia katika ndoa ambayo mke anamzidi umri mume?

    Priyanka Chopra Jonas (miaka 43) na mume Wake Nicholas Jonas (miaka 32)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…