nchi

  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ubunifu zero kabisa kupeleka makasha kwala, hatunaga watu wa mipango nchi hii

    Yaan unapeleka makasha kwala yaan “Tunayapeleka moja kwa moja Morogoro maana hata yakishuka Kwala bado yatafika Vigwaza na kuendeleza foleni ileile ya kuja Dsm na kuelekea Morogoro. WASOMI NA UPEMBUZI YAKINIFU🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭 Si afadhali kufungua ICD Dodoma ( Halfway to DRC, Burundi , Rwanda na...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Wanakuachia mchana wanakufuata usiku, nchi ya kishenzi sana

    Jilindeni sana, Kikosi kinapewa maelezo tena kama ilee ya code 29102025 Britanicca
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Swala la umeme africa bado sana kama ili tena kampuni moja inataka umeme wa nchi nzima na bado inakudai.

    Kenya walishawai kupata dili la Microsoft wafungue data center ila kampuni ili hitaji gigawati 1 ya umeme.wakat Kenya kwa wakati huo ilikuwa na uwezo wa kuzalisha takribani MW 3,000–3,200 tu. Hapo ni kenya.
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza nchi kama China na USA japo ghost town ni ngumu kuzibiti

    Tatizo la ghost town lipo dunia nzima hata kama utaboresha vipi na kulipa au kusaidia watu waishi hapo bure. Shida tunayotaka kuangalia ni nchi kuwa ya mikakati mfano kama ilivyo USA na China ili kubalance maendeleo na fursa sehemu zote. Ukiwa nchi kama china au USA wamejigawa ndio maana...
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania HOJA Msiweke namba za simu kwenye taasisi zenu ili hali mnaona kabisa hamna mpango wa kuzipokea na kuwasaidia watu wapate huduma, mnaudhi sana

    Nianze kwa kuwapongeza customer care wa kwenye private sectors Wapo very active kupokea simu na kutoa maelekezo ya huduma wanazo zitoa kwa wateja hapa nawajumuisha na customer care wa TANESCO. Nije kwa hawa customer care wetu hawa, wanaoweka namba za simu ili watu wapge wapate maelekezo ya...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar isichukulie kama fursa ongezeko la wanaokimbilia nchini humo kutafuta matibabu?

    Badala ya nchi ya Zanzibar kukataza watu wa nchi nyingine kama Tanganyika na Kenya kutibiwa nchini Zanzibar mimi ningewashauri viongozi wa nchi hii kuchkulia jambo hilo kama fursa ya kiuchumi ya kuingiza fedha za kigeni.
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi ya tanzania kila kitu uzinduzi

    Baada ya uzinduzi wa kutakuwa na sheree ya mchana na usiku tutamuita msanii kuburudisha
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nchi hii tulipata bahati mbaya

    Nchi hii tulipata bahati mbaya sana sijui tulimkosea mungu nini. Kutoka urais wa John Pombe Magufuli hadi kuingia urais wa Samia Suluhu?! Samia sio mzalendo jasiri na mwenye maarifa kama magufuli. Samia kiitikadi ni mbinafsi mpenda kujilimbikizia mali kwake na jamaa zake, mwenye upendeleo wa...
  9. Red black

    JamiiForums Tanzania Unaitazama world cup ukiwa nchi gani? Current location

    😁
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania

    Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania, kulingana na ripoti rasmi kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania - TIC, zinajumuisha mataifa mbalimbali ya kikanda na kimataifa yanayowekeza kwenye sekta kama vile viwanda, madini, kilimo, na utalii. Orodha kamili ya nchi 10 zenye uwekezaji mkubwa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo jinsi nyimbo zetu zinavyosikika mbele ya masikio ya watu wa nchi zingine

    wanasikia hivi, watu wa Europe, Asia na Marekani 👇🏾
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa watu wanaopinga ushoga katika nchi za kihafidhina

    Kwa nini watu wengi wa mataifa yanayopinga ushoga hasa kutoka Africa na Asia huwa wanakimbilia mataifa yanayoruhusu ushoga badala ya yale yasiyoruhusu ushoga? Mfano Ghana imepitisha Sheria kali za ushoga nchini kwake ila raia wake wamejazana kama wahamiaji halali na haramu Africa Kusini hadi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Ujamaa bado ni msingi wa maendeleo ya Nchi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, Stephen Wasira, amesema ujamaa bado ni msingi mkuu unaoendesha sera na mipango ya maendeleo nchini. Akizungumza na wanachama wa CCM mjini Moshi, leo Juni 6 2026, Wasira alisema alikana madai kuwa mfumo huo umepitwa na wakati. "Wale...
  14. L

    JamiiForums Tanzania CDF Jenerali Jacob Mkunda: Nchi Haijengwi Na Wahuni na Mateja

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Kauli nzito iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi Ya Tanzania. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda, amesema Taifa imara halijengwi na Watu wanaojihusisha na vitendo vya utapeli, ugomvi, uhalifu na uvunjifu wa sheria, huku akisisitiza kuwa...
  15. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Nchi imeshaenda Kombo: Ninachoamini Nchimbi ni Smart Guy hamtoweza kumsikia akiingia kwenye mjadala wowote

    Tulipofika ni total destruction of our country , and Samia does not know what else to do- hamna anachokifanya na kwasasa nchi ipo chini ya polisi maana hata jeshi halijaonekana kwenye kusimamia katiba- polisi ni very low minded and most of them ni uneducated- imagine the consequence. Mmbunge...
  16. Zum

    JamiiForums Tanzania KERO Vibali vya kazi kusafiri nje ya nchi kupitia Mifumo ya TAESA kwa waombaji/waliopata ajira nje ya nchi vinachelewesha na hakuna updates zozote

    Vibali vya kazi vinavyotolewa na mfumo wa Taesa haupo sirias mda mwingi kuja system error na hata pia huchkua muda mrefu kupata kibali mbali na mhusika kashakamilishamilisha mahitaj viambata na malipo. Ikiwa kuna lolote, ni vyema wakatoa update nini kinahitajika mhusika aweze kukamilisha kukaa...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nitajie nchi za Afrika tokea kupata uhuru au sehemu nyengine urusi ilivyounga mkono nchi zikawa na maendeleo makubwa ya kutisha

    Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio wananchi. Tukiwachekea hawa tuna ungana na historia za wengine.
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kama kweli Nchimbi ni msaliti kama Yuda, angeweza kuachiwa madaraka ya kuitawala nchi kwa zaidi ya siku tatu?

    Mtu msaliti kama Yuda aachiwe kutawala nchi hii? Hili jambo linashangaza sana. Kwa Sasa Nchimbi ndio mkuuu wa nchi maana rais yupo nje kwenye ziara.
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Siasa za kumtaja Rais na kumsifia kila mahali hadi kwenye michezo zinaisaidiaje nchi?

    Nimeshangaa kwenye mechi ya Serengeti boys na Senegal watu wanaimba nyimbo za kumsifia mama! Upande wa Senegal hawakuwa wakimuimba Rais wao Faye na wameshinda, Kenya huwa wanafanya vizuri sana kwenye michezo mingi duniani lakini huwezi kusikia wakiimba nyumba za kumsifu Uhuru au Ruto, DRC Congo...
  20. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Wanasema kila nchi huwa ina mangenge ambayo yako nyuma serikali yenyewe Ndo yanaenesha USA na ISRAEL

    Najua wengi mnafahamu kwamba Israel wana endesha Rais wa USA kuna madoni yameweka system mkononi sema ya kule yanakula na Wananchi ya kwetu Afrika ni kausha Damu GUPTA na SA
Back
Top Bottom