Hii nchi kwa sasa hakuna Kiongozi mwenye sauti anaweza kutoka akakemea mambo yanayoendelea kwenye hii Nchi hakasikilizwa kutokana na past zao.
Tulikua na Mkapa huyu pamoja na mambo yake alikua ni mtu huyu aliwambia maneno serikali yangu...
Ni aibu sana sana kusema nchi ina haki na domo crazy maana sio democracy mnayo sema ina tawala kwa haki.
Leo tarehe 7/7 mnaweza kusema mumeweka amani hapa mfano kariakoo kuwa watu waendelee na shuguli zao
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa na AMANI ya kweli kama viongozi na wananchi tutazingatia kusema UKWELI. Utamaduni wa kusema UONGO umeharibu nchi yetu Kuteka, kuuwa au kuwabambikia kesi wanaosema ukweli kumevuruga amani ya nchi yetu.
Pia soma: Amani Iliyofichwa na Ukimya wa hofu si...
Jeshi la Polisi Tanzania limefichua kuwepo kwa mipango ya siri ya vikundi vya watu wachache wanaotumia mitandao ya kijamii kuhamasisha vurugu, vifo kwa viongozi na wananchi, pamoja na mpango wa kushambulia askari ili kupora silaha kwa lengo la kuvuruga amani ya nchi.
Katika taarifa rasmi kwa...
Baada ya kuharibu kote huko, sasa anaelekea taratibu kutuharibia amani yetu. Amani ambayo kila siku hujidai kuilinda kwa nguvu zote.
Unaweza vipi kusema unailinda amani, huku mkimuacha Sheikh Mwaipopo atambulishe vikundi vya mbwa mwitu na chui weusi? Au walikuwepo tangu ugaidi wa Kibiti...
Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba
JWTZ
Jeshi la polisi
Jeshi la magereza
Jeshi la uhamiaji
Na Maaskari game
Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi
Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi?
Na...
Malalamiko mengi na mashuuda wameeleza kuhusu urusi ilivyo wafikisha kwa udanganyifu wa ajira na mambo mengine mwisho wa siku wanajikuta kulazimishwa kupigana na ukrain.
Cha kushangaza tumeona raisi feki kaenda huko na nyie JWTZ msipo kuwa makini mtapelekwa kwa lolote.
"Wamepanga kupiga Risasi Waandamanaji ili Waseme ni Serikali "
Hiii Kauli haikupaswa kutolewa na Mtu wa aina yako kiuongozi hata km ni Serikali Haramu.
Hii ni Kauli inayovua Nguo Vyombo vya Usalama na wakati huohuo kuweka Usalama wa NCHI hatarini.
Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, hatohudhuria shughuli za mazishi ya baba yake, Ali Khamenei,
Taarifa hiyo imetolewa na mwakilishi wa kiongozi huyo nchini India wakati Iran ikiendelea na maandalizi ya shughuli za mazishi.
kuna possibility kubwa hata huyu walishapita nae
Uchawi na uganga unaaminiwa sana Africa ila ajabu pale uchawi unapohitajika zaidi kufanikisha mambo kama kwenye hili kombe la dunia hauonekani kabisa kuleta matokeo,
Hii inathibitisha uchawi ni porojo tu, ni kama Nyuki wa mashineni.
Mimi mpaka sasa nimeshafika nchi hizi:
Ethiopia
Thailand
Timor-Leste
Indonesia
Myanmar
Singapore
Ufilipino
Msumbiji
Japan
Sasa ni zamu yako. Taja nchi ulizowahi kutembelea, iwe kwa kazi, masomo, biashara au utalii. Pia ni nchi ipi bado ipo kwenye bucket list yako..mimi nataka sana kutembelea...
Hawa magwiji wawili wa siasa na jopo lao la viongozi ndani ya CDM wamefanya CCM wote kuchanganyikiwa na kupoteza legitimacy mbele ya wananchi kwa zaidi ya asilimia 80. Ni ukweli usiopingika kwamba Chadema kwa sasa ndio chama kikuu cha siasa Tanzania na raia wanashauku na matumaini makubwa kwa...
Nafasi ya amani Afrika
Chanzo cha picha,ABI
Kwa mujibu wa Global Peace Index 2026, Tanzania ipo katika nafasi ya 17 barani Afrika kwa kiwango cha amani, huku ikiwa ya 98 duniani. Inazidiwa hadi na Zambia
MY TAKE
Kila siku wanadai eti wanalinda amani. Wanalindaje amani ambayo haipo?
Wanalinda...
Kuna makabila mengi hapa Tz, hata Watutsi utawakuta ila wapo wachache sana, hivyo tuyaguse makabila ambayo angalau yanafikia hata watu laki
Wajaluo wapo wilaya ya Rorya mkoa wa Mara, kwa upande wa Tanzania kwenye maendeleo hawapo kivile japo kuna baadhi ya sehemu wametoboa mfano ukienda kule...
Tokea kupata uhuru kumekuwa na uchafu mwingi na mambo mengi ambayo si rahisi hawa watu kama msipo kaza buti.
Tena wanatakiwa kutolewa kwa nguvu sio maneno ya kubembeleza.
Walicho wahi sasa ni kuingiza mpaka jeshi la nchi kuwalinda na idara za polisi na TISS.
Tarehee 7 msije shangaa mpaka...
Kwa miaka mingi, nchi za Ulaya, hususan Uingereza (UK), zimekuwa kivutio kikubwa kwa watu wanaotafuta maisha bora. Wengi huamini kuwa huko kuna ajira nyingi, mishahara mikubwa, huduma bora za afya na elimu, pamoja na fursa za kujenga maisha yenye utulivu. Hata hivyo, swali la msingi ni: Je...
Habari za Jumapili.
Kwa uelewa wangu huu ninaamini kabisa Wazungu, mabeberu kamwe hawataruhusu nchi walizozitawala ikiwemo Tanzania ifanye Jambo ambalo litaiinua nchi, kuiendeleza, ikiwezekana kuwapita wap.
Mtibeli naamini, Ukiona Mzungu hakuzuii kufanya Jambo Fulani linalokufanya uendelee...
Miaka 60 ya kujitawala, Taifa linategemea umeme wa Grid ya Taifa
Ikipata itilafu kama ya Jana Taifa Zima kasoro ikulu tunakuwa gizani.
Kwa Nini kila mkoa usiwe na CHANZO chake cha kuzalisha umeme IKITOKEA IMEKATIKA mkoa unawash?
Mwizi wa RASIRIMALI alkipitia hapo si atatumaliza wote kasoro ikulu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.