nchi

  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania waishio nje ya nchi wanapaswa kuandamana #D9 tunataka watanzania angalau 100 kila nchi

    Wito kwa Watanzania waishio nje ya nchi wanapaswa kuandamana #D9 tunataka watanzania angalau 100 kila nchi bado kidogo tushinde.
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: CHADEMA imetoa mawakili nchi nzima kwa watu wote wenye kesi za uhaini, hakuna kurudi nyuma hadi ukombozi upatikane

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Msoganzila: Nchi inanuka, wauaji msipotubu damu hiyo itawalilia mpaka mnakufa

    Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo la Katoliki Musoma ameeleza kuwa Wananchi waliomba Uchaguzi wa amani lakini imekuwa tofauti watu wengi wamepoteza maisha mbaya zaidi hata wasio na hatia waliokuwa majumbani mwao na wengi kujeruhiwa Askofu Msonganzila ameongeza kuwa nchi inanuka imepakwa mavi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania 2025-2030 hakutakuwa na tamasha la msanii ndani ya nchi

    Salute kwenu JF bosses! Kutokana na usaliti wao kwa wananchi na kuwakumbatia watawala waliofanya mauaji ya kikatili October 29 ya mwaka 2025, ni dhahiri shairi sasa HAKUTAKUWA na MSANII atakayeandaa show ndani ya nchi au nchi jirani na Tanzania, au nchi nyingine yoyote duniani yenye wananchi...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Haiwezekani unaiba kura halafu unakuja na maridhiano. Unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza, hatutakubali tunataka nchi yetu

    Haiwezekani mtu unaiba kura alafu unakuja na maridhiano yani unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza hatutakubali tunataka nchi yetu. Wananchi sisi tumesha mkataa kabisa kabisa tunataka nchi yeetu yetu kwa gharama yoyote ile. waliiba kura na kutunajisi makusudi na kwa kiburi.
  6. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Mzee Malisa yupo salama? Tarehe 29.10.2025 nchi iliingia gizani, tunafahamu umefungua kesi ICC, toa neno tujue kama upo

    Wote tunafahamu mzee huyo alipinga mchakato mzima ulivyofanyika wa kupata mgombea kitu cha Rais ndani ya CCM hadi kupelekea kufungua kesi ya kupinga mchakato huo mahakama kuu kanda ya Dodoma Pamoja na juhudi zake lakini hakupata alichotarajia, shauri lake lilitupiliwa mbali kama mnavyofahamu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania sio nchi ya Amani wala Haki majirani wametupita kwa mbali

    Tanzania sio nchi ya Amani wala Haki majirani wametupita kwa mbali Zambia , malawi, kenya wana haki na Amani Uganda, Rwanda na Burundi wana amani hawana haki Tanzania haina amani wala haki
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Samia atakanyaga nchi gani aeleweke na kupokelewa

    Nawaza kwa sauti , hivi kwa kilichotokea na kinachozidi kuendelea , je Samia atakanyaga nchi gani aeleweke na kupokelewa?
  9. K

    JamiiForums Tanzania POV: Kama Internet isingezimwa Oktoba 29 tungezungumza mengine

    Wasalam, Ni asilimia chache sana ya Watanzania including Mange mwenyewe aliamini kama kuna watanzania watatoka 29 Oct. Kulikua kuna kundi kubwa la vijana lilokuwa linaongezeka kila dk. Kwa trending ile kama sio serikali kuzima internet tungezungumza mengine. Kukatwa kwa internet kuliwaathiri...
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Musalia Mudavadi aonya Wakenya kuvuka mipaka kushiriki siasa za nchi jirani

    Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewataka Wakenya kuepuka kuvuka mipaka ya nchi kwa ajili ya kutafuta haki au kushiriki katika siasa za mataifa jirani, akionya kuwa uhuru wanaoufurahia nyumbani, hususan uhuru wa kujieleza, haupo kila mahali. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa...
  11. Mr Kipara

    JamiiForums Tanzania Baada ya October 29 tusitarajie Nchi kuwa Sawa tena.

    Naandika huku nikiwa na huzuni kubwa kwa Taifa letu kupoteza nguvu kazi kubwa (vijana), inakadiriwa zaidi ya vijana elfu 20+ waliuawa kwenye kile kilichoitwa Uchaguzi. Itakuwa nikujidanganya kwa kudhani mambo ni shwari kama ilivyokuwa kabla ya hicho kilichoitwa Uchaguzi, ukweli nikwamba Taifa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kwa yale ya tarehe 29/10, Nitashangaa sana kama "Spy Chief" wa nchi ya "Zimbabwe" ataendelea kuwa kibaruani

    Wanajamvi! Enzi za medani ni medani kweli, nazungumzia enzi zile "Jumba jeupe" kuna watu wenye akili timamu, weledi, maarifa, wivu na uzalendo mkubwa sana kwa watu na nchi yao. Enzi ile kabla ya "vetting" haijabadirika ya kuingiza "vilaza" kwenye medani bila vipawa. Naam, enzi ile ambayo Spy...
  13. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Idara ya Uhamiaji: Taarifa za kuwanyang’anya Raia walipo nje ya nchi wanaporejea Pasipoti na fedha ni uzushi

    Idara ya Uhamiaji inakanusha taarifa zinazosambazwa kwa njia ya Audio Clip kwenye mitandao ya kijamii kwamba raia wa Tanzania waliopo nje ya nchi wanaporejea nchini kupitia viwanja vya ndege au vituo vingine vya kuingia nchini wananyang'anywa pasipoti na fedha zao na kutakiwa kwenda kufanyiwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji: Kuna Mwanamke kashinda uchaguzi 98%, kwa hiyo 2% ndio wanaondamana mtaani?

    Tanzania tumekuwa kituko kwakweli, huu ni zaidi ya udikteta. Samia anafanya Mataifa kuishangaa hii nchi, tuweke masuala ya Jinsia pembeni tujadili kwa fikra na matendo ya binadamu anayesimama kwenye majukwaa na kuongelea utu kisha kuua watu kiunyama Ameshinda uchaguzi kwa asilimia 98, hakuna...
  15. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu hamna mtu mwenye connection ya mwanajeshi mtanzania yeyote wa nchi ya ulaya au marekani

    i
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Unamuheshimu mtu unakuja kugundua ni msagaji. Hii nchi hii inasiri.

    Unakuta mtu biashara yake ni ya kawaida sana ila anasukuma ndinga za maana kumbe nyuma ya pazia anasagwa na kusaga wenzake. Listi ni ndefu mno na ni mambo ya aibu ,kiasi kwamba hata mikono inatetemeka. Na si kwamba hawajulikani , la hasha watu wameamua kukaa kimya mambo yasiwe mengi. Tena...
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania MCh. Carlos R.W.Kirimbai: Ujumbe kwa Taifa la Tanzania juu ya athari ya damu isiyo na hatia inayomwagwa na binadamu wengine katika nchi yetu

    Huu ni ujumbe wa Mungu muumba kwa Watanzania; Damu ya mtu ikimwagwa isivyo halali juu ya nchi (ardhi yenye mipaka rasmi na halali) nchi husika inanajisika. Nchi ikinajisika hamna sadaka wala kafara iwezayo kuondoa huo unajisi ila damu ya huyo aliyoimwaga vinginevyo nchi itabaki najisi...
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Bado haingii akilini mtu anawezaje kuuawa na risasi mbele ya Askari jeshi wa nchi husika ?

    Toka tarehe 29 mpaka leo bado nawaza mwananchi anawezaje kulengwa shaba mbele ya askari wa jeshi la wananchi naye askari akabaki anashangaa tu kama sanamu. Moja mwananchi anapigwa virungu mbele ya askari jeshi, jeshi bado linashangaa inafuata anauawa bado tu mwanajeshi anashangaa wala hatua...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nashauri list ya polisi ya Mnyika et al wakimbie nchi and fight from abroad

    Should not accept to dead heros. Kimbia nenda nchi yoyote ambayo ni demokratic mengine yatafuatia. Definitely mapambano yanaendelea
  20. M

    JamiiForums Tanzania Samia Sasa Haongozi nchi, KAZI yake sasa ni Kulinda Uraisi Wake

    Sasa hivi serikali ya Samia haifikirii chochote kuhusu maendeleo ya nchi na watu wake, sasa KAZI kubwa na pesa kubwa imeelekeza katika Kulinda Uraisi Wake ambao anahisi kuna watu wanataka kuuchukua ikiwemo Tulia na Majaliwa. Nina hofu kubwa sana juu ya mustabadhi wa nchi hii, kwasasa ni kweli...
Back
Top Bottom