Kipindi walichopitia Uganda utawala Idd amin ilikuwa ni ngumu kumtoa mtu ambaye mwenye matendo kama utawala wa ccm ambao ukiendelea tokea kila awamu za wanaoshika madaraka.
Kama watawala wanabebwa na vyombo vya ulinzi wabaki madarakani na kumshikilia kwa vyeo vyao ni ngumu kutumia maneno...
Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi.
kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
Utawala wa samia umeuwa watu wengi sana katika historia ya nchi yetu nzuri.!
Umewaacha watanzania wengi katika maumivu sasa inatosha ameuwa watu wengi sana na sisi kwa pamoja tupo tayari kufa.
Tukutane #D9
Tanzania inapitia moja ya sura zake za giza zaidi tangu kupata uhuru. Matukio yaliyoambatana na uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025—uliogubikwa na madai ya ubakaji wa demokrasia, na ukandamizaji mkali wa maandamano ya vijana—yameitikisa nchi ambayo kwa muda mrefu ilijivunia utulivu wake. Mamia ya...
Chondechonde naomba tuikomboe hii nchi hata kama ni kwa kuiondoka serikali dhalimu.kwa namna yoyote naomba hii nchi ilindwe isianguke. Hata kama ni kwa kuwaondoa watu waovu tuwaondoe kwa sababu Tanzania ni kubwa kuliko Sisi sote.
Friends and Our Enemies,
Kuna ajenda ya udini inaendelea chini chini na haikuanza leo dhidi ya Rais Samia,Ajenda hiyo ilijicha kwa muda mrefu sana lakini hivi sasa ni wazi kabisa imejionyesha ni nani alikuwa mastermind wa ajenda hiyo.
Kama sote tutakuwa na kumbu kumbu vinara wa uchochezi na...
Tanzania imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR).
Makamu wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi alisema hayo wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo uliofanyika...
Kwa Maslahi mapana ya nchi na utulivu uliopo uendelee japo kwa mbinu, ingawa wote tunajua amani ni matokeo ya HAKI
Wito wangu kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya tarehe 8 December hutubia nchi mama tuna watoto wazee na wake zetu
Mbona Jacob Zuma aliwah kufanya hivyo akawasuprise wasouth...
Dunia yote inajua walisusa, wakagomea ku sign kanuni za uchaguzi walitegemea serikali itawabembeleza. Sasa hivi maisha yanaendelea, mpaka kufikia 2030 CHADEMA itakuwa imekufa.
Mfadhili mkuu w CHADEMA kila mtu amemuona, Tundu Lisu aliwahi kunukuliwa akisema aliwahi kukutana na kiongozi wa dini...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ukiwa ni mkutano wake wa kwanza kushiriki nje ya mipaka ya Tanzania kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tangu alipoapishwa...
Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI!
Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
Mzanzibar aliyekufa mwaka 2005 alafu akafufuka leo mwaka 2025 atashangaa sana kwa hiki anachokiona leo Zanzibar hakuna tena wapinzani wakina jusa, juma duni wamekuwa hawana makali tena wamenyamazishwa sauti mbadala imenyamazishwa
Leo hii Zanzibar hakuna tena siasa za upinzani kwa lugha...
Bado haijulikani kitajadiliwa kitu gani lakini najuzwa ni hayahaya ya kuzamisha majini manuwari ya mtandao. Najuzwa kabla ya 912 kuna tukio la ajabu la kimafia linasukwa sijui kwa kweli. Jambo moja Redcross wanajiamini nalo ni kutotambulika. Hawajulikani ni kina nani. Wengi wao hawafuatiliwi...
Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake.
Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29!!.
DEC 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
Historia ya Tanzania imebadilika ghafla kutokana na udikteta wa Rais Samia, Taifa lililosifika ulimwenguni kwa amani na ukarimu wa raia wake, sasa imekuwa nchi inayozungumzwa kama nchi iliyojaa mauaji, ukandamizaji na udikteta
Vyombo vyetu vya habari vilipuuza sana kuripoti habari za matukio ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.