Chama Cha mapinduzi pamoja na TANU enzi zetu vilikuwa vinapeleka vijana kwenda kusoma propaganda na mambo ya siasa nje ya nchi. Baadhi yao ni akina Mrema wa TLP, baada ya watu hao kurejea nchini hakukuwa na propaganda tena kwa sababu walikuwa chama kimoja. Hata tulipoingia vyama vingi bado watu...
Habari za wakati ndugu zangu wapendwa;
Andiko langu hili ninaliandika katika hali ya furaha na huzuni kwani najua kwamba kila atakaeseoma atatoa na tafakari yake.
Mimi ni Mtanzania ambaye kwa kiasi fulani huwa ninafuatilia siasa na uchumi wa nchi yetu.Kwa kipindi cha zaidi ya Miaka 30...
Ndani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne, ilitufanya wananchi tuamini kuwa ni jambo la lazima kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.
Lakini kwenye miaka 5 ya awamu ya tano, ikatufanya wananchi tuamini tofauti tena, kuwa kumbe sio jambo la lazima sana kwa mkuu...
Tanzania kwanza kwa neno hilo tu! Tunapata picha ya kizalendo na kitaifa inayo ibua hisia na kuleta maswali ya kwanini na lini kuhusu mstakabari makin na misingi imara ya kisiasa, kielimu, kiuchumi na kiutamaduni kwa Tanzania.
Ifikie mahali tukubali kuwa tumeshindwa kuipambania tanzania kwa...
Kuna clip iko kwenye mitandao ikimuonyesha Waziri wa Ardhi, Bwana Lukuvi akitaka maeno ya yaliyotengwa kwa akili ya viwanda huko barabara ya Pugu na sasa yanatumika kwa shughuli nyingine yachunguzwe na hatua zichukuliwe.
Ameagiza vibali vichunguzwe na waliobadili matumizi ya viwanja hivyo kwa...
Inawezekana wakati mama anaenda kufungulia nchi anaweza kufungulia hizi hisia za kutukuza na kukumbushana juu ya kile kinachoitwa umaskini wetu?
Tunatakiwa kutokujaribu au kuthubutu kufanya makubwa kwa sababu sisi ni masikini? Ndio mwanzo wa kuanza kuombaomba tena...maskini wa fikra...
Kama kawaida najua hapa JamiiForums kuna Watu Wajuvi ( Pundits ) kabisa wa Mambo haya na mbalimbali hivyo hamtoshindwa 'Kunielimisha' Mimi Ngumbaru ( Layman ) niliyetukuka.
Sina uhakika sana ila nimewahi kuona mahala ( katika Bandiko ) kuwa Majasusi ( Manjagu ) wa nchi ya Rwanda 'wanaogopeka'...
Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu...
Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya
Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa.
JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja...
Huwezi amini kakabidhiwa wizara nyepesi kabisa ya tararira za kina diamond, mabantu harmonize na kina yanga na simba lakini inamsumbua. Huyu angepewa wizara kama ya mambo ya ndani au fedha na ulinzi ingekuwa hali nyingine.
Naanza kuamini kule Karagwe ile ranchi ambayo mtu fulani alisema...
Najiuliza hili swali hadi nachoka. Kwa mapinduzi yanayoendelea leo kupitia awamu ya sita iliwezekanaje? Ni utii wa aina gani watu hujengewa? Au ni uoga wa aina gani watu hupandikizwa? Au ni heshima? Leo hii Rais aliye madarakani anasema ni mpumbavu pekee asiye ns akili kufikiria uhusiano na nchi...
Habari wadau.!
Wakati Tz na Kenya wao mambo yao yanalega lega na kupinda pinda huku mama akipambana kuyanyoosha wao waganda wapo mbioni ku launch kinu cha nyuklia kwa "mpango wa amani" ambapo nuklia hiyo itazalisha takribani 41,700Megawatts mpaka kufikia 2040.
Uganda wameingia mkataba na...
Takwimu za serikali zinaonyesha Watanzania sasa wako ama wanakafiriwa kuwa Milioni 60.
Kwenye takwimu hizo, wazee ni Milioni 2 na ushee ila hawajafika Milioni 3. Wazee wa kuanzia umri wa miaka 61. Maximum ni Milioni 3.
Kwenye hizo takwimu ina maana nguvu kazi ni watu Milioni 57, yaani ambao...
Nakumbuka mwaka 2016 bei ya sukari ilikuwa shilingi 1,800 kwa kilo. Bei ya mfuko wa cement ilikuwa 11,000 hadi 12,000. Bei ya mafuta ya kula nayo ilikuwa chini sana lakini baada ya kuwekwa zuio la kutoingiza hizo bidhaa bei ilipanda kwa zaidi ya 60% na imekataa kushuka licha ya kutangaziwa kuwa...
Wanajamvi Salaam,
Tangu mama Samia apokee Kijiti cha kuwa Rais wa JMT.
Binafsi sijawahi kuandika chochote humu ama kumpongeza ama kumkosoa Ila kwa yanayoendelea sasa,Sisi Wazalendo halisia kamwe hatuwezi kukaa kimya tena Lazima tuwajibu hawa waliojiita eti Wazalendo kwa kutafuna nchi.
Leo...
Ninaomba yeyote anayewajua anieleweshe ili mimi na wengine wasioelewa kama mimi tuwafahamu Wazee hawa ambao kila kiongozi anapenda kukutana nao.
Natanguliza shukrani.
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema kwa sasa Tanzania haina maono ya muda mrefu kwa ajili ya Maendeleo ya Wananchi bali kuna Ilani za Vyama na mipango ya muda mfupi.
Amefafanua kuwepo kwa maono ya muda mrefu kutasaidia hata kumpima Rais anapoingia Madarakani kwa namna...
Hayo maneno manee ya kwanza katika kichwa cha mada hii sio mageni kwetu, na wala sitopenda kuyaandikia kwa kirefu juu yake.
Haya manne niliyoongeza mimi, hata kama yanafanana na yale ya mwanzo, yanatofauti yake.
Kama ni kweli hii nchi "ilichezewa sana"; tulipoyasikia hayo maneno tulielewa...
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Polisi wanakamata Watu hovyo wengine wenye heshima zao na wanajulikana wanakoishi lakini wanarundikwa tu Rumande bila ulazima wowote.
Ndugai amesema "inatakiwa tujifunze kwa Nchi za wengine ambapo Mtu huwa anaitwa kituoni na kufanyiwa mahojiano kisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.