nchi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Warioba: Tulipoingia madarakani na Rais Mwinyi mwaka 1985 tuliikuta nchi haina fedha za kigeni!

    Makamu wa Rais na Waziri mkuu mstaafu mzee Sinde Warioba amesema mzee Mwinyi alipoingia madarakani kama Rais mwaka 1985 na yeye kuwa msaidizi wake walikuta nchi haina kabisa akiba ya fedha za kigeni. Warioba amesema hii ilitokana na ukweli kwamba nchi ilikuwa imetoka kwenye vita ya Kagera pia...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi

    Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mapema leo duniani, Mwamba Mbowe ataongea na wanahabari hao kutokea kwenye Hotel ya Golden Rose Mjini Arusha. Sikio la Dunia nzima limetegwa upande huo ili kujua kitakachozungumzwa. Wote mnakaribishwa. Muhimu: Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha hali halisi ya nchi na wananchi

  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anayoyafanya yanaimarisha nchi yetu

    Wana bodi. Kama wale watafiti wakija kuwahoji wananchi kuhusu furaha yao kwa sasa,hakika hatutakuwa wa mwisho tena,tutakuwa miongoni mwa nchi tano zenye furaha Duniani. Sasa kwa maoni yangu,Huu muhula Rais Samia kaudakia katikati,lakini ni.moja ya Viongozi bora kuwahi kutokea. Hapendi...
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa nawaonya kwa mara ya kwanza. Hili Taifa ni mali ya watanzania na si mali yenu

    Kuna watu wanajiona ni bora zaidi ya wengine wote bila kujua kuwa elimu yetu ndiyo tunu pekee ya kuongoza taifa letu. Wanasiasa mnapojifanya hamuoni tatizo la ajira kwa vijana wetu mjiandae kuondolewa ofsini. Kama mnahisi kuwa mpo bora zaidi mnajidanganya. Kununua magari yenu pesa zipo...
  6. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi iliyoendelea bila kuwekeza kwenye ELIMU BORA NA TEKNOLOJIA (Tatizo la LUKU, Wavaa miwani ya tinted mpo?)

    Wiki kadhaa niliposti uzi wa kulishauri jeshi (JWTZ) kuwekeza kwenye technolojia bahati nzuri kila mtu alitoa mawazo yake kuna walio kosoa kuna walio unga mkono nk nk!! Lakini leo acha niongelee hili kidogo! na nitapenda kuongea na hawa wavaa miwani myeusi (TISS) maana naamini kwenye nchi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Rais ni mmoja tu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya acheni kujitutumua

    Spika Ndugai amesema wakuu wa mikoa na wilaya wana tabia ya kujifanya wao ni marais wa mikoa au wilaya, tabia ambayo siyo nzuri na haipendezi. Ndugai amesema Rais wa nchi hii ni mmoja tu mh Samia Suluhu Hassan wakuu wa mikoa na wilaya wazingatie hilo.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini nchi za Afrika zinakosoa nchi za Magharibi kuhusu suala la 'Haki za Binadamu' la China?

    Hivi karibuni, watu kutoka sekta mbalimbali barani Afrika wamezikosoa nchi za magharibi kwa kutoa shutuma zisizo na msingi dhidi ya hali ya haki za binadamu nchini China. Hii ni kwa sababu China na nchi za Afrika zina historia ya mateso na maono yanayofanana katika masuala mbalimbali, ndio maana...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais wa Tanzania akienda nchi kama Marekani, magari husimamishwa kupisha msafara wake?

    Viongozi wa nataifa mbalimbali wakitembelea nchi yetu, magari husimamishwa kupisha msafara na Rais wa Taifa kama Marekani ndio kabisa mji mzima unaweza kusimama (nakumbuka kufuru ya msafara wa George W. Bush kutoka KIA kwenda Arusha miaka ya 2000 mwanzoni). Miaka ya nyuma bila shaka walikuwa...
  10. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Ushelisheli (Seychelles) yakumbwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa covid-19 pamoja na kuchanja asilimia 60 ya raia wake

    63% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi mbili (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua kufunga, shule, kuweka lock downs na masharti mengine makali ya kujikinga na corona. Zaidi soma hapa...
  11. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Serikali inakosea sana inapohisi kwamba nchi ina upungufu wa walimu tu

    Habari wadau! Kiukweli serikali imekuwa ikiwapa sana kipaumbele walimu katika kuajiri pasipo kuangalia upungufu kwenye kada nyingine ambazo nazo zina umuhimu. Serikali ijitahidi kuajiri na kada nyingine kupunguza tatizo la ajira. Ngoja niende kwenye maada kuu kiukweli nchi haina upungufu tu...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tunaposema CHADEMA ni taa ya nchi hatutanii, hebu angalia video hii

    John John Mnyika alishaweka angalizo mapema sana kuhusu chanjo ya COVID-19, sasa angalieni kilichosemwa leo .
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliharibu sana hii nchi, Rais Samia atapata tabu kuongoza asipokuwa mkali

    Wakuu Habari Baada ya ziara ya Samia ya kwenda Kenya na kuondoa mtanziko wa kibiashara na kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili na malori ya Tanzania kuruhusiwa kupeleka bidhaa zetu huko nilisoma maoni ya baadhi ya Watanzania ndipo nikajua Magufuli aliharibu hii nchi kiasi gani. Kwanza kitendo...
  14. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Israel ikimaliza Palestine itavamia na nchi Jirani

    Kwema wakuu. Palestine wametepeta, wameshakubali yaishe. Miaka Saba ijayo nchi yote itakuwa imekaliwa na Simba wa yuda Kuwaonea huruma Palestine ni kupoteza muda, kwani watu wanaopigana nao ni watu wasiosikia la mtu, wao atakaye jichanganya ni kipigo tuu Baada ya Israel kuidhibiti kabisa...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Serikali yasema Mahakama inashikiliwa na inalenga kudhoofisha nchi

    Zimbabwe's justice minister has accused the judiciary of overreach and said it had been "captured" by "foreign forces" in order to destabilise the county. It came after the high court ruled that President Emmerson Mnangagwa's extension of the chief justice's term by five years was illegal. In...
  16. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno ya Lissu, basi chadema haina political figure yoyote nchi nzima

  17. T

    JamiiForums Tanzania Safari moja nje ya nchi imenigharimu zaidi ya laki nne(400,000) kwenye vipimo vya Corona tu

    Nilikuwa na safari moja nje ya nchi. Kabla ya kuanza safari, nilitakiwa kupima Corona hapa Tanzania ambayo ni dola 100 (231,000), nilivyofika kwenye ile nchi (West Africa). Sheria ya ile nchi ilinilazimu nifanye self isolation kwa siku 7, then nikaenda kupima ile rapid test (ilikuwa Bure)...
  18. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya kaa kimya uchunguzwe, acha kuchonganisha mamlaka za nchi. Utaingia matatizoni

    Wakuu amani iwe juu yenu, Hili naomba niliseme wazi na Sabaya mwenyewe najua yupo humu asome na asikie ujumbe impate. Kama hataki aache lakini matokeo atayapata muda sio mrefu. Hii ni tahadhari kwake kama ana masikio asikie, kama ana ubongo aelewe. Kuna kundi la vijana wa CCM ambalo hata mimi...
  19. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani yenye mipango miji mibovu zaidi ya Tanzania?

    Nilikua napita pita kwenye Google Earth nimegundua miji mingi Tanzania imekaa hovyo hovyo sana. Kuna nchi ziko jangwani kabisa lakini wamejenga kwa mpango mzuri. Hata DRC ambayo kuna migogoro kila mara bado kumepangwa vizuri. Tanzania badala ya kujenga miji mipya wanabomoa ya zamani na kujenga...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma alizonazo Ole Sabaya, anaweza akakimbia nchi, awekwe chini ya ulinzi

    Kuna tuhuma ambazo zinamkabili Sabaya, ni nyingi na za ukatili kubwa, uvujifu wa haki za watu Hai, mateso mauaji , utekaji etc etc uliokithiri. Katika hali ya kawaida, kwa level ya tuhuma hizo, za mauaji ya wazi, utekaji etc inatoa uhalali wa kumweka kizuizini asitoroke ili haki itendeke...
Back
Top Bottom