nchi

  1. JamiiForums Tanzania Mwonekano wa Mipaka ya Nchi Mbali mbali

    Hizi ni picha za mipaka ya nchi mbali mbali duniani....kama na wewe unayo unaweza itupia hapa (hizi mm nimezipata Quora)
  2. JamiiForums Tanzania Nchi yetu haiwezi kuendelea kama fedha NYINGI Sana zinawekezwa kwenye siasa kulipa MISHAHARA na posho kubwa kubwa!

    Nitaendelea kuuimba huu wimbo Hadi DOLA (the state) wausikie! Kama mishahara ya kufuru na maposho ya makubwa yataendelea kumwagwa kwenye siasa zetu tusahau MAENDELEO ya kweli KWA nchi yetu! Kama ma PhD holders na maprofesa wataacha kufanya tafiti zao na kukimbilia siasa Ili wapate MAPESA...
  3. JamiiForums Tanzania Toyota yaihama Urusi rasmi, kisa vikwazo vilivyowekewa nchi hiyo

    Kama ambavyo imekua desturi sasa, Toyota ni mojawapo wa makampuni ambayo yamehama Urusi rasmi, nchi inaendelea kutumbukia kwenye shimo kiuchumi, huku Putin akikusanya wanywa gongo wakapambane pale wanajeshi rasmi wameshindwa..... Amid Russia's ongoing war with Ukraine, Toyota announced it will...
  4. JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Watanzania hawana ustashi kuchangia maendeleo ya nchi yao

    Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) nchini Tanzania, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameonyesha sura mbili katika sakata la tozo za miamala ya kielektroniki. Amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeonyesha usikivu kwa umma baada ya kupungua na kufuta...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

    Salaam Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani? Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu. Kiprotocal hii...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa kike nao huandaliwa dogodogo pale wanaposafiri nchi nyingine?

    Kuna nchi huwa viongozi wa kiume wanaandaliwa binti mmoja wa kumpa kampani awapo ugenini. Sasa nauliza huu utaratibu upo pia kwa jinsia ya kike?
  7. JamiiForums Tanzania Tiketi za ndege zimekwisha, Warusi wanaitoroka nchi yao baada ya hotuba ya Putin

    Putin ametoa hotuba itakayoanza kulazimisha wanajeshi wa akiba.... Tiketi za ndege zimeisha, hamna ndege, watu wanaikimbia nchi, tatizo ni mataifa machache yanawapokea Warusi kwa sasa.... Russian President Vladimir Putin has announced the partial mobilization of his country's reservists...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini viwango vya kubadilisha fedha vya nchi za Afrika Mashariki viko juu sana?

    Wachambuzi wa masuala ya Uchumi wamesema viwango vya juu vya ada za kubadilisha fedha wakati wa malipo ya miamala ya kuvuka mipaka inaathiri sana biashara ya kikanda. Kutokuwepo kwa sarafu moja ya Jumuiya ya Nchi 7 za Afrika Mashariki na kushindwa kuoanisha mfumo wa malipo ni miongoni mwa mambo...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Qatar; Ina mafuta imenyimwa chakula

    Hii ndiyo Qatar; Ina mafuta imenyimwa chakula TUESDAY SEPTEMBER 20 2022 Naam, watu wamezidi kuongezeka nchini Qatar na wingi huo unatokana na michuano mikubwa ya Kombe la Dunia inayokwenda kufanyika nchini humo. By Mustafa Mtupa Doha, Qatar. Naam, watu wamezidi kuongezeka nchini Qatar...
  10. L

    JamiiForums Tanzania China yaziongoza nchi kubwa duniani kuratibu uhusiano na nchi za Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni uhusiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukifuatiliwa na nchi nyingi duniani. Ufuatiliaji huo umekuwa na malengo tofauti, kuna ule unaotokana na kuiga mtindo wa China wenye uratibu mzuri na maendeleo ya kunufaisha kati ya China na Afrika, na mwingine una...
  11. JamiiForums Tanzania Afadhali huu Msiba wa Malkia Elizabeth umemkuta Rais Samia. Dkt. Magufuli ninavyomjua asingeenda. mama kafungua nchi

    Nafarijika sana napomuona Rais wangu samia anajichanganya. Anafungua nchi sana aisee... Nimemwona kwenye mwendokasi la huko England akienda msibani kwa Malkia Elizabeth. Afadhali Malkia kafa kipindi hiki. Ingekuwa miaka miwili ago. Magufuli namjua asingeenda. Hivyo nchi isingefunguka...
  12. JamiiForums Tanzania Raia wa Armenia waingia barabarani wakiagiza nchi yao iondoke kwenye muungano na Urusi

    Mojawapo wa sababu wanasema juzi nchi yao imepokea mkongoto/kichapo ilhali Urusi haikufanya chochote kuwasaidia licha ya kuwa na base ya kijeshi pale. ========== Over a hundred people gathered in Armenia’s capital, Yerevan, on Sunday demanding their country leave the Collective Security Treaty...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marwa kutoka Kenya atumia miezi 3 kutembelea nchi 23 barani Ulaya

    Anatuletea habari za ndani kabisa jinsi bara la Ulaya lilivyo 2022 na viza ya Schengen Msafiri jasiri Marwa toka Kuria Kenya anatuonesha jinsi bara la ulaya lilivyo na mambo mengi ambayo ni shule kwa nchi za bara Afrika kuhusu umuhimu wa mifumo isiyotetereka na endelevu. Huwezi kuona tofauti...
  14. JamiiForums Tanzania Fahari ya nchi yetu, ni sehemu gani ulivutiwa au unakerwa nayo uliposafiri kwa Basi au gari binafsi

    Ndugu wanajf habari, binafsi ninaposafiri navutiwa Sana na baadhi ya maeneo japo mengine yanakera Ninayoyapenda  Unaposafiri barabara ya Kutoka Dar kwenda Moro Kuna kasehemu kana msitu unapotoka bwawani Kuna kamsitu kazuri na kanavutia barabara yake nzuri. Pia ukifika Moro zile safu za milima...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya pili kwa kuuza mafuta bei Rahisi

    Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta kunapelekea kushuka kwa gharama nyingine za maisha. Rais Samia Suluhu alisema lengo lake sio kuwadidimiza...
  16. JamiiForums Tanzania Putin alikua amekoswa koswa kuuawa mara sita, ndani ya nchi yake

    Jamaa anaishi maisha magumu sana kama kibaka, anaogopa hadi kivuli chake ndani ya nchi yake pamoja na utajiri wote ule. Anawindwa kuuawa kila siku tena ndani ya nchi yake supapawa ambapo ndiye rais. Najaribu kuwaza maisha wanayoishi wahudumu wake wakiwemo wapishi, lazima wananyimwa amani sana...
  17. JamiiForums Tanzania Hii nchi tushukuru mchina laasivo Panya Road wangekua mara 7 ya waliopo sasa hivi

    Kilichoandikwa hapa ni mawazo binafsi haina uhusiano na siasa wala haiwakilishi upande wowote/kundi la watu! Tanzania tunaelekea milioni 60 kwa makadilio (sensa itajibu ufasaha). Lakini katika miaka yote zaidi ya 50 na kenda ni kama serikali au nchi haikujipanga na ongezeko hili la watu. Mwaka...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna Wanyama wametajwa hapa sijui wanapatikana Nchi gani

    Mjombakaka, guruguru etc MAMBO YA WALAWI 11 Vyakula halali na haramu 1. BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, 2. Neneni na wana wa Israeli, mkiwaambia, Wanyama hawa ndio wanyama wenye uhai mtakaowala, katika hayawani wote walio juu ya nchi. 3. Kila mnyama mwenye kwato katika miguu...
  19. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya chakula(TMDA) ingieni kazini kukagua samaki na nyama nchi nzima, tena kwa uwazi, tamko ya Makamu wa Rais linatutia hofu

    Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi. Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
  20. JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga: Sioni umuhimu wa Nchi kufanya Sensa kila baada ya miaka 10

    Mwanasiasa, Charles Kitwanga amesema haoni umuhimu wa Serikali kufanya Sensa nyingine baada ya miaka 10 kwa kuwa kuna njia nyingine za kupata idadi ya watu tofauti na hiyo iliyotumika. Amesema kwa kuwa idadi ya watu imeshajulikana, Serikali itengeneze utaratibu wa kidigitali wa kuongeza watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…