nchi

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kibongo bongo hawa ndio mashujaa wa nchi yetu

    KIBONGO BONGO HAWA NDIO MASHUJAA WA NCHI YETU. Anaandika, Robert Heriel. Ifuatayo ni orodha ya mashujaa waliopo katika nchi yetu. Ukiwaona watu wa namna hii waheshimu Sana. 1. Vijana ambao hawajaajiriwa lakini wanajitegemea. Shout-out Kwa wanangu wote wa kitaa, na warembo wote ambao...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya tabia nchi yameleta athari gani sehemu unayoishi?

    Athari za mabadiliko ya tabia nchi zimekuwa kubwa mno ikiwemo Joto kali lisilostahimilika, Mafuriko yanayoharibu makazi na miundombinu, Ukame unaosababisha kupotea kwa rotuba ya ardhi na Kuzorota kwa sekta ya kilimo. Katika kupaza sauti juu ya suala hili ambalo linahitaji nguvu kubwa ya wadau...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Je, bangi si haramu? Tunaelekea wapi baada ya Morocco kuhalalisha?

    Hili limenishtua sana. Morocco ni nchi ya Kiislamu kwa asilimia 99.9 inawezaje ruhusu ulimwaji wa Bhangi kwa kusema ni zao la Biashara? Hapa mbona kama wanatuchanganya?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana hali mbaya kuelekea 2025, Wana-CCM wanatamani wapinzani wapewe nchi. Anaweza asipate hata 30% ya kura

    Tangu nianze kufuatilia siass za nchi hii, sijawahi ona kiongozi wa CCM alie madarakani akikataliwa, kupingwa na kuongezewa vivyo sivyo kama Mama yetu wa leo. Kwanini hali hii? 1. Mama kulinganishwa na Mwendazake Mama kulinganishwa na Mwendazake na hapa ndipo hata baadhi ya wana-CCM...
  5. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna kila dalili hii nchi tunarudi kwenye IPTL nyingine

    Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF. Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito. Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL. Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Bado hatujawashinda maadui wetu watatu, limeibuka tatizo jipya katika nchi yetu

    Inasikitisha kuona watu wanakufa kwa ajili ya Nyege na Uchi so sad hivi vijana wanakosea wapi? Adui ujinga Adui maradhi Adui umaskini Adui Nyege
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi yenye bei ndogo zaidi ya mafuta ukilinganisha na nchi za Afrika Mashariki

    Tanzania tunabahati sana kuwa na Rais anayejali wananchi kutokana na ruzuku ya mafuta Bilioni 100 inayotolewa na Rais Samia Suluhu kila mwezi imepelekea bei ya mafuta kuendelea kushuka kila leo. Kupelekea Tanzania kuwa nchi yenye bei ndogo zaidi ya mafuta Afrika Mashariki. Kuanzia leo mafuta...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Majini yanayoongoza kula pesa za wanawake nchi za dunia ya tatu

    Hawa ni majini, na kama tujuavyo majini kazi yao ni kuharibu na kupotosha. Hamna nyingine. 1. Waganga 2. Manabii wa uongo. 3. Saluni/Urembo na mavazi. Hawa ndiyo kwa kiasi kikubwa wanakula sana pesa za wanawake. Yaani nyumbani inawezekana kabisa ukawa huna pesa hata kidogo na mke anafanya kazi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania MASTORI YA OSCAR: Kwanini Ofisa Habari wa klabu amzidi hadi Rais wa nchi kuongea?

    MOJA kati ya shida kubwa za maofisa habari wa klabu zetu ni kuongea sana. Ni rahisi sana kumuona ofisa habari wa Simba anakwenda kwenye chombo cha habari kuzungumzia timu kwa saa tatu. Ni jambo la kawaida kabisa kumuona ofisa habari wa Yanga akienda kufanyiwa mahojiano juu ya klabu yake kwa saa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Takwimu zaonyesha Marekani ndio nchi inayoongoza kwa kuanzisha vita duniani

    Mwandishi huru wa habari za uchunguzi raia wa Marekani Benjamin Norton, hivi karibuni amenukuu nyaraka zilizotolewa na Bunge la Marekani akisema, kuanzia mwaka 1789 hadi mwaka 2022, Marekani imeanzisha vita 469 nje ya nchi. Katika miaka 240 tangu kuasisiwa kwa taifa la Marekani, ni miaka 16 tu...
  11. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ndiyo kusema Tanzania imejiunga kwenye Umoja wa Nchi za Kiarabu kimya kimya?

    Nauliza swali hili kutokana na mabadiliko ya lugha katika baadhi ya bidhaa ambazo hapo kabla hazikutumia lugha ya Kiarabu. Ningeweza kuweka baadhi ya picha za bidhaa hizo, lakini kwa sababu za kibiashara nimeona si vyema. Kama tayari tuko kwenye umoja huo, tuambiwe ili tujue. Kwasababu hata...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Prof. Kabudi; Prof. Mruma na Prof. Ossoro wanyang'anywe vyeti walivyopewa na Magufuli

    Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, wasomi hawa wawili walitunukiwa vyeti na aliekuwa Rais wa Nchi hii Marehemu Magufuli. Kama niko sahihi kwanini wasomi hawa wasinyang'anywe vyeti walivyopewa na Magufuli baada ya Kabudi kudai madai yale ya kodi ya zaidi ya trilioni 30( kwa mujibu wa kamati ya...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda ina Silaha za Kijeshi nyingi kuliko nchi zote Afrika Mashariki

    According to the publicly disclosed Military equipment, Uganda leads Kenya Hata hivyo, Uganda ina Budget ndogo zaidi kwa nchi tatu za Maziwa Makuu Kwenye upande wa viwango vya Rushwa
  14. mngony

    JamiiForums Tanzania Nchi ile iliacha kupata viongozi mwaka 2015. Waliofuatia...

    Habari Wakuu Binafsi naona nchi ile iliacha kupata viongozi kwa maana sifa za Uongozi mwaka 2015 Waliofatia wote,kila mtu anajionea. Wamekuwa wakali, hawana uvumilivu, hawana subira,hawataki kusikiliza maoni, hawataki kukosolewa, wapinzani cha moto wanakiona, visingizio na malalamiko mengi...
  15. Slowly

    JamiiForums Tanzania Jicho la Mwewe: Kufukuzwa kazi kwa Balozi Mulamula ni matokeo ya ziara za Rais nchi za nje

    Rais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya Nje alivyoyaandaa akiwa bega kwa bega na wenyeji wa nchi husika. Mapokezi mabovu na kuonekana kama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tusilifananishe hili la mabadiliko ya Mawaziri na kisa cha aliyekuwa Waziri katika Serikali ya nchi jirani. Zipo sababu za msingi

    Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na waandishi wa habari wa huko. Baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwa Rais yalimpa shida sana kujibu na...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye viwango bora vya maisha vya kidijitali

    Hizi ndizo nchi kumi za Kiafrika zilizo na kiwango cha juu zaidi cha ubora wa maisha ya kidijitali kwa mujibu wa Surf Shark, na ndizo nchi pekee za Kiafrika katika 100 bora duniani isipokuwa Uganda na Ivory Coast, ambazo ziliingia katika nafasi ya 98 na 100 mtawalia Afrika Kusini: Ikikadiriwa...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kodi za maskini nchi hii zinatumiwa na matajiri

    Nimekutana na andiko hili la ndugu yetu, nikaona si vibaya tukashea pamoja, maana naona kaandika vitu vingi vya msingi kwa mtazamo wangu, japo sikulazimishi kuamini kama ni kweli au la, msome ndugu Mushi.... 88888888888888 Na Thadei Ole Mushi Kama kuna jambo ambalo nitasimama kidete...
  19. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani tajiri barani Afrika lakini watu wake hawana akili?

    Ndugu wanajf Africa Ni bara kubwa lenye nchi takriban 56 na watu wenye asili tofautitofauti Sasa je naomba kujua ni nchi ipi iliyo na rasilimali nyingi lakini watu wake hawana akili ya kuzitumia??
  20. T

    JamiiForums Tanzania Je, Ujasusi wa Nchi za Magharibi waweza kuwa moja ya ujasusi wakutisha zaidi ktk Karne ya sasa?

    Igweeee wana Jamii. Naipongeza sana Jamii forum kuwa sehem ya kila mtu wasilisha mawazo na fikra yake pasipo vunja sheria za nchi na kimataifa. Mimi leo nimependa kuchambuwa ujasusi wa Nchi za Magharibi ambao kwa sasa ndio Habari ya mjini. Uwenda unajuwa ama ujuwi ila Kuna jambo lakutisha sana...
Back
Top Bottom