nchi

  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za mashariki ya kati hazikauki vita/migogoro?

    Sina chuki, nahitaji tu kufahamu, ni wanachonganishwa au ni nini? Kama miaka miwili hivi kidogo kulitulia ukiachana na Syria ambayo bado inamgogoro, Sasa siku kadhaa zilizopita naona Taliban wanataka kukuanzisha na Iran. Kuna ugumu gani hizi nchi za kiarabu/kiislamu kuishi kwa amani ? Je...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Video: Watu wa namna hii wanapatikana wapi katika hii Nchi?

    Inashangaza halafu inahuzunisha, inafikirisha, inasikitisha, inaumiza sana. Unaweza uliza hawa watu wa hivi wanapatikana wapi nchini.
  3. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tangu nchi imepata uhuru, Jenerali Abdallah Twalipo ndio CDF pekee kutokea upande ule, shida nini?

    Jenerali Abdallah Twalipo aliteuliwa kushika madaraka ya u- CDF february 13, 1974 mpaka Novemba 8, 1980. Chini ya uongozi wake alishuhudia na kushiriki vita ya Kagera bara baada ya uvamizi wa Nduli Idd Amin Dada. Jenerali Twalipo alipostaafu, kuna kambi moja Dar es Salaam inayotumika kuaga...
  4. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Moja ya maeneo hatari nchi hii ni uwanja wa Benjamin Mkapa

    Huu uwanja ni moja ya sehemu hatari sana kwa maisha ya watanzania. Wakati wa mazishi ya JPM inasemekana watu arobaini walifariki kwa kukanyagana. Hatujui majeruhi walikuwa wangapi. Jana wakati wa mechi ya yanga inadaiwa kafa mmoja na majeruhi thelathini. Bado hapo ambao hupigwa na askari karibu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Fasihi ya Mtandaoni ya China yaleta mageuzi makubwa na kupanua soko lake la wasomaji hadi nje ya nchi

    Fasihi ya Mtandaoni ya China imefanikiwa kukonga nyoyo za wasomaji duniani kote kutokana na mtindo wake wa kipekee wa kusimulia hadithi, mandhari na kuchanganya mambo tofauti ya kitamaduni. Inatoa mtazamo mpya na unaovutia juu ya fasihi ya China, inayozingatia mambo mbalimbali yanayoteka...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Nchi 20 kuhudhuria uapisho wa Rais wa Nigeria leo

    Baadhi ya Viongozi Wakuu waliowasili jijini Abuja ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, Paul Kagame (Rwanda), Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini), Abdelmadjid Tebboune (Algeria) na Denis Sassou Nguesso (Jamhuri ya Congo). Wengine ni Umaro Sissoco Embalo wa Guinea Bissau, Julius Maada...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni kizingiti kikuu kwa Hatma ya hili nchi

    Anasema mwanazuoni: Karibu Tanzania ambako wajinga ndiyo werevu na werevu ndiyo wajinga.
  8. Joshua Deus

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora ni Haki kwa Nchi Huru

    UTAWALA BORA NI HAKI KWA NCHI  HURU Utawala Bora ni mchakato wa kupima ni kwa jinsi gani taasisi za umma, zimeshughulika na Mambo ya umma kwa ufanisi na kutambua haki za binadamu na maadili ya kutotumia mamlaka vibaya kwa watumishi wa umma na kutojihusisha na vitendo vya rushwa na kuwepo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kilichototea bungeni. Je, kwa ubabe huu tunahitaji katiba mpya au Watanzania tuamke tudai nchi yetu?

    Habari jf, Hiki kiilichotokea bungeni sio mara ya kwanza kwa mambo kupitishwa kwa nguvu. Sasa kwa huu ubabe unaona kabisa katiba mpya inaweza isiwe suluhu ya hili tatizo . Bil 47 za posho zimepitishwa kwa nguvu ,watanzania tuko kimya hivi tunashida gani ? Hawa CCM watakuja mitaani ambako...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Strategic spinning na upanzi wa fikra katika jamii ni hatarishi kwa udumavu wa nchi

    Habarini nyote. Wasilisho la Wadiz a.k.a Baharia Kipimo cha jamii na nchi ni pamoja na akili za watu hasa katika nyanja ya kumbukumbu na kujadili mambo yenye tija kwa kirefu. Sambamba na hilo kinyume chake jamii na nchi dumavu hasa kifikra na dira za kimaendeleo hudekeza usahaulifu ama...
  11. The Best Of All Time

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sharia law haifai kuwekwa katika katiba ya nchi aina ya Secular state

    Sharia Law ni muunganiko wa sheria zinazomuongoza Mwislamu maisha yake yote. Sharia ya Kiislamu Ina hasara kubwa kwa atu wasio waumini wa Kiislamu hasahasa Wakristo na nitazioanisha hapa kama zifuatavyo. Inaminya uhuru wa kuabudu: Hakuna uhuru wa kuabudu Kwa watu wasiokuwa Waislamu katika nchi...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za kiafrika zilizoongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kwa mwaka 2022

    Ifuatayo ni orodha ya mataifa 10 ya kiafrika yaliyo ongoza kwa uzalishaji wa maliasili mbalimbali kama Madini, Mafuta Ghafi nk kwa mwaka uliopita 2022 kwa bahati mbaya Tanzania sio miongoni mwa mataifa hayo pamoja na kwamba tunaambiwa kwamba nchi yetu ni moja ya nchi tajiri sana Afrika kama sio...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Miongoni mwa Nchi Chache Duniani Zenye Amani na Wananchi wake Wanaishi kwa Raha

    TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI CHACHE DUNIANI ZENYE AMANI NA WANANCHI WAKE WANAISHI KWA RAHA “Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Afrika na duniani ambazo mpaka sasa hivi Ina amani na tunaishi kwa raha, iwe ni wafanyabiashara, wafanyakazi na Watanzania ambapo Moja ya sababu kubwa ni uwepo wa...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mwananchi communications kupitia gazeti la The Citizens wanavyoshindwa kusimamia maslahi ya nchi (national interests)

    Moja katika habari kubwa kwenye medani ya siasa za Kimataifa inayomhusisha Mtanzania ni habari ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson kuteuliwa kuwania Urais wa Umoja wa Mabunge ya Dunia (IPU) katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2023. Taarifa za...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2022/23

    Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2022/23 na makadirio ya mapato na matumizi
  16. Zaitun kessy

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kutumia teknolojia ya kisasa ni hatua muhimu katika kuleta usalama na kulinda rasilimali za Tanzania

    Usalama ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi yoyote, na Tanzania sio tofauti. Katika juhudi za kuboresha usalama na kulinda raia wake, serikali ya Tanzania inaweza kutumia vifaa vya usalama, teknolojia ya usalama barabarani, na polisi kwa njia yenye ufanisi. Kwanza, Kuanzishwa kwa...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Inajipanga Kuacha Kutumia Fedha za Kigeni Kuagiza Mafuta Nje ya Nchi

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - TANZANIA INAJIPANGA KUACHA KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI SERIKALI imekutana na wadau wa kuzalisha Mafuta ya kupikia kwa ajili ya kujadili changamoto zinazosababisha kushuka kwa bei ya Mafuta ya Alizeti nchini. Katika kikao kilichofanyika tarehe...
  18. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ni kichekesho sana, Alieongoza "VETA" ana mcheka "aliesup" University

    Walianza mashindano pamoja,moja kafeli kwenye hatua ya 1(32 Bora). Mwingine kajikongoja hadi 8 Bora,chaajabu alieishia 32 bora anamnyoshea kidole mwenzie kwanini umeishia njiani? Tukumbushane tu Uto hamjafanya vizuri malengo yenu ilikua kucheza makundi Ccl ,kitu ambacho mmeshindwa..Simba...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonesha kuwa mikopo toka China kwa nchi za Afrika ina gharama za chini kuliko ile ya nchi za Magharibi

    Watafiti katika taasisi ya Uchumi wa Dunia ya Kiel ya Ujerumani, wamefanya utafiti na kufikia hitimisho kuwa mikopo inayotolewa na China kwa nchi za Afrika ni ya gharama nafuu kuliko ile inayotolewa na nchi za magharibi, au inayotolewa na wakopeshaji wa kibiashara. Hitimisho hilo limefikiwa...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu ANC: Hali ya Uchumi ni mbaya, nchi inaweza kufeli

    Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC) cha #AfrikaKusini, Fikile Mbalula ambaye ametaja sababu kuwa ni kukatika kwa Umeme kunakotishia kuzorotesha Ukuaji wa Uchumi. Mbalula amsema "Kama baadhi masuala hayatopatiwa suluhu, tutakuwa Nchi...
Back
Top Bottom