nchi

  1. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ukuaji wa technolojia kama chachu ya maendeleo kwa nchi za kiafika

    Dunia inaenda kasi sana kwenye swala la maendeleo ya teknologia. tumekuwa tukishuhudia ongezeko kubwa sana la uanzilishaji na uendelezaji wa teknologia, pamoja na kuwa maendeleo haya yameshuhudiwa zaidi kwa nchi za dunia ya kwanza pia sisi bara la afrika hatujaachwa mbali maendeleo haya...
  2. Decree Holder

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mkataba wa bandari ni suala nyeti sana

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amesema mkataba wa kuwakabidhi bandari baina ya Tanzania na Dubai ni swala nyeti (very seriously) ndiyo maana limepelekwa bungeni. Akiongea club house amesema kitendo cha mkataba huo kupelekwa bungeni kinaashiria unyeti wake na athari ya mkataba...
  3. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Je, upi utaratibu mzuri wa kugoma nchi nzima?

    Shida, dhiki, taabu, majuto, huzuni, hasira, kudhulumiwa, kuuzwa, kutukanwa, kupuuzwa, kutothaminiwa, kudharauliwa, kutosikilizwa, kusalitiwai, kutishwa, kudanganywa, kudhihakiwa, kukejeliwa, kukebehiwa, n.k.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Nchi ya United Arab Emirates

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Australia inaitambua Nchi ya United Arab Emirates ambayo ndani yake yapo majimbo saba : Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain na Fujairah huku jimbo la saba la Ras Al Khaimah ilijiunga na Shirikisho la UAE mwaka 1972. Huku mji mkuu wa nchi ya UAE ikiwa...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania DP World wawepo Uingereza kwa wanaojitambua halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

    Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae? Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwa akili ya kawaida mtu hawezi kubinafsisha Bandari zote nchi nzima! Waziri alilishwa nini?

    Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba. Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini kodi ya magari mapya ni kubwa kuliko kodi ya magari ya miaka ya zamani? 2)

    Habari wana JF, Mimi naomba kuuliza: 1). Hivi ni kwanini kodi ya magari mapya ni kubwa kuliko kodi ya magari ya miaka ya zamani? 2). Inakuaje kodi ikawa kubwa kuliko bei ya kununua+kusafirisha hadi linafika bandarini Dar es Salaam?
  8. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ni kuwa JKT inazalisha mafisadi na watu wanaochukia nchi yao badala ya wazalendo

    Hii habari ya JKT Tanzania Nyerere aliiga China kwa Mao. Mao alivuruga kila kitu, watu wakatolewa mashuleni, kwamba haina maana na kupelekwa "JKT." Kigezo cha kuingia chuo kikuu kikawa si ufaulu shuleni bali bidii ya mtu na utii huko JKT. Watu walioenda kule JKT walikutana na mambo ya ajabu...
  9. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Pamoja na yote bado nakupongeza Rais Samia Suluhu, nchi bado ni tulivu.

    Kwa aina ya maraisi wengine waliopita na pale ambapo walitaka jambo lao litimie, mpaka sasa tungeshasikia habari za watu kupotezwa, kung'olewa kucha n.k Ila kwako naona ni tofauti, mpaka sasa, nchi ni shwari, kila mtu anasema anavyotaka, hakuna aliyepotezwa, hakuna aliyeng'olewa kucha. Hivi...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani hata na Nchi hii nayo tukafanya kama Bandari?

    Mi sioni tatizo kwa kweli kuwapa hao jamaa wa Dubai Bandari. Ni kama tumechelewa kidogo ilitakiwa kufanya hivi toka mwaka 2020. Nyie watu acheni nyie. Msidhani kuendesha nchi ni kitu rahisi... Acheni kabisa. Yaani naangalia namwona Rais anateseka kweli. Najiuliza hawezi kweli hata kuangalia...
  11. Shilingii

    JamiiForums Tanzania Tutakwama sana kwa elimu hii, naihurumia nchi yangu

    Ni Juzi TAMISEMI imetoa mkeka wa wanafunzi wanaojiunga kidato cha Tano!! Niajabu kama taifa hatushtushwi na idadi ndooogo ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya A level!! Taifa la watu milioni 61 na wengi ni vijana kuona wanafunzi takribani 188,000 tuu ndiyo waliochaguliwa kidato cha Tano na vyuo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania As long as tumeruhusu IRON BOYS to govern the state, ie kuwa watawala wa nchi, the worst has yet to come

    Haya aliyasema Plato kama picha inavyoonesha hapa chini. Iron ladies and Iron boys akina Nape and Chawa Co. Ltd ndio wanaongoza taifa lazima kuwa na majanga kama haya. Hata Magufuli alikuwa Iron Boy! johnthebaptist
  13. T

    JamiiForums Tanzania 2025 Kampeni zake itakuwa, Nipeni kura nikarudishe nchi mikononi mwenu, huku ni kusema ccm imeturudisha utumwani!

    Tulizoea kuona kila chama kikija na mikakati ya kuboresha maisha ya watanzania, ya kuwatoa mahali walipo na kuwasogeza pahala! Kwa sasa jambo kubwa kabisa ambalo litakuwa kuanza kuzungumziwa kwenye Kampeni za 2025, itakuwa ni hilo ndipo yafuate mengine, Hii ni sawa na kusema! Ccm imetuuza...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Nyerere na Magufuli wanatoa machozi baada ya azimio la bunge kuibinafsisha bandari za Tanzania kwa nchi ya Dubai

    Hayati Rais Magufuli alinunua mitambo miwili kwa ajili ya bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni World first class yenye thamani ya trillion 3.2 na imefungwa juzi tu wakati ameshafariki,ajabu katika maelezo ya mkataba uliopitishwa na bunge,wanasema Dp World wataleta mitambo na kuendeleza bandari...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wawili wenye nguvu wanavyouza Uhuru wa nchi kwa Kasi

    Upande mmoja kuna Rais, Upande wa pili kuna Spika. Hawa ni watu wenye nguvu nyingi sana katika nchi yetu. Kifupi wameshikilia mihimili mikuu miwili ya hatma ya nchi yetu. Mwanzo tulidhani kwa kuwa tumepata viongozi wanawake, watakuwa ni watu cool, wasio na ego , wenye huruma na kuweka masilahi...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?

    Wanabodi hii Makala ya Nipashe ya leo 11/06/2023 Makala ya leo ni wito kwa Watanzania wenzangu, tujifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani ambayo wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Hivyo hakuna ubaya wowote kwa mtu yoyote, taasisi yoyote, ama nchi yoyote kusaidiwa...
  17. Victoire

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi nani katuroga? Waziri wa michezo kutumia rasilimali za Serikali kukabidhi kombe garasa kwa mashabiki wa Man City Tanzania

    Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe. Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Urusi yakiri hali ya uchumi wa nchi hiyo kuwa mbaya

    Benki Kuu ya Russia imekiri hali ya uchumi wa nchi hiyo kuwa mbaya. === Russia's central bank sounded alarms on the economy Friday as the falling ruble and a record labor shortage add inflationary pressures. Policymakers kept the benchmark interest rate steady at 7.5%, where it has been since...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu haijapungukiwa akiba ya Dollar tu, mpaka wazee wenye hekima haina!

    Ni jambo la hatari kama nchi kukosa wazee washauri na wenye hekima! Kama jambo hili la kubinafisishwa Bandari zetu za Bara lilipita mikononi mwa wazee kwa ajili ya kushauri na wakaona vema kwamba inafaa kwa DP word kupewa mkataba usio na kikomo! Doh!! Kama Taifa, tunahasara kubwa kiasi cha...
  20. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Emergency call kwa wazarendo wa nchi yetu ambao hawajaridhia maazimio ya bunge la CCM.

    Pamoja na hawa watu kujimwambafy kwamba wamepitisha hili azimio ovu biggest majority wanaugulia maumivu .ombi langu kwa hawa wafuatao. 1. Naomba experts wa JF waandae petition kukataa haya maazimio ambayo in reality hayareflect maoni ya wananchi. 2. Ombi la pili naomba expert wa jf waandae...
Back
Top Bottom