nchi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nani anastahili kuwa Rais wa EAC endapo tutaungana na kuunda nchi moja?

    Asalaam Aleykum wapenzi wana jamvi. Leo wakati nafuatilia sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, nimesikia baadhi ya viongozi wa EAC wakisisitiza suala la umoja baina yetu. Nafikiria walimaanisha wanatamani kuiona EAC siku moja inaungana na kuwa nchi moja. Sasa swali langu ni nani...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni kati ya Nchi 25 za Afrika zilizopoteza takriban Tsh. Trilioni 22.6 kwa kuzima Mitandao

    RIPOTI: Nchi za Tanzania, Kenya, Sudan na Ethiopia zimetajwa katika Nchi 25 ambazo zilipoteza jumla ya Tsh. Trilioni 22.6 kutokana na kuzimwa kwa Mitandao ya Kijamii na Intaneti kulikodumu kwa zaidi ya Saa 79,238 mwaka 2023. NetBlocks imeripoti kuwa Kenya pekee ilipoteza takriban Tsh. Bilioni...
  3. Masiya

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kweli ni nchi!

    Leo kule uwamja wa amani ulipigwa kwanza mwimbo wa taifa wa Zanzibar ukafuatia ule wa Africa Mashariki. Katiba ya Zanzibar iko wazi, kwa nini huku Tanganyika tunajin'gata vidole?
  4. comte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hili pendekezo la kuruhusu wafungwa wapige kura linaonyesha dhamira ovu na nchi yetu

    Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi. Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa kura; kwa nini hatupendekezi pia wapewe haki ya kugombea ili wapigiwe kura?
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tunayopendekeza yafanyike Tanzania hayafanyiki halafu Nchi jirani Wanafanya kweli!

    Nilichogundua mambo mazuri ya maana kwa mustakabali wa maendeleo ya kweli ya nchi yetu yanayopendekezwa yafanyike nchini kwenye hili jukwaa Viongozi wetu hawayachukui zaidi a kuchukua mambo ya kisiasa kwa faida zao za kisiasa. Iliwahi pendekezwa humu suluhisho la tatizo la umeme. Viongozi wetu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kwenye mabadiliko ya tabia nchi kuzinufaisha nchi za Afrika kwenye pande mbalimbali

    Mwishoni mwa mwezi Desemba Balozi wa China nchini Botswana Bwana Wang Xue aliikabidhi Botswana kituo cha utabiri wa hali ya hewa kinachohamishika. Huu ni moja ya misaada inayotolewa na China kwa nchi za Afrika kwenye eneo la mabadiliko ya tabia nchi, msaada ambao kwa sasa unaonekana kuwa na...
  7. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

    Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa pato la ndani unaotazamiwa kutokea kwa nchi za Afrika Mwaka 2024, Tanzania yashika nafsi ya tatu

    On one side of the coin, the depreciation of African currencies against major currencies, particularly the US dollar, turned into a major headache affecting trade balances, inflation rates, and what people could buy with their money. Countries like Nigeria, Kenya, and Zambia saw their currencies...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania Mzee Machano: Nilikuwa nafungwa kila ikikaribia maadhimisho ya sikukuu ya Mapinduzi

    https://www.youtube.com/watch?v=GhjjJPkjhEQ Lambart Stanislaus mtangazaji wa Dar24 Media akiwa Mombasa Zanzibar alimuhoji Mzee Muchano Hamis Ally kuhusu Sakata la yeye kufungwa kila maadhimisho sikuu za Mapinduzi zinapokaribia. Lambart: Tuambie hasa wewe ni nani tangu enzi zile za Afro Shiraz...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nchi haizidi wasanii + wanamichezo 900 waliofanikiwa ndio maana tunawaasa vijana wasome wajaribu bahati ya ajira, wajiajiri au kufanya biashara.

    Vijana wengi wadogo wakiwaona celebrities kina Diamond, Mario, Mbwana Samata, Masoud Kipanya, Joti. n.k. wanashawishika kutaka kuanza maisha ua sanaa ama michezo bila kujua kundi hilo halizid watu 900 kwa ujumla wenye maendeleo kwa kutegemea kazi hizo, Unganisha wasanii na wanamichezo wote hapa...
  11. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa wa Nchi Hii akikwambia Usiku Mwema Inabidi Uchungulie Nje kuhakikisha

    Waongo waongo sana
  12. data

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana hii nchi saivi ikawa iko kwenye "auto pilot"?

    Yani Haina mwenyewe.. inajiendea tu. Alafu No one is in Control... Yani inawezekanaje... Haya mamvua yote yanayonyesha alafu bado tuambiwe shida ya umeme itaisha March...!? How is it possible, mafuta yameshuka, Nauli zilipanda na ziko palepale!?? Saivi tunasikia Mkurugenzi akiamua tu kubadili...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi nyingine Waziri anafanya hivi, au ni Tanzania tu?

    Hivi mtu kama Mwana FA ana ushawishi gani hata aifuate Timu ya Taifa kwa madai ya uongo ya kuongeza nguvu ? Hii nchi mbona kila mahali ni kutafuta fursa?
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ijumaa ya mwanzo wa mwaka wa uchaguzi, tuitumie kuiombea Nchi katika Haki na Kweli

    Asalaam Aleykhum , Ukweli ambao uko wazi ni huu , sisi Watanzania hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyomo , tunayoishi , hii ambayo wamezikwa wazazi wetu na ndugu zetu Nachukua nafasi hii katika hii ijumaa ya kwanza ya mwaka , kuwaomba watukufu Waislam kuiombea nchi hii katika haki na...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Katika makuzi yangu nilikua nikiaminishwa kuwa viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu

    Katika makuzi yangu nlikua nkiaminishwa kua viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu, Pindi nasoma advance bahati nzuri uchaguzi wa rais, wabunge pamoja na madiwani nlikua kidato cha sita pale shinyanga high school maarufu kama SHY BUSH , nlishiriki kupiga kura lakin majibu yaliyobandikwa ktk...
  16. Jackal

    JamiiForums Tanzania Israel katika mazungumzo na Kongo na nchi nyingine kuhusu mpango wa 'uhamiaji wa hiari' wa Gaza

    Makazi mapya ya "hiari" ya Wapalestina kutoka Gaza polepole yanakuwa sera rasmi ya serikali, huku afisa mkuu akisema kuwa Israel imefanya mazungumzo na nchi kadhaa kwa ajili ya kufyonzwa kwao. Zman Israel, gazeti la The Times of Israel ambalo ni dada wa Kiebrania, limegundua kuwa muungano wa...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi ambazo Watu wake hawana Furaha duniani, Tanzania ipo

    122. Togo 123. Jordan 124. Ethiopia 125. Liberia 126. India 127. Madagascar 128. Zambia 129. Tanzania 130. Comoros 131. Malawi 132. Botswana 133. DR Congo 134. Zimbabwe 135. Sierra Leone 136. Lebanon 137. Afghanistan
  18. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio watu 3 pekee wanaoendesha Tanzania wengine wote ni wafuata maelekezo!

    1.Rais wa Nchi, MHE. Samia Suluhu Hassan -Rais wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu -Yeye jukumu lake kubwa ni ku control hali ya Usalama na Siasa ndani na Nje ya Nchi 2.Dkt. Moses Mpogole Kusiluka-Katibu Mkuu Kiongozi -Yeye ni Katibu wa Rais na Mkuu wa Utumishi wa Umma-anaratibu shughuli zote za...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwa uongo huu wa Serikali ya CCM, natamani kuhama nchi

    Reli ya SGR kipande cha Dar - Morogoro imetangazwa kufunguliwa na kuanza kutumika tangu 2021 , lkn ahadi hiyo haitimii. Ni uwongo juu ya uwongo Hebu tazama ahadi hizi hapa chini, kisha unaiambie nchi hii inafafaa kwa mtu kuendelea kuishi kweli??
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Zambia ndiyo nchi salama zaidi Afrika?

    Hii nchi ya Zambia sijawahi kusikia kuna waasi, matukio ya kigaidi wala vurugu za kisiasa. Hata chama tawala kiliachia madaraka wapinzani kwa amani kabisa. Je hii ndiyo nchi salama zaidi Afrika?
Back
Top Bottom