mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Guinea yafikia Mwisho wa Kampeni za Marekebisho ya Katiba, huku Upinzani Wakikosekana

    Septemba 18, 2025 mji mkuu wa Guinea, Conakry, ulijaa shughuli za kampeni huku wananchi wakijiandaa kupiga kura ya marekebisho ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi Col. Mamadi Doumbouya kutafuta urais. Shughuli mbalimbali zikiwemo kusoma Quran, tamasha za reggae na sala...
  2. W

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Museveni asema hii ndiyo mara yake ya mwisho kugombea Urais, kisha atamuunga mkono Bobi Wine

    Uganda president Yoweri museveni says this is the last time he is vying for presidency in Uganda, urges Ugandans to come in large numbers and vote for him for the last time.
  3. JamiiForums Tanzania Tunaweza tengeneza dawa ya ebola na marburg ya kutibu symptoms hii fedheha inatakiwa ifike mwisho

    Maginjwa ya ebola, na marbug yamekuwa yakiitesa sana East afrika hasa DRC, kwa mbali Rwanda, Burundi na Uganda ila kituko tunasubiria huruma za nchi za magharibi watutengenezee dawa to be honest hiki ni kituko Yaani tatizo lipo nyumbani kwako unamsubiria mtu wa mbali ambaye hata haishi hapo...
  4. JamiiForums Tanzania Polepole: Wanatubagaza, wanatubananga, na mwisho wanatutindinganya

    Comprado... Hatutaki matajiri wapiga Dili, mtu mmoja anafanya kitu kinaitwa Transfer price faida anapata yeye in return kuwaumiza watanzania haswa wenye kipato Cha chini Kumbe yule bwana ndio alimshauri Mkapa mambo ya bima ya afya...dah..ndio mana bima ya afya ni kizungumkuti Jana Leo na...
  5. JamiiForums Tanzania Ndege zilizotengenezwa na Watanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho

    Kuna siku niliwahi kuandika mada humu kuhusu jinsi Tanzania ilivyo na magenius wengi, lakini hawavumi. Haya, kuna ndege za Skyleader zimetengenezwa na vijana 13 wa Kitanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho. Mind you, sio ku assemble bali ni kutengeneza ndege kabisa Ila haoa kuna kitu...
  6. JamiiForums Tanzania Haya nyie ambao Polepole ndio karata yenu ya mwisho vipi kuna matumaini?

    Wapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa. Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini. Wengine wako upinzani kwakuwa wamekosa ajira rasmi. Wanadhani kuwa kinyume na serikali kutawaondolea stress. Hizo press za...
  7. JamiiForums Tanzania Pastor Daniel Mgogo kapigilia msumari wa mwisho

    Kudadadeki....!!
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Tatu na ya mwisho; Naiomba Serikali imuachie Tundu Lissu Kabla ya Septemba 7

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani Katika Hekalu Jeusi Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo. Lilikuwa Ombi la heshima na...
  9. JamiiForums Tanzania Huenda H.Polepole akawa na shida kubwa zaidi ya hii kimaadili na kiakili, na huenda mwisho wake ukawa mgumu zaidi ya mwanzo wake katika historia

    Wewe Polepole hebu msikilize vizuri hapa Mgombea Urais wa CCM Dkt Samia Suluhu, Mtakumbuka nimeingia madarakani kukiwa na changamoto kubwa ya Uhuru wa habari nchini. Nimechukua hatua za makusudi kuhakikisha uhuru wa habari unaimarika kwa kuweka wazi utashi wa kisiasa na misingi ya kisheria...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ya mikopo 2025/2026 yasogezwa

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya mikopo imesogezwa mbele kutoka tarehe 31 Agosti hadi tarehe 14 Septemba, 2025. Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu...
  11. JamiiForums Tanzania Nimefikia kikomo cha mwisho cha uvumilivu huu ujinga sasa basi

    Kwa hali hii siwezi endelea kuwa mhanga wa mambo ya kijinga ambayo hayana mwisho. Imetosha.
  12. JamiiForums Tanzania Xiaomi inatarajia kuzindua flagship tatu mwisho wa mwaka huu 2025

    Kawaida kampuni ya Xiaomi huachia flagship mbili mwisho wa mwaka huko China lakini mwaka huu ni tofauti, wataachia flagship tatu Kutakuwa na Xiaomi 16, 16 Pro na 16 Pro Max, yani kama iPhone Xiaomi 16 na Xiaomi 16 Pro zitakuwa na vioo vyenye ukubwa sawa na Xiaomi 16 Pro Max itakuwa kubwa zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Mama Mwenye nyumba wangu anafungulia redio mpaka mwisho NIFANYEJE ahame?

    Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇 Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo...
  14. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mwisho itakua kwaajili ya Wachawi, Wazinzi na Wote Wanaofanya dhambi za machukizo mbele za Mungu

    Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu. 1. Wachawi Biblia inasema wazi, “Wala msijihusishe na wachawi.” (Walawi 19:31). Uchawi unaharibu kizazi kizima, unavunja...
  15. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Chama Chama Cha Mapinduzi hauna Afya

    Akizungumza kwa njia ya mtandao mbunge wa Zamani wa Kawe kupitia CCM Askofu Josephat Gwajima amesema mwisho wa CCM hauwezi kuwa na Afya.
  16. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu vijana kwenye siasa kazi na uaminifu ndiyo itakayokufanya ujulikane na Taifa na si kupiga majungu na upotoshaj mwisho huwa ni kudharauliwa

    Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole badala apumzishe mwili kwaajili ya KAZI kesho yake. Popote ulipo kijana onyesha upekee kiutendaji...
  17. JamiiForums Tanzania Watawala wabovu na maditekta utengenza vikundi vyao vya kujilinda mwisho wa siku wakiondolewa upingana na serikali na kuwa nchi isiyoweza kutulia.

    Siku hizi hapa JF sio sehemu ya kutoa elimu sana kujaza maneno mwisho wa siku uzi wako wakaufuta au kuweka Hidden watu wasiweze kupata taarifa maana unawagusa watawala ambao tukiwashtua watatumia mbinu kukwepa. Tuwe na DMZ sasa. Mfano wa nchi ambazo kama tutajifunza kwao ni Kipindi cha Uganda...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Hubiri la tatu na la mwisho: Twendeni mpaka Gilgali(Oktoba) ili tuuimarishe ufalme(Urais) huko mara ya pili

    Andiko kuu: 1 Samweli 11:14 1 Samweli 11:14 Kisha Samweli akawaambia watu, Haya! Na twendeni mpaka Gilgali, ili tuuimarishe ufalme huko mara ya pili. Usuli (Background) Sura ya 9 na ya 10 ya kitabu cha kwanza cha Samweli (1 Samweli), inatutambulisha juu ya kupatikana mfalme wa kwanza kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wewe unayehonga, mara ya mwisho kula kuku mzima aliyechomwa ilikuwa lini?

    Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini? Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada. Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
  20. JamiiForums Tanzania Kuota unadumbukia kwenye shimo lisilo na mwisho maana ake n nini ??

    Naombeni kujuA hv kuota unadondokea kwenye shimo refu maana ake ni nin ??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…