mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

    Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza. Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
  2. Mfilisti

    JamiiForums Tanzania Je, ni Kweli Tumefika Mwisho wa Mapambano ya Ufisadi na Utawala Mbovu?

    Ni jambo la kusikitisha kuona jinsi wagombea wa nafasi za juu katika siasa za leo wanavyonyamazishwa au kwa Maksudi kabida kutoonyesha msimamo dhahiri kuhusu mapambano dhidi ya ufisadi na utawala mbovu. Hoja hii muhimu inapuuzwa, hakuna Mgombea yoyote mwenye kuonyesha hatua atakazo fanya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni

    Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni. Nisaidieni mawazo wakuu
  4. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hakika mafanikio hayaji bila maandalizi, Tazama video hii kisha utajua kwanini kuna timu kila mwisho wa msimu huambulia kombe la ranking

    Mafanikio = Serious Commitment ✅ Kujituma kwa moyo ✅ Njaa na kiu + hasira ✅
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars Hemed Morocco iwe mwanzo na mwisho Kujaribisha Wachezaji kama PIPINO JR katika Mechi muhimu na za Maamuzi

    Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na huu Uzee wangu wote nikipasha kisawasawa kwa Wiki Mbili tu ukinipambanisha na huyu Mchezaji PIPINO JR aliyeniboa sana Juzi namchukulia namba na bado nazima viuri sana Dimba la Juu. Mpaka mnaona tunachambua Mpira na hadu kuwa Washindi wa Jukwaa la Michezo hapa...
  6. MIHULU

    JamiiForums Tanzania Hivi kuumizwa na mapenzi mwisho miaka mingapi?

    Wakuu ,,,hivi mwisho wa mtu KUUMIZWA na MAPENZI ni miaka MINGAPI?.. Mimi sasa naona nimezidisha over 30yrs na bado nasagishwa rumba napelekwa mpera mpera!....
  7. L

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya mwisho ku file taxes

    Leo ni tarehe 5 unatakiwa ku file taxes zako kabla ya Saa 6 usiku. And by the way Nina E-book yangu inaitwa "Kodi unazotakiwa kulipa kama Mfanyabiashara Tanzania" Ni FREE e-Book, nitumie meseji WhatsApp kupitia namba 0678131068 nikutumie
  8. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Penati ya mwisho kwenye maisha

    Huyu ni Cristian Ronaldo anakipaji ana ujuzi na uzoefu wa kupiga penalty. Ila linapokuja suala la kupiga penalty ya mwisho itakayo amua ushindi wa timu yake ya Taifa huonekana kujawa na hofu plus wasi wasi Huirudisha hali ya utulivu wa mwili na akili kabla hajaupiga mpira kwa kufanya hivi...
  9. Area 56

    JamiiForums Tanzania Leo ni mwisho wa mwezi, akaunti yako inasoma sh. ngapi?

    Wakubwa wa jukwaa kwema? Leo ni mwisho wa mwezi, naamini wafanyakazi wengi mshapokea salary. Vipi leo akaunti yako inasomaje?
  10. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Lissu kuwa mjanja husifungie kesi kupinga mashaidi wa siri, na wakitoa ushaidi usiwaoji(cross examination) waache waende tujue mwisho wao

    Nchi yangu imeharibika sana, Kinachoendelea Tanzania ni uchafu mtupu, kinachoniogopesha -viongozi Hawana Tena hofu ya Mungu, yaani mijamaa mikatiri sana. Lissu be smart, husifungue kesi kupinga kanuni za kulinda mashahidi, waache walete mashahidi wa Siri, wakimaliza kubwabwaja husiwaulize...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni nyakati za mwisho. Manabii wa uongo wanahubiri kuwa ikiwezekana Wakristo wasilimu ili mradi wapate mahala pa kusali.

    Waislamu huwaita Wakristo makafiri na kuwa Mungu wao sio wa ukweli hii ni kwa mujibu wa imani yao. Wakristo nao kwa mujibu wa imani yao wanaamini kuwa kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Yakobo. Sasa ina kuwaje manabii hawa kushauri watu kwenda kusali misikitini kisa tu wapate mahala pa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    Weka Aya usije na ubishi
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Uhaini wa mwisho nchini kufanyika ilikuwa jaribio la kumpindua mwalimu nyerere

    MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amevunja ukimya baada ya kusema kuwa anashangazwa na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Antipas Lissu. “Upinzani wa fikra sio uadui. Kuwepo kwa mitazamo tofauti si kosa, bali ni utajiri wa mawazo unaopaswa...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Pigo la mwisho kwenye mbuyu huwa na madhara zaidi kuliko mengine, unamaliza kazi!

    Unajua kinachoangusha mti uliokuwa unakatwa sio lile pigo la mwisho.. Japo hilo ndio huonekana kama ndio limemaliza kazi Nyuma yake kabla kuna mengi yalishapiga mengine on target na mengine off target.. Lakini kila moja lilileta madhara yake kwa namna yake! Kwa ukubwa wake na kwa udogo wake...
  15. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Kampeni Ya Kataa Ndoa Ilitabiriwa Zamani Itakuja Nyakati Za Mwisho

    Kama utabiri utatolewa alafu usitimie huo utabiri bila taarifa za uhakika kutoka kwa Mungu, utakuwa utabiri wa uongo. Kama kile kimeandikwa kwenye biblia kisiwe kama kilivyosemwa, tutakuwa hatuna haja kuendelea kujivunia neno la Mungu. Tunajivunia neno la Mungu(biblia) kwa sababu ilituambia...
  16. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Pengine huu ni uzi wa mwisho kuandikwa na mimi kukuhusu wewe kipenzi changu Marry

    Tangu tumekubaliana kuhusu ndoa sikuoni ukilifurahia hili jukwaa kama zamani, nadhani huu ni utii kwangu mume wako mtarajiwa na utii kwa ajili ya ndoa pia. Nilitegemea mwezi huu nikipokea rejesho ndiyo niibuke huko jijini daresalama lakini mipango sio matumizi mambo hayakwenda sawa. Niseme tu...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha mwisho kwa Awamu ya Sita

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim...
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo umfikie Raisi Samia sikiliza hadi mwisho Kuna watu walimwona Kabla.

    GT Sanaa ilikuwa zamani siyo sasa wanashindana kutingisha makalio tu hawana ubunivu wowote. Kwa wimbo huu nadhani Prof J alimwona Samia ndotoni anakuja yanayotendeka sasa ni yaleyale 100% kwenye wimbo huu. Kiufupi watawala kuanzia awamu ya tano hadi sasa wana dhambi nyingi sana japo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Imebaki miaka kama 553 Dunia ifike mwisho

    Nimewaza tu mpaka kufika mwaka 2578 dunia utakuwa imefika ukingoni, Kuna vitu naona vya ajabuajabu vinaendelea sasa hivi duniani mpaka unajiuliza mpaka kufika miaka hiyo hali sijui itakuwaje.
  20. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwita Mwikwabe Waitara, mwisho wa enzi

    Analia baada ya kukatwa jina na Kamati ya Siasa ya Wilaya. Hii ndiyo dalili kwamba hahitajiki tena baada ya kutumika kumsaliti Tundu Lissu mwaka 2017 Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
Back
Top Bottom