Miaka 12 ya mapenzi, visa na mikasa nikiwa na Renata
Sehemu ya kwanza
Wadau kwa kuwa ni mwisho wa mwaka na nimeanza likizo nikaona bora niweke bandiko langu hapa jukwaani kuhusu mahusiano yangu yaliyodumu kwa miaka 12 na mwanamke aliyeitwa Renata lakini hatukufikia kwenye ndoa.
Unajua...
Je, katika huu mwaka unaoelekea ukingoni 2025 ulijiwekea lengo na limetimia au limeshindwa kutimia kwa sababbu gani?
Je, umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?
Ukisoma historia za ukombozi hazikuwa za siku Moja Wala mwaka mmoja.
Sina haja kutoa mifano Iko wazi hata uhuru wa Tanganyika haukutafutwa siku Moja .
Jambo Moja watawala wanapaswa wajue huwezi kushindana na wananchi wako mwenyewe ukawashinda.
Leo Majeshi yote yamejikuta yanaandamana dhidi ya...
Habari maboss
Nyumba ya Zamani inauzwa msasani mwisho. Nyumba inatazama barabara ya mtaa.
Mtaa wa pili kutoka BAHARINI
Sqm 425
Document offer ya Kazi
BIlion 1
KWA hitaji la kuona eneo
Nipigie simu nikupeleke ukazungumze na wahusika wakuu.
0754693556
Asalamaa aleikuh
Bwana yesu asifiwe
Natumai wote ni wazima kuelekea siku ya ukomboz ambayo ni kesho
Ningependa kuwausia machache wala si mengi kama waraka wenu kwenye
Kesho ni siki kubwa ya kuanza maisha mapya ya hofu na kutawaliwa kama watumwa na mkolon au siki ya heshima tarehe 29 ndugu...
Wakuu, Formula One Grand Prix kwa mwaka 2025 ndio imefika tamati weekend hii, kwa jumla ya GP 24 kuanzia March pale Australian GP na ya mwisho hii Abu Dhabi GP, uwanja wa Yas Marina.
Hadi sasa msimamo wa michuano kwa upande wa kombe la madereva (Driver’s World Championship) unaongozwa na Lando...
Moderator naomba tunza huu uzi tupo na kazi ngumu mpaka sasa idarani za kusambaza madawa ya Who are You.
sasa kinacho nichekesha japo na cheka ila lazima kiwe kicheko.
Uwezi kutumia watu wakulindie matendo yako na kesho ukataka kuonesha ulikuwa sio wewe na mda sasa unaonesha watu wako...
Nimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto.
Tanzania sio kisiwa
Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi na uchina
Tanzania sio kisiwa utalii peke yake unatengeneza trion 10 kwa mwaka.
Tuna import karibu...
Watanzania wanaishi katika maigizo makubwa kuliko “Tausi,” “Siri za Familia,” “Jumba la Dhahabu,” na “Bongo Movie” zote zilizowahi kutengenezwa. Maigizo ambayo kila mtu anajifanya haoni, ilhali moshi wa jiko la taifa unafuka hadharani. Kila mtu anasema “Tatizo ni viongozi” kana kwamba viongozi...
Hawa jamaa mungu ana mpango nao kama kweli waliapa kuilinda katiba,rasilimali na watu wake kwa wivu mkubwa haya ndo majaribio matatu makubwa wanapewa sasa.
1. March 17 Mwaka 2021 Walishindwa kutetea katiba Visingizio kibao pamoja nakuonywa na wazalendo ona sasa yanayotokea
2. October 29 Mwaka...
Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni.
Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu ameacha na magari ametoa, inapelekea foleni moja kubwa sana.
Mfano, pale Kimara Mwisho pana foleni kali...
GT
Baada ya upepo.wa kisurisuri wa Udini sasa mashekh ubwabwa watatokomea ila kabla hawajafika mbali wasomeni hapa kwanza. Wanatakiwa waache ubinafsi na roho mbaya haisaidii.
Nimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana
Walianza na figisu za kawaida
Wakaja na siasa majitaka
Wakaanza kurubuni wapinzani
Wakaanza kubambikia kesi
Wakawa wanateka
Wakawa wanateka na kupoteza watu
Wakawa wanaua...
Sawa umeamua kuleta karata ya Udini hii ndo inaenda kukudumbukiza kabisa shimoni wewe na huyo anaekushauri aya mambo Watu sio wajinga kwamba utawagawa kwa msingi ya dini...
Dini za kuja ni uninga uliopitiliza na unaowafanya watu wawe wajinga na washindwe kujisimamia wakiamini vitabu vya dini na ujinga uliomo mdani yake.
Kwakuwa kizazi cha sasa kimeanza kusituka basi hiki kizazi ndiyo kitakuwa cha mwisho kuabudu ujinga huu wa dini za kuja na vitabu vyake.
Sikuwahi kumsikia Sheikh Yahya Hussein, mtabiri maarufu wa Afrika Mashariki akitoa utabiri huu. Na wala hakuna mtu amewahi kuketa voice note/ video clip kuhusu maneno hayo. Lakini maneno hayo yalikuwa yana trend kila uchaguzi ulipotokea kati ya 2015, 2020 na 2025.
Sasa baada ya Rais Samia...
Kwa sasa waTanganyika sio waoga wa kifo , sio waoga wa utekaji wenu wakijinga .Na kuanzia sasa hata polisi wakijaa kwenye mfumo wa uonevu tunaruka nao.
👇👇👇👇
Hapa Gen_z tunduma wakienda toe to toe na mercenaries wenye silaha za kisasa lakini madogo wanamawe, nabado mashoga walikimbia licha ya...
Huyu Mama hata kama mamlaka yatamtangaza kuwa Rais hatakuwa na Amani maishani mwake,na wenda binafsi yake itabidi ajiingize kwenye maisha ya vileo ili kujipa amani ya mda fupi
Kusababisha watu kufa kwa ajili yako kwa uzembe ni kosa kubwa sana, atajikuta maisha yake yote anaishi ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.