mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nyuma kidogo pesa za plea bargaining nyingine uki-trace uliambiwa kuna akaunti China

    Yupo live Ikulu Rais anasema ofisi ya DCI ilikuwa ya wanyang'anyi wakikusanya pesa wanaiba ukifatilia wanakwambia ziko China kwenye account haieleweki. Kumbe tulipigwa USSR -- Rais Samia amesema haya... "Hapa nyuma kidogo, Tume ya Taifa ya Mashtaka kulikuwa kuna ngoma kubwa kidogo inachezwa...
  2. JamiiForums Tanzania Machi 2023 mwisho wa kutumia akaunti ya mtu mwingine Netflix

    Netflix itaanza kuzuia watumiaji wasitumie password za watu kuanzia robo ya kwanza ya mwaka huu (Q1). Hivyo inamaanisha mwezi wa tatu ni mwisho wa kutumia password za watu ambao hampo katika household ya pamoja. ๐—Ÿ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ? Netflix imesema March itakuwa ni mwisho kuzuia ku-share...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Je, huu ndio mwisho wa ukuaji wa juu kwa uchumi wa China?

    Wakati sehemu kubwa ya dunia ilipopitia mdororo mkubwa wa uchumi mwaka 2008-2009, China, kupitia juhudi kubwa za matumizi ya serikali, iliweza kukabiliana na dhoruba na kuinua uchumi wa dunia. Huku ulimwengu ukitetereka "karibu hatari" kwa mdororo wa ulimwengu kwa nyuma ya vita vya Urusi huko...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mbali na kujipendekeza kwa kiwango cha juu kabisa, bado hatutakiwi! Tufanyeje?

    Makazi na mashamba tunatoa umilki kwake, ila kwake sisI hatutakiwi kugusa! Umeme unashusha bei mpaka kiwango cha maumivu kwa watoto wetu' lakini aah wapi! Tukasema hiyo isiwe noma! Basi tukafanya hivii, tukienda kukopa, tutagawana naye pasu ingawa nyumbani kwetu inawatoto wengi, hatukujali...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tarehe 27/01 kuwa mwisho wa korona ?

    Kwa taarifa zilizopo mpaka sasa inasemekana linalojiita shirika la afya Duniani(WHO) linatarajiwa kutangaza mwisho wa janga la korona huko Davos, uswizi siku ya January 27
  6. JamiiForums Tanzania Tuliwaonya hawakusikia walipendwa wakadeka wanaaibika mwisho wa ubaya ni aibu! poleni Chadema hii ndio maana ya kufariki kwa chadema

    walijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano uchwara mnaaibika wananchi wa mwanza wana hasira na nyie hawataki kuwasikia uwanja mweupe hakuna mtu...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mch. Kimaro wa KKKT niliziona Mbio zake nikajua mwisho hautokuwa mzuri

    Katika kumtumikia Mungu Kuna dhambi moja inawashusha nakuwapoteza watu wa Mungu wengi, dhambi hii imeandikwa hata ktk maandiko matakatifu. Neno la Mungu linasema kijapo kiburi na majivuno basi mwisho wake ni kuanguka. Kiburi na majivuno ndio kitanzi cha watu mashuhuri wengi. Unaweza kuniuliza...
  8. JamiiForums Tanzania Harmonize na Rayvanny, ni vita ya maneno mwanzo mwisho

    Wakati tuhuma za kumtorosha mke wa manara kule Dubai na Kisha kumtembezea rungu pale konde village zikiwa bado hazijapoa , Harmonize a.k a konde boy mnyama amejikuta kwenye vita nzito na boss wa next level music Ray-vanny , Harmonize kupitia instastory amewashauri wasanii waachane na nyimbo...
  9. JamiiForums Tanzania Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho ni chafu sana, Mbunge wetu hawezi kujua hilo ana mambo mengi

    Jana nilifuatilia mjadala ulioanzishwa na JF kuhusu maoni ya sisi Wananchi wa kawaida kwenda kwa viongozi wetu hasa Wabunge, kwanza niwapaongeze sana kwa hicho walichokifanya na ninawashauri wakiendeleza kwa kuwa kero zipo nyingi. Binafsi naamini wanasiasa ni watu wanaofuata upepo, kuna muda...
  10. JamiiForums Tanzania Tupia hapa vibweka na vituko vya manabii wa nyakati za mwisho

    Waumini wa Kanisa la Legio Maria: "Tunatoa meno 6 ya chini ili kumsaidia Mungu atutambue (identify) kwa urahisi"
  11. JamiiForums Tanzania Kuondolewa Mwenge na kuwekwa Tanzanite daraja la Salender (Tanzanite Bridge) ni ishara ya mwisho wa laana kwa Taifa letu

    MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU. Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi. Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini...
  12. JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka tuweke pochi mezani kila mwisho wa mwezi.

    Wakulungwa! Hii Ndio itakuwa Salam yangu rasmi. Wakulungwa!!!... Wakulu. Mimi Nina familia imebarikiwa niseme ukweli wa wazi. Na mabarikio yanatokana na kujituma na kutii wakubwa na wadogo. Kimsingi hata mtoto wangu wa miaka 2 namheshim na nikimkosea au ninapohisi amekosewa nikiwa around. Na...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Chadema mwisho wenu ulikuwa ni pale mlipoanza kuugeuza ushetani kuwa umalaika

    Sina. Shaka na uwezo wa kujenga hoja kwa bwana lissu kwangu ni mmoja wa wanasiasa bora wa chache wa dunia ninaowakubali na kuwaheshimu mbowe akiwa mmoja wapo. Wanachadema mlianza kupoteza ladha pale mlipoanza kuugeuza ushetani wa kipindi chote mlichokuwa mnaupinga lakini ghafra sana ule...
  14. JamiiForums Tanzania Nimeamua kuacha kutafuta dada poa

    Nawasalimu ndugu zangu Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar...
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Mashabiki wakitoa heshima za mwisho kwa 'Mfalme wa Soka' Pele

  16. JamiiForums Tanzania Kuna dini inawafanyia 'brain wash' washirika wake kila mwisho na mwanzo wa mwaka

    Twende kwenye mada direct. Kila wiki ya mwisho ya December kuna dini inawafanyia brain wash washirika wake. Hapo wanasahaualishwa waliyotabiriwa mwaka unaoisha ambayo ni hewa (hayajatimia) na kutabiriwa mambo mapya. Basi wanapigwa msasa mpaka wanafikia hatua kila muumini analiona ghorofa lake...
  17. JamiiForums Tanzania Mbezi mwisho siyo pa kuishi "Domo zege's"

    Heri ya Mwaka mpya wakuuu, Nimeishi maeneo mengi hapa Dsm ila nina mwezi wa saba sasa since nihamie mbezi mwisho, mimi ni wale domo zege, yaaani kutongoza Mitihani, mimi ndo wale tunapata mbususu kwa wadau (dada zetu hawa watoa huduma). Nimekuja kugundua hii sehemu ina uhaba wa mbususu...
  18. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Mwisho wa wiki, Mwisho wa mwaka 2022

    Kabla sijalala usiku huu nimeingiwa na tafakari nzito. Leo tayari ni 31st Dec 2022, siku ya mwisho wa mwaka 2022. Namshukuru Mungu kwa kunipa ingalau kuiona hii siku. Rafiki yangu, tena wa cheo cha juu, alifariki SIKU YA KRISMASI! Na tumempumzisha jana. Mimi nimempa nini Mungu? Ni rehema...
  19. JamiiForums Tanzania Huenda leo ndiyo ukawa mwisho wa Mjadala wa Feitoto kwani anarejea rasmi Yanga SC

    Mama kapigiwa sana Simu (siyo za Vitisho) na Watu anaowaheshimu na wenye Nyadhifa zao na wale waliowahi kuwa nazo nchini (wenye Mapenzi mema) na Yanga SC ili amsihi Mwanae abadili Maamuzi na hatimaye Nguvu ya Mama kwa Mtoto imefanya Kazi. Kuanzia leo Feitoto ataomba Radhi kwa Uongozi wa Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ