mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makinda: Matokeo ya SENSA yatatangazwa mwisho wa mwezi Oktoba 2022

    Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022, Spika mstaafu Anne Makinda amesema matokeo ya sensa hiyo iliyofanyika Agosti 23 yatatangazwa mwisho wa mwezi huu na matokeo yatabandikwa kwenye mbao za matangazo. Makinda ameyasema hayo leo Oktoba 12 na kusema hatua zote za uchakataji wa...
  2. 2019

    JamiiForums Tanzania Kupigwa na Kalynda sio mwisho wa utapeli Tanzania, bado tutapigwa sana

    Nasema haya najua kuna watu watapuuza ila baadae ndio wataelewa. Kwanza kabisa hawa matapeli wana mbinu kama za shetani...kivipi? Shetani ili akupate hawezi kuja mwenyewe sababu utamwogopa na hutamwaanini,lazma aje kupitia marafiki na watu wako wa karibu yani unaowaanini. Hivyo hivyo hizi...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Mchengerwa acha kutufokea wanamichezo wa Tanzania

    Leo ni mara ya pili GENTAMYCINE nakuona kila ukipewa nafasi ya kuhutubia katika hafla za kimichezo huwa unapenda mno kufoka na kutufokea wanamichezo wa Tanzania. Hiyo wizara wamepita watu (Mawaziri) wazuri kukuzidi na kufanikiwa kwa utendaji wao kiufanisi na hakuna hata siku moja waliwahi...
  4. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa leo ni siku ya mwisho, utafanyaje

    Hivi ukiambiwa leo ndosiku yako ya mwisho duniani, utaimaliza vipi? Utaiishi vipi hiyo siku yako? Utafanya nini? Utaacha nini?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Yanga ameondoshwa kwenye michuano kama baadhi ya mashabiki wanavyofikiria

    Nimeona baadhi ya mashabiki wa Yanga na wengine wa upande wa pili wakiwaponda Yanga kwamba tayari wametolewa kwenye mashindano na Al hilal. Mpira hauko hivyo waungwana, bado Yanga anayo nafasi ya kusonga mbele tena kubwa sana. Katika mechi ya Jumamosi sikuona kitu cha ziada ambacho Al hilal...
  6. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 unaelekea mwisho, Malengo yako yalikuwa yapi? Umetekeleza nini? Changamoto? Let's share experience!

    Habari wakuu. Binafsi mwaka huu niliwekea Malengo makuu matatu. 1. Kuhama nyumba ya kupanga na kuhamia kwangu (Nyumba ilikuwa hatua za mwisho yaani finishing) mungu amesaidia nimetekeleza. 2. Kuwa na eneo la ziada (plot) ambayo itakuwa kama asset ya baadaye. Nimetekeleza. 3.Kuwa na mtaji wa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ya Masanja nitakuwa wa mwisho kuamini Watanzania tuna akili timamu!

    Wote tunamfahamu Masanja vizuri alivyojilea na kujikuza. Ni mchekeshaji na ndiyo kazi iliyomtangaza. Lakini pia tunamfahamu kuwa ni mropokaji asiye na adabu mbele ya watu na ana matusi na mizaha isiyo na mipaka. Sasa mtu kama huyu anaanzisha kanisa la kumwabudu Mungu halafu watu wanamfuata na...
  8. Kamotee

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo. Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani (WHO): Mwisho wa Ugonjwa wa COVID-19 unakaribia

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka Nchi mbalimbali kuendelea kuchukua hatua za kupambana na Ugonjwa wa UVIKO19 kwa kuwa takwimu za maambukizi zimeshuka kwa kiwango cha chini kuliko wakati wote tangu Machi 2020. Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus licha ya kutotaja namba...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Hii aibu mwisho wake lini, wanajeshi wa Urusi watoroka kwa baiskeli

    Walioachwa nyuma wakati wenzao walitoroka kwa magari, wameishia kuiba baskeli na kutoroka nazo ili tu waokoe maisha yao...vijana wa Ukraine wanaendelea kutembeza kichapo.... Russian soldiers abandoned by their units in the eastern Kharkiv region of Ukraine fled in disguises on bicycles...
  11. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 HOTUBA KAMILI: Maneno ya mwisho ya Uhuru Kenyatta kabla ya kuachia Urais

    Hatimaye Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta amempongeza Rais Mteule William Ruto, baada ya mkutano wao Ikulu. Wawili hao walikutana alasiri ya Jumatatu, Septemba 12, saa chache tu kabla ya hafla ya kuapishwa kwa William Ruto iliyotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kasarani. “Kama alama kuu ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Leo mwisho

    LEO MWISHO “ Hivi Jacob lini utaelewa Kwamba maisha sio kitu cha mchezo, leo mimi nipo kesho na keshokutwa nitakufa , hivi utakuwa mgeni wa nani?” kama kawaida Martin alirudia wimbo ule ule kwa Jacob ambaye ndo mtoto wake wa kiume na wa pekee.Martin alijaaliwa kupata mtoto mmoja tu ambaye...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hamis Kigwangalla: Onyo la mwisho kwa mnaomtuma Kigogo

    Hiki ndicho alichoandika Mbunge Dr. Hamisi Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter: ONYO LA MWISHO KWA MNAOMTUMA KIGOGO: iko hivi; ninawajua, na nyie ni rafiki zangu, tuendelee kuheshimiana, ninawaambia najua mambo yenu mengi; msicheze na tope, mtachafua suti zenu sasa hivi! Mnanijua vizuri...
  14. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Eti tulipigania Uhuru, iweje Muomboleze kifo cha Mtawala wa mwisho?

    Hii imekaaje, utasikia nchi za Afrika eti zilipigania na kupata Uhuru, sasa kama ni kweli ina maana aliyekutawala alikuwa adui, sasa iweje kifo chake kiwe maombolezo kwenu? Afrika ni takataka na tunadanganywa sana, hakuna nchi yoyote ile iliyopigania Uhuru, wote walipewa huo tunaouita uhuru kwa...
  15. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane maneno uliyosikia, anadhani amekata simu kumbe unasikia

    Kuna yale maneno ya mwisho hutokea unayasikia kwa bahati mbaya. Mwenzio anajua amekata simu kumbe bado iko hewani. Au anakosa subira na kuyaongea kidole kikielekea kukata simu. Nilipigiwa simu na shangazi yangu. Tukaongea, then akaniambia hana hela ya sukari. Nikasema, nitakutumia shangazi...
  16. Kiranga

    JamiiForums Tanzania Buriani: Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeth wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia

    Malika Elizabeti wa Pili Elizabeth Regina Elizabeth Regina with Julius Kambarage Nyerere of Tanzania. Royal Tour of Tanzania, 1979. Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeti wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia leo Septemba 8 2022 huko Kasri la Balmoral, Uskochi, Uingereza. Malika...
  17. Maleven

    JamiiForums Tanzania Upi utakuwa mwisho wa vita ya Russia-Ukraine?

    Wajuzi wa mambo! Russia alitegemea jeshi la Ukraine lita surrender na kukubaliana na matakwa yao ikiwemo kutokujikurubisha na NATO na Ukraine kutumika kama njia ya kuishambulia Russia, lakini NATO naona wamelivaia njuga vilivyo kuanzia siraha nzito, taarifa za kiinterejensia pamoja na nguvu...
  18. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania Hii Combination baina ya Mzee Kinana na Shaka ni dhahiri huu ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani Tanzania

    👇👇 Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa. 👇👇 KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea...
  19. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dogo amepata chaguo la tatu Kidato cha 5. Je, mwisho kuripoti ni lini?

    Wakuu, Mtoto amechaguliwa third selection na TAMISEMI hao, ambayo nadhani imetoka mwezi huu Je, mwisho wa kuripoti shule aliyopangiwa ni lini? Muda umeisha au bado nimpeleke? Naomba kujua niandae hela ya private tu. umofia.
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uamuzi wa mwisho wa Majaji wa Mahakama Kuu utatoka hapa

    Baada ya Majaji wa Mahakama Kuu kumaliza kusikiliza mashauri ya Pingamizi la Matokeo ya Urais pamoja na Utetezi, Haya ndio maamuzi yanayoweza kutolewa Jumatatu Septemba 5, 2022. Iwapo Mahakama itaona dosari kubwa zilizoathiri kwa kiasi kikubwa matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi (IEBC)...
Back
Top Bottom