mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nabi kumtumia Baka kwenye mechi kutaipunguzia gharama Yanga mwisho wa msimu

    Ile dhana ya hakuna mchezaji mkubwa kwenye timu ya Yanga inainufaisha Yanga leo na hata kesho. Kumchezesha mchezaji huyohuyo kwenye mechi zote timu inapopata matokeo mazuri na timu kupata matoke mabaya kama mchezaji huyo asipopangwa kunaingarimu timu fedha nyingi kumbakisha kikosini mchezaji...
  2. JamiiForums Tanzania Earphone nzuri ya 5,000 mpaka 10,000 mwisho isizidi hapo

    Habari Earphone za buku mbili mbili na za buku jero zimenichosha sababu hazina maisha marefu wiki mbili tu zinaanza wenge sasa nataka niji upgrade nipeni jina la earphone nzuri ya 5,000 mpaka 10,000 inayo chana mawimbi ya music vizuri +strong base maana kifaa changu kina feature ya DTS sound...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kama siyo kukihujumu chama kimaridhiano, nitakuwa wa mwisho kuamini Lema na CHADEMA wana ajenda ya kuifuta Bodaboda

    Sikutaka kuchambua hili, sikutaka kuchambua kwasababu namheshimu sana Godbless lema! Nikiongozi mzuri na amekuwa na maono mengi mazuri! Pamoja na yote hayo! Namna Lema alivyoanzisha kampeni ya kupinga bodaboda na vikoba kakengehuka kidogo! Anayo nia njema kabisa kiufupi ingekuwa ni wimbo basi...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu Mbunge wa CHADEMA niliyemuingiza Bungeni mwisho akajiona Mjanja Fahamu 2025 sio mbali

    It was 2015 katika uchaguzi Mkuu by that time nilikuwa chuo nilirudi nyumbani kwetu mkoa wa kagera Jimbo X Niliweka Nia ya kugombea ubunge Sasa Katika ya safari Viongozi wa CHADEMA waliniomba nimwachie Jimbo ili Mimi nigombee 2020 na kweli nilimuachia. Mimi Kama master planner wa siasa...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Mungu ataumba tena binadamu wengine baada ya dunia kufikia mwisho?

    Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine baada ya kukifuta hiki kizazi cha tatu? Au baada ya dunia kufikia mwisho na sisi kukutana na doom ambayo Mungu ameipanga mambo ya binadamu ku-exist duniani yatapotea kabisa? ======================= Salamu kwa wanajukwaa, nawasalimu wote...
  6. JamiiForums Tanzania Wizkid aahirisha ziara ya More Love, Less Ego hadi mwisho wa mwaka

    Kupitia #Twitter na #Instagram, Wizkid ameandika "Kwa sababu ya hali zisizotarajiwa, More Love, Less Ego Tour imeahirishwa hadi mwishoni mwaka 2023, Tiketi zote zilizonunuliwa zitapewa kipaumbele katika tarehe mpya". #Wizkid alitarajiwa kuanza ziara hiyo Nchini Marekani Ijumaa Machi 3, 2023...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa onyo la mwisho kwa mawaziri

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa onyo la mwisho kwa wateule wake wasioelewana kwenye utekelezaji wa majukumu yao akisema ameachana na mtindo wa kuwapangua badala yake atawaengua. “Sipendi sana, nataka niwaambie, hii itakuwa mara ya mwisho kutumia sababu hii kupangua wizara...
  8. JamiiForums Tanzania Vituko vya Mwisho wa Mwezi

    Hatari sana. Asubuhi jamaa kaja na Uber kazini. Mwingine kaja na Bolt. Ila kuna tarehe zikifika hawa jamaa huomba hadi tsh 600 ya nauli. Mwisho wa mwezi english inapanda sana na bashasha ofisini ni kubwa. Husikii malalamiko kuwa mshahara ni mdogo au mwajiri anatunyonya. Gate man namsikia...
  9. JamiiForums Tanzania Huu ndio utabiri wangu kwa Simba na Yanga weekend hii ya mwisho wa mwezi February, 2023

    Team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii. Naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1. Lile kiza lililotanda kwa takribani mwezi mzima limetoweka naa kuanzia sasa makali ya mnyama huyu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Mwisho nimeamua kuwa support CHADEMA, Watanzania wenzangu 2025 ni Mwaka wa kujisahihisha "say NO to CCM"

    Habari jf ,kwanza niweke Wazi Mimi ni mfuasi wa lile kundi linalosemwa vibaya la Hayati JPM na msimamo wangu utabaki pale pale ndiye best president to rule this country . CHADEMA kiuhalisia ukiwatoa Wilbroad slaa na Tundu Lissu hakuna kiongozi aliyewahi kuwa serious na kuchukua Nchi ,ni huwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nimemzingua konda wa gari akaniita bachela. Muonekano wa bachela unatofautiana vipi na mwenye ndoa?

    Leo asubuhi nikapanda zile gari hapa daressalam al maarufu zinaitwa daladala konda akawa anamsumbua abiria wa kike hataki kumrudishia chenji yake ikabidi niingilie ule ugomvi kwa kumpiga konda mkwara mzito mwisho wa siku akaanza kulalamika kuwa yeye ana familia na mimi sina familia. Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania MOI: Mwanaume aliyegongwa na Basi la Mwendokasi yuko ICU

    Taasisi ya tiba ya mifupa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MOI) imesema Mwanaume aliyeonekana akigongwa na Basi la abiria “mwendokasi” Jijini Dar es salaam jana, amelazwa Hospitalini hapo kwenye chumba cha Uangalizi Maalum (ICU). Meneja wa Kitengo cha Uhusiano cha MOI Patrick Mvungi...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga atapita hatua ya makundi, Simba atashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lake

    Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda. Day 5: simba anamfata raja mwenyeji atashinda na vipers anamfata horoya game itaisha sare. Day 6...
  14. JamiiForums Tanzania Mgawanyiko wa Barabara ya Mbezi mwisho ni moja ya alama kuu za TANROADS

    Rip kwa Mzee wetu Magufuli na engineer Mfugale leo nichukue fursa hii kuwapongeza watu hawa pamoja na TANROADS kwa kazi bora ya pale barabara ya Mbezi mwisho. Nilikuwa napita pale kwa Mishe zangu tu tena maramoja moja sana, nikaja kuona uzi wa mtu huku akitabiri kuwa uwepo wa stand ile...
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna marefu yasiyo na mwisho, ila nitawakumbuka daima

    Mwalimu wangu aliwahi kuniambia hata mvua inyeshe vipi, lazima ipo siku itakatika tu. Nami leo nasema hakuna marefu yasiyo na ncha. Mimi Intelligent businessman kwa muda mfupi niliokuwa humu ndani, nimekuwa pamoja na baadhi ya ndugu,marafiki, washkaji na hata maadui humu jf. Ila kiufupi...
  16. JamiiForums Tanzania Nisipowaambia ukweli nitahukumiwa siku ya mwisho. Haya ni machukizo kwa Mungu

    Yesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni. Mambo yafuatayo ni machukizo mbele za Mungu Bikira Maria kws sababu hakuna maandiko yanayosapoti ibada ya kupitia Maria ili kumfikia Yesu au Mungu Ibada ya Sanamu. Yapo makanisa yamesimika...
  17. JamiiForums Tanzania Taja album unayoweza kuisikiliza mwanzo mwisho bila kurika wimbo wowote

    Kwa upande wangu... 1. Good Kid Maad City - Kendrick Lamar 2. The Verteller - Dizasta Vina 3. Damn - Kendrick Lamar 4. Doo-Whoop & Hooligans - Bruno Mars 5. Bad - Michael Jackson
  18. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Kariakoo huu hapa: Serikali yapitisha gulio la Wachina Kurasini

    Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka. Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Dunia ndio mwisho wa Jua litakapofikia tamati. Je, kuna mtu anaweza fika miaka bilioni 5,000,000,000 nusu umri wa Jua uliobakia?

    Sayansi na dini zinapishana kidogo kwenye maono na mitazamo. Siwezi kukataa dini zinavosema wala sayansi inavosema,vitu ambavyo vinaweza kunipa ukweli ni huu msemo kuwa "chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho". Tuje kisayansi maana hapa ndio upande wangu: Fahamu katika nyota unazoziona angani...
  20. JamiiForums Tanzania Nilitangaza ndoa ila mwisho wa siku akazalishwa na mume wa mtu. Anaomba turudiane wakati nina mke sasa

    Karma is bitch. Mapenzi ni upofu ila mwisho wa siku unaweza kuona bila kutarajia, wakati unataka muwe familia mmoja yeye anaweza mengine. Nilimpenda sana huyu binti mpaka maisha yangu yamepunguzwa kwake baada ya akiba yangu kumpa ili tu tuwe wote. Mwanaume nikaona mke ndio huyu nika jitosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…