Ile service charge iliyoondololewa kipindi kile na watu tukashangalia nadhani ndo hii imerudi tena in style.
Mana kila mwezi watakua wanakata kwahiyo lazima uwawekee bajeti yao kila mwanzo wa mwezi kwahiyo binafsi naona ni kama ile service charge imerudi ila kwa style tofauti.
Shirika Umeme nchini (TANESCO) limesema Wanachi hawataweza kununua umeme wa chini ya Tsh. 2,000 kwa mwezi huu
Limesema ni ili Wananchi waweze kulipa kodi ya majengo ya mwezi Julai (Tsh. 1,000) na Agosti (Tsh. 1,000)
Shirika hilo limefafanua kuwa Tarehe 20 Agosti ni kuanza kwa makato lakni kodi...
Mkulima wa miwa kilombero anapitia changamoto nyingi hadi afikie hatua ya kuua miwa,mfano mkulima ununua mbolea Bilal ruzuku,sumu za wadudu ambao wamekuwa tatizo kubwa kwenye zao ili kwa sasa nk.
Kwa masikitiko makubwa sana kampuni ya Sukari Kilombero imempunja mkulima kwa kununua tani moja ya...
Kumekuwa na ukandamizaji, unyanyasaji na upigaji mkubwa sana wa pesa katika kata za mchombe na Mngeta kupitia mradi wa maji Lukicha! Pesa ya mfadhili pamoja na 10m alotoa Mh. Lwakate -marehemu imetumika kujenga katangi kadogo hata 5m hazifiki!
Mbali ya upigaji huu mkubwa wa ujenzi wa tangi la...
Kama uzi huu Safari za Treni ya Mwendokasi kuanza Agosti mwaka huu, 2021 unavyojionyesha, Waziri Mkuu alisema mwezi huu wa nane SGR kipande cha Dar-Moro kitaanza kazi. Je ni tarehe ngapi treni hiyo itaanza kazi? Badala ya serikali kujifichia kwenye kesi za kubambikiziana, watuonyeshe...
Tumeletewa Mkandarasi wa kuzoa takataka na uongozi wa Serikali ya Eneo letu, takataka zinachukuliwa baada ya wiki mbili. Naomba watu wanaohisika na Afya na Mazingira waingilie swala Hili na kuzuia huu wizi na kuepuka kurundika takataka kwa mda mrefu kama huko!
Watu wakishatoa rushwa na kupokea...
Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara ya waajiriwa wengi kutokutana yaani mishahara kuwahi kuisha kabla ya muda wa kupokea mshahara mwingine. Hii hupelekea walio wengi kuamua kuzidharau kazi za kuajiriwa na kudai mishahara iongezwe bila kufikiria kuwa hata wenye mishahara mikubwa zaidi...
Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara ya waajiriwa wengi kutokutana yaani mishahara kuwahi kuisha kabla ya muda wa kupokea mshahara mwingine. Hii hupelekea walio wengi kuamua kuzidharau kazi za kuajiriwa na kudai mishahara iongezwe bila kufikiria kuwa hata wenye mishahara mikubwa zaidi...
Nimefanikiwa kuwadodosa baaadhi ya wazee wenye nyadhfa serikalini kuhusu mkanganyiko wa mambo unaoendelea nimeshtushwa kwamba hata wao wanayojadili na kuyaamini si haya yanayotekea kwenye utendaji.
Nafasi ya wanasiasa Ni kubwa Sasa kwa Sasa hasa baada ya kutoa wataalam na wabobezi wengi kwenye...
POWER TILLER GT SHAKTI 880 hp 13 Diesel
Usithubutu kununua haka ka Power Tiller nimekanunua majuzi tu sh 2,200,000 HP 13 Diesel tayari kamevunja diff, na spare hawana
Naombeni msaada wa kupata hiyo Tube Housing ya Differential
Ndugu zangu na washikaji zangu ambao upepo wa kupanda daraja ulituacha mwezi uliopita japo tulistahili, tusipopanda mwezi huu tufanyaje? Tulioanza nao kazi na tuliowapita sasa wana mishahara mikubwa zaidi yetu japo elimu ni moja.
Inafahamika kwamba kila siku duniani kote wafanyabiashara wanapanga mbinu za kila aina kuweza kukwepa kodi,ndio maana watu kama Ronaldo na Messi wamewahi kukamatwa na kushtakiwa kwa kukwepa kodi,
Kama tumeamua kuwabembeleza wafanyabiashara, basi kuna mambo mawili ya kufanya mdaiwa asipolipa...
Huyu dem napishana nae kila mara hapa mtaani kwetu na kwa kuwa mimi si mtu wa story sana na washikaji hapa kitaa yaani nikitoka nimetoka nikiingia nimeingia hivyo sijazoeleka sana na watu wengi.
Sasa huyu dem kila nikirudi hua namkuta kibarazani kwao (sijui kakariri muda wangu wa kurudi home)...
Huu mradi wa maji ya kuleta umeme wa nyerere tumekuwa tukidanganywa kila siku kuwa utakamilika June 2022, kitu ambacho c Cha kweli hata kidogo, pia tukidanganywa Mwezi wa 11 maji yataanza kujazwa kwenye bwawa huu ni uongo mkubwa, kwanini nasema hivo
1. Njia za kupeleka maji kwenye mashine...
Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea.
Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.