Mahafali ya Mzumbe
Awali, mahafali yalipangwa kufanyika mwezi Desemba, jambo ambalo lingetupatia muda wa kutosha kukamilisha tafiti zetu na kuwa na uhakika wa kuhitimu mwaka huu. Hata hivyo, tangazo la ghafla la tarehe 10 kuhusu kuhamishiwa kwa mahafali mwezi Oktoba kutokana na El Niño...
Mwanzilishi wa kanisa la Mamlaka Hill Chapel, Askofu Charles Muhia Ng’ang’a, amefungua kesi katika Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi jijini Nairobi akitaka kurejeshwa kwenye nafasi yake baada ya kufutwa kazi, huku akidai fidia ya zaidi ya KSh21 milioni.
Ng’ang’a, ambaye alikuwa akipokea...
Dar es salaam mtaa wa Mburahati Barafu kwa Shebe DAWASCO maji hayatoki tangu mwezi 10, 2025 hadi sasa hata ukiwapigia Magomeni majibu hawana wala sababu hawana.
Ni maeneo ya Mburahati Barafu kwa Shebe karibu na Magomeni; tusaidieni. Hadi tushasahau kama kuna maji ya bomba yanayotolewa na...
Hapa sio odds 2 tu ukitulia unatengeneza hata odds 50 mpaka 100 kikubwa focus upande wa magoal. Hasahasa hawa wajerumani wa Dfb na Bundes rahisi kuokota huko
Conference unaweza hata kucheza direct na ukaokota odds za kutosha.
Weka 10,000 mpaka 50,000, tustaafu game nyingi sana huu mwezi...
Kutokana na matukio ya visa vya mauaji kushamiri mwezi huu wa OCTOBER naomba muswada wa dharura upelekwe bungeni kuliokoa taifa na mauaji ya walimbwende.Mwezi october nchi nzima watu wote waachane na shughuli za mapenzi kwa siku 30 mpaka november 1.
Hii itasaidia kupunguza mikwamo ya kihisia na...
Angalau tusherekee kama taifa kutimiza mwezi mmoja bila kuskia taarifa za kutekwa kwa raia wa kitanzania.....
Hongereni sana vyombo vya ulinzi na usalama kuimarisha ulinzi...
WanaJF Habari
Naomba msaada wa kuunganishwa na kozi fupi ya mapishi, Maana nimegundua Furaha yangu Kubwa ipo kwenye Chakula kizuri
Muda Wangu ni mchache Kwa hiyo Zile za veta miezi Sita Sito ziweza
NB
Kama Ipo basi Naomba Taarifa Kama Haipo basi ambao Wapo Tayari waje PM Tuungane Tuweke...
Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi. Mara nyingi, mteja hushawishiwa kufungua akaunti bila kuelezwa kwa uwazi gharama zote, kisha hujikuta akikata pesa bila taarifa ya kutosha.
Nilifungua akaunti CRDB miaka kadhaa iliyopita...
Anonymous (9651)
Thread
account
benki
bila
bila kujua
elimu
kujua
makato
mwezi
pesa
sahihi
stahiki
taarifa
taarifa sahihi
wateja
Tumsifu yesu kristu.
Tupo ndani ya octoba (mwezi wa kumi), ni mwezi ambao kanisa katoliki liliuchagua kuwa mwezi maalumu wa rozari takatifu kwa ajili ya kumuenzi mama bikira aliye mama wa mkombozi na mwombezi wetu.
Ingawa rozari husaliwa na wakristo kila siku ila kanisa liliona ni vyema...
Anaandika Nickson Simon John (Nikki Wa Pili) - Aliyekuwa DC wa Kibaha ambae wiki hii amehamishiwa Songwe
Chacha, Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 Kibaha, na atakuwa mzalishaji wa kwanza kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi ubora BS 500.
lakini pia atazalisha square pipe na...
Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli.
Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
Leo tujadili ya rohoni kidogo!
Katika safari ya maisha ya mwanadamu, jua la kiroho na mwezi wa kiroho ni alama kuu zinazowakilisha nguvu mbili zilizopo ndani ya kila nafsi.
Wakati Jua linasimama kama chimbuko la mwanga, utashi wa kimungu, na nishati ya utendaji, mwezi unawakilisha ulimwengu...
Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo imekuwa ikitoza ada ya usafi kwa kila kaya, ofisi na wafanyabiashara. Wananchi wamekuwa wakilipa fedha hizo kwa matarajio kwamba zitatumika kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kusafisha mifereji ya maji na maeneo mengine...
Anonymous
Thread
barabara
hela
hifadhi
kila mwezi
kufanya
kulazimishwa
mwezi
usafi
wakati
wananchi
Nimeona taarifa kuwa serkali imebadili ratiba za mitihani kwa wanafunzi wote waliotakiwa kufanya mitihani ya kitaifa na ratiba kurudishwa nyuma. El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa
Kuna shule ambazo za watu binafsi ili mtoto apate nafasi ya kusoma kwenye shule hizo ni lazima aende pre...
Hapo zamani softwares nyingi zilikuwa za kulipia moja kwa moja, sikuhizi ni monthly / Annual.
Na ukiangalia makampuni mengi sikuhizi ya Tech, Ma Ceo ni wahindi
Mwanzoni mwa mwezi kuna project nikaifanya ikanikomba akiba yote na haikuwa vile nimetarajia
Sijakaa vizuri nimepata loss iliosababishwa na mpinzani wangu hii imenikwangua kiasi cha laki5
Haitoshi pia jana nimeibiwa simu na vikorokoro vingine vya kazi hapa ninapoandika nimeingia dukani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.