Kwa kumbukumbu zangu, kuna uzi uliletwa hapa JF katika hili Jukwaa la Siasa ukituhabarisha kuwa mwezi huu wa kumi serikali italipa madai ya watumishi wa umma.
Sasa kwakuwa tarehe za mishahara ndio hizi, watumishi tunaomba mtujuze kama kweli mmelipwa kama tulivyoambiwa maana siku hizi siasa...
Kuna mtanashati ameonesha nia kutaka kunioa. Nami nikaona niwe muwazi kwake mapema isije ikazua balaa siku za usoni.
Nimefunguka kinaga ubaga kuwa mwanamke mazingira, mwanamke matunzo. Nikaenda mbali zaidi kwa kumpa usemi usemao "ukiona mbwa anakonda lawama zinaenda kwa mwenye mbwa". Na mm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.