Ni kile kipindi cha mwaka ambacho watu hupotea jijini, nafanya kautafiti kadogo kujua mkoa gani watu wake hurudi kwa wingi kushinda mkoa mwingine.
Karibuni
Salaam sana wakuu,
Tunamshukuru Muumba wa mbingu na nchi kwa kutufikisha disemba hii 2021 ambapo tunapata nafasi mtawalia ya kutafakari kwa kina malengo tuliyojiwekea kwa mwaka 2021 huku tukijipanga kwa ajili ya mwaka mpya 2022. Binafsi nina lengo la kufanya savings ifike milioni 20 ifikapo...
Wakuu
Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa, ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja.
Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba.
Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu.
Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
Imekuwa ni wimbi wa kila mwaka ifikapo January watu kupiga kelele ukata. Ni wazi kuwa mwezi january uchumi huwa unadorora. Si vizuri kulialia kila mwaka.
Serikali/mabenki wangekuja na mkakati wa kutoa mkopo special kwa mwezi january. Kama mtu mshahara wake takehome ni laki sita basi akapeshwe...
Tangu Ijumaa mpaka leo mtandao haufanyi kazi upande wa mobile money unaandika hakuna huduma kwa sasa jaribu baadae.
Nani ana experience tatizo kama hili?
Kwa wale watumishi wa umma ambao taasisi zao huwalipa posho kila mwezi(mfano JWTZ, Polisi, n.k), wakati umefika waruhusiwe kukopa kupitia posho hizo kwa kukatwa sehemu ya posho zao kulipa mikopo watayochukua.
Tofauti na mikopo kupitia mishahara ambayo huwa ni ya muda mrefu (miaka 7 mpaka 8)...
Ndugu wana JF,
Nimekuwa naomba kupewa muongozo kuhusiana na hayo malipo ya NSSF. Kwa ufupi baada ya kufatilia kwa muda wa miezi mitatu nilifanikiwa kupewa instalment ile ya kwanza (33.3%) ya basic salary, tarehe 7 mwezi wa kumi.
Kinachonitia shaka sioni update yoyote ya invoice ya pili, kwa huu...
Kwema Wakuu!
Leo sina mengi ya kusema,
Mada tajwa hapo yahusika.
Akili ni jua
Elimu ni mwezi.
Jua Kwa 90% ni kitovu cha uhai WA viumbe.
Wenye Elimu msijisahau, Elimu sio Akili.
Elimu haizai Akili isipokuwa Akili ndio inazaa Elimu.
Elimu ni Kama mwezi, unasharabu mwanga kutoka kwenye...
Benki ya Maendeleo ya Afrika imemualika Rais Samia Suluhu kuhudhuria Jukwaa la Wawekezaji Afrika litakalotoa fursa ya kuwakutanisha na wawekezaji na kusaidia upatikanaji wa mitaji.
Mualiko huo umetolewa leo na Rais wa Benki hiyo, Dkt Adesina Akinumwi alipozungumza na Rais Samia kwa njia ya simu...
Habari za jioni wakuu,
Binafsi nimekuwa nikipitia changamoto sana nifanyaje au ninunue vyakula gani ambayo vitaweza kunifikisha mwezi mzima.
Naombeni uzoefu wenu katika hili, ni nini unazingatia, utaratibu upi unautumia kwenye kufanya manunuzi ya chakula.
Ukiweza kusema ni vyakula gani huwa...
Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz
1. Diamond Platnumz - 33.6M
2. Rayvanny 20.9M
3. Alikiba 13.6M
4. Harmonize 11.8M
5. Zuchu 11.4M
6. Mbosso 11.3M
7. Lavalava 4.77M
8. Nandy 4.73M
9. Macvoice 3.1M
10. Marioo 2.9M
Toka mwezi agosti mimi nalipa kifurushi cha bomba lakini napata chaneli za Compact plus kwa mwezi wa tatu mtawalia.
Sijawahi kufanya magumashi yoyote yale kwebye king'amuzi hiki, yaani mpaka nimeanza kuogopa.
Je, wanaweza kunichaji zaidi siku wakinishtukia?
MAELFU Ya watu duniani wanatumia mtandao maarufu wa WhatsApp kuwasiliana na ndugu, jamaa na watu wao wa karibu kwa meseji na video lakini watu wengi watashindwa kuitumia huduma hiyo kutokana na mifumo ya simu zao kuanzia mwezi Novemba mwaka huu.
Kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa na chapisho la...
Wakuu naamini umu kuna manguli wa utafutaji.
Nina shida na million 3 baada ya mwezi mmoja ili nifanyie uwekezaji fulani.
Kwa sasa nna laki tano nataka izae million 3 ndani ya mwezi mmoja kwa kuwa sikopesheki inabidi nipambane mwenyewe.
Nisaidieni uzoefu mbinu gani naweza tumia ya halali ili...
Series Ya Squid Game Imefanikiwa Kuingiza Takriban Dola Za Kimarekani Milioni 900 Ikiwa Ni Zaidi Ya Trilioni 2 Tshs Ikiwa Na Mwezi Mmoja Tu Tangu Itoke Rasmi.
-
-
Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Bloomberg Series Hiyo Imetazamwa Na Watu Milioni 132 Kwenye Siku 23 Za Mwanzo Ilipoachiwa Na Hii Kuvunja...
Asalaam aleykum!
Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.
Mnamo mwezi wa tatu mwaka huu 2021 baada ya kutafakari na kujiuliza mambo mengi kuhusu akili yangu na kugundua kwamba natumia asilimia ndogo sana ya akili yangu katika maisha ya kila siku wakati nina uwezo mkubwa sana...
Ni watumishi wa serikali kutoka idara tofouti tofouti nyeti na zisizo nyeti, watumishi hawa wa Mama Samiah Suluhu Hassani wanatia huruma mno kila ifikapo katikati ya mwezi.
Na kwa hili ilivyo kwa sasa ya vitu kupanda bei, kuna kufanya maendeleo kweli ukiwa mtumishi wa serikali?
Niwaase...
Dear Nyerere tunakukumbuka Baba yetu, ulale mahala pema peponi.
Baba PSSSF chini ya Serikali iliyopo madarakani haijatulipa MAFAO yetu sisi na ma Askari Polisi tulio staafu mwezi wa 11 Mwaka jana hadi leo hii tarehe 14/10/2021 zikiwemo na Nauli ambazo zipo kisheria kwamba tupewe turudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.