mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwa dhaifu kwa mwanamke. Haitatokea.

    Nitampa heshima yake na kumhudumia kadri ya uwezo wangu ila akiringa tu mbele zangu biashara imeisha. Wife analijua hili na anaishi na Mimi kwa umakini mkubwa. Mtu anayeitwa mwanamke hawezi kunipeleka au kuniringia kisa nampenda. Nyie wanaume wenzangu mnaopelekwa mpaka na ma bar maids...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja kati ya Washtaki watatu dhidi ya Antony aondoa malalamiko yake

    Winga huyo wa Manchester United alifunguliwa mashtaka na Wanawake watatu ya unyanyasaji na kuwashambulia, hiyo wamebaki wawili katika mchakato huo. Antony (23) kwa sasa yupo nje ya majukumu ya klabu yake kwa ajili ya kushughulikia mashtaka hayo yakiwemo dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake, Gabriela...
  3. JamiiForums Tanzania Pitia hapa utathimini kama Mwanamke wako au Mkeo anataka/keshaanza kukusaliti!!

    1👉Je mwanamke wako ameanza kuwa na mitoko au safari kuliko ilivyokuwa huko nyuma??. 2👉Je mwanamke wako macho yake na akili yake yote ni kuwa karibu na simu yake?? 3👉Je kwa Sasa amekuwa active zaidi kwenye social media hususan IG na FB? 4👉Je anapost post picha za mitego? 5👉Je kwa Sasa hajali...
  4. JamiiForums Tanzania Huwa ninawaza hadi leo huyu Mwanamke alikua na lengo gani hasa namimi mdogo hivi (miaka 9)

    Habari wakuu Haka ni kastori kafupi namimi niwaambie leo. Nilipokuwa Nina miaka tisa siku moja jioni wakati naenda ziwani kuchota maji jioni nilikutana na mama mweupe kidogo wa makamo Kama 23 yrs hivi amesimama kandoa ya njia niliyokuwa napita ambapo kulikuwa na kichaka pembeni yake...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake waliofanikiwa sana kiuchumi na career zao, kuliko wote Tanzania pia wamezaa watoto wengi uzazi sio sababu ya mwanamke kufeli

    Wanawake wengi wa kisasa waoga na wavivu sana kuzaa Mwanamke umeolewa ila anampangia mume wake idadi ya watoto atakaozaa. Mtoto mmoja ama wawili tu Wanasema watoto wanaharibu career zao. Kwa uchunguzi wangu binafsi wanawake tatu bora waliofanikiwa kuliko wote tanzania ni hawa Namba moja...
  6. JamiiForums Tanzania Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Hii kitu ni balaa sana, Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho, Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?"...
  7. JamiiForums Tanzania Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

    Tiririkeni sasa tuone mmejipangaje. Siyo kila siku mnawananga wanaume hivi mara wanaume vilee.. Lile chama la "Mwanaume kataa ndoa" njooni hapa mpewe sababu za kutokukataa ndoa.. Wanawake huu ndo uzi wenu ambao ndiyo turufu pekee ya kuligaragaza hili chama la "mwanaume kataa ndoa".
  8. JamiiForums Tanzania Zimeenda wapi nyakati zile ambazo ukiachana na mwanamke unampokonya vitu vyako vyote ulivyompa?

    Hiyo miaka ya 90 mzee baba. Nakumbuka mwaka 94 nikiwa darasa la tatu kuna jamaa mmoja alikuwa kampangishia mchepuko wake nyumbani kwetu then mchepuko ukazingua, jamaa siku hiyo alikuja zake na pick up yake ya kukodi akachukua vitu vyote alivyomnunulia yule mchepuko pamoja na vingine kwa ajili...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke anatangaza mapenzi yake hadharani; wewe nani kusema hadharani unampenda zaidi?

    It’s a culture issue (watanzania tuna matatizo), kusema unampenda mwanamke wa mwenzako nchi za wenzetu it’s a very disrespectful situation. Ni kwa sababu tunaishi Tanzania tu; nchi nyingine utaumizwa. Halafu kuna watu wanasifia ujinga wa Harmonize; huwezi kumuimbia mapenzi mchumba wa mtu...
  10. JamiiForums Tanzania Moja ya kitu ambacho siwezi thubutu kukifanya ni Kumnunulia Mwanamke Chupi

    Ukihitaji salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya tu!. Kuna mambo mawili ambayo siwezi katakata na sitothubutu kuyafanya kwa kiumbe anayeitwa "MWANAMKE" Mambo hayo ni :- 1.KUMSOMESHA 2.KUMNUNULIA NGUO YA NDANI (Waswahili huita "CHUPI") Mambo mengine yote naweza kuyafanya...
  11. JamiiForums Tanzania Anampenda baba yake mzazi kimapenzi mpaka anamuonea wivu mama yake!

    Kuna mwanamke fulani nilimkuta baa fulani analewa nikaona acha nijisogeze, kweli nikafanikiwa kukaa naye hakuniringi. Alikuwa analewa huku analia nikamuuliza Mbona unalia akagoma kuniambia ila baada ya kumbembeleza ili anijuze Sababu za Yeye kulia akaniambia ataniambia. Muda ulikwenda na...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke anafutwa machozi kwa Pesa siyo leso

    Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!. Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute machozi nani? Leo sina mengi,nadhani ujumbe umefika. Sina muda wa kuandika nina muda wa kutumia pesa.
  13. JamiiForums Tanzania Vijana jitahidini muoe mwanamke anayekupenda

    Wapo vijana humu wanaojiandaa na ndoa, nawaasa vijana wa kiume, usitumie nguvu nyingi Sana kumshawishi mwanamke unayempenda ili aridhie kuwa na wewe... unaweza tumia nguvu ya pesa kumshawishi ili umtumie kama part time, Ila kwenye swala la ndoa usidhubutu kabisa kuoa mwanamke asiyekupenda...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume anaemsikiliza mwanamke hawezi kufeli

    Ndio hivyo Kwani uongo?? Tatizo hamtusikilizagi Na wote mnaotusikiliza mnatoboaga Sana kimaisha 1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your wives. Treat your wife with understanding as you live together. She may be weaker than you are, but...
  15. JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

    Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana. Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa kwenye kichwa changu na nisiamini kama inawezekana ni " Ustaaz nna miaka 10 sijatongozwa" "Nikitaka...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wa karibu wa maumivu ya mwanamke na upendo wake

    Anaandika Robert Heriel Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kuna uhusiano wa karibu wa Maumivu ya Mwanamke na upendo wake. Wanasema chungu tamu. Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kadiri Mwanamke anavyoumia na kupata uchungu kwàajili yako ndivyo unavyozidi kuuteka Moyo wake. Yaani ndivyo anavyozidi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Africa bado sana mwanamke kushika madaraka makubwa kama ya Urais

    Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation! Tulitegemea wangelifanya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa. HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA...
  18. JamiiForums Tanzania CCM ni Sawa na Mwanamke Aliyewalisha Limbwata Watanzania

    Kama.huamini katika limbwata na mambo hayo basi tafuta sentesi sahihi.amabayo unaweza kuitumia juu ya haya tunayotendewa na CCM. Ukiritimba wa CCM kwa Watanzania umevuka mipaka na si wa kuvumilia......... Imagime hadi wanavunja sheria za nchi lakini wapi... tupo tumetoa macho tunalumbana...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi mimba inakuwa ni ya mwanaume au mwanamke?

    NI swali nimeuliza hapo, nisaidie kujibu basi. Mimba huwa inakuwa ya mwanaume au mwanamke?
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

    Kwema Wakuu! Bado nipo natoa mafunzo Kwa ninyi vijana wa Forex, Watoto wa kubet ambao Maisha yanawachanganya. Vijana tatuteni Pesa kwaajili ya Wanawake wanaowapenda ili wawaheshimu na kuwatii. Elewa kuwa Pesa haimfanyi Mwanamke akutii (akupende) isipokuwa Pesa inachochea furaha ya mwanamke Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…