mwanamke

  1. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli mwanaume anatakiwa kumzidi mwanamke vitu hivi ili mahusiano yadumu?

    Wasalaam wakuu Kuna hili jambo nimelisikia kwa muda sasa kuwa ili mwanamke amtii mwanaume kwenye mahusiano; iwe ni urafiki wa mwanzo,uchumba ama ndoa inabidi mwanaume amzidi mwanamke hivi vitu;- UMRI PESA ELIMU/AKILI
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pesa haimpi kiburi Mwanamke bali humpa uwezo wa kutovumilia ujinga

    Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii. Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na...
  3. BB_DANGOTE

    JamiiForums Tanzania Usioe wala kuanzisha na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa namna hii, utajuta

    Habari ya wakati huu Wakuu, Naomba Niongee na Wanaume, Usioe wala Kudate na Aina Hii Ya Wanawake Utajutia.. ‎ ‎1. Feminist ‎ ‎Anaetamani kuwa juu wanajifanya wanapambana sana na maisha ‎ ‎Wanahisi Mwanaume Sio Kipaumbele Kwenye Maisha yao ‎ ‎Avoid This Kind Of Women Ataharibu maisha yako na...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuelewe: Kama sisi hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja. Vivyohivyo kwa wanawake. Hakuna mwanamke anayeridhika na mwanaume mmoja!

    Habari za Sabato! Saikolojia iko hivyo. Kihisia na kiakili mwanaume na mwanamke hawana tofauti yoyote ile. Wanawake wana wivu kama tulivyo wanaume. Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo wanaume. Jinsi mwanaume ukikutana na mwanamke mwenye mvuto unamtamani licha ya kuwa una mke na watoto...
  5. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume anaweza kumuacha mwanamke baada ya mimba, sioni tatizo mwanamke kumuacha mwanaume fukara

    Kama mwanaume anaweza kumuacha mwanamke baada ya kumtia mimba, Sioni tatizo mwanamke akimuacha mwanaume aliye poteza Kazi, Ajira au Fukara
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, Ulisumbuliwa na Ugonjwa Gani ukawa unajitibu mwenyewe Bila Kujua Kuwa Chanzo ni Ujauzito Mchanga?

    Katika maisha ya kila siku, wanawake wengi hupitia mabadiliko mbalimbali ya kiafya bila kuelewa chanzo chake halisi. Wakati mwingine, dalili zinazoonekana kama magonjwa ya kawaida zinaweza kuwa ishara ya ujauzito mchanga. Ni muhimu kwa mwanamke kuutambua mwili wake na kufahamu mabadiliko...
  7. Hekima ni silaha

    JamiiForums Tanzania Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

    Kwa wanajamii wote wa hii platform, binafsi nimekuwa nikiingia na kusoma threads mbalimbali zinazofikishwa kwenye hili jukwaa. Kwa kifupi sikuwa active member mpaka nilipoamua kujiunga rasmi kwa siku hii ya leo. Binafsi ni mtu wa makamo, almost 54 years and above, ni mwenyeji wa kusini ila...
  8. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Mwanamke usikubali manyanyaso, tujitahidi kufanya kazi

    Shikamoon wakubwa zangu wadogo zangu hamjambo Habari za jumapili. Leo niongee na dada zangu na wadogo zangu waliopo humu ni jinsi gani utateseka na kuumia ikiwa tu, huna pesa yako mwenyewe. Mfano ,mtu anakutongoza,anaonesha nia kabisa ya kukutaka na usumbufu wa hapa na pale, lakini siku...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je mwanamke anaweza kushika mimba akiwa na mimba?

    Kisayansi inawezekana mwanamke kupata mimba nyingine akiwa tayari ana mimba, ingawa jambo hili ni adimu sana na hutokea kwa nadra mno duniani. Hali hii ya kitabibu inajulikana kama Superfetation. Katika historia ya kitabibu, kuna visa vichache sana (visivyozidi 15) vilivyothibitishwa duniani...
  10. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kujitafutia kipato kwa njia ya heshima na halali ni wajibu wa lazima kama mtu mzima

    Siku za nyuma kuna member aliandika kuhusu mabinti wa chuo kikuu ambao wanafanya kazi kwenye mgahawa wa kuuza chakula wakiwa bado wanasoma. Members wengi waliwapongeza lakini ukiangalia cha ajabu haukioni. Kwanza kabisa mabinti wanakosa vipindi. Utaratibu wa wanafunzi kufanya kazi upo hata nchi...
  11. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu, wanachanganya sana!

    Nimefanya tafiti nimegundua mwanamke anaweza ku squirt (katerero) na asifike kileleni!, na anaweza asi squirt na akafika kileleni!!. Kiufupi ku squirt ni jambo tofauti nakufika kileleni!, na kufika kileleni ni jambo tofauti na ku squirt!.. japokuwa haya mambo mawili yanaweza kutokea kwa wakati...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vipato wanawapotosha Wanawake Maskini. Sasa mwanamke aandike mali kwa jina lake kwa kipato kipi?

    WANAWAKE WENYE VIPATO WANAWAPOTOSHA WANAWAKE MASKINI. SASA MWANAMKE AANDIKE MALI KWA JINA LAKE KWA KIPATO KIPI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Asilimia kubwa ya Wanawake ni tegemezi ile yenyewe. Yaani mwanamke tegemezi tunazungumzia mwanamke asiye na kazi, asiye na elimu, asiye na ujuzi...
  13. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Walahi nime mblock yule mwanamke

    Nilikuwa namheshimu sana hasa kwa ushauri wake wa mambo ya fedha na uwekezaji. Kiumri anaweza kuwa kama binti yangu, LAKINI Kwa ule upuuzi na ile sumu aliyoisambaza kwa wanawake wenzie,,,waaalaaahi bilaahi nimemdilitia mbaali na kumblock kila pahala. Chap kwa haraka nafasi yake nimemuweka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akibiwa hospitalini na mwanaume wake baada ya kutembelewa na mzazi mwenzie.

    Daaa sijui kwa Nini inakuwa hivi.
  15. CONCHEY

    JamiiForums Tanzania Mwanamke na haki za ndoa

    TAMU YA KESI ILIYO AMULIWA NA ( SUPREME COURT OF INDIA) ANNA SAURABY DUTT VS. LIEUTENANT COLONEL CIVIL APPEALNO.25076 0F 2024 MAJAJI WALIELEZA YAFUATAYO KATIKA MAHAKAMA HIYO... Mwanamke aliyesoma na mwenye sifa za kitaaluma hawezi kutarajiwa kufungiwa ndani ya mipaka migumu ya majukumu ya ndoa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Asha Said Hamis a.k.a, Asha Kimambi. Mwanamke wa Kimakonde kutokea mkoa wa Lindi, aliewaletea Watanzania kiumbe kinaitwa Mange Kimambi

  17. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Umefaidika na nini baada ya kuoa mwanamke mpambanaji/mwenye kipato?

    Ugonile, kumeibuka kasumba ya wanaume kutaka kuoa wanawake wanaojimudu kiuchumi/wenye kazi au biashara inayowaingizia kipato. Vipi wanaleta chochote mezani kama mlivotarajia au tuwaache na maisha yenu?
  18. Sexer

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke mzuri wa kuoa

    Binti mrembo ambaye yuko tayari kutulia na mme aje inbox chap, umri wangu ni miaka 37, pia asome Uzi huu na azingatie Waepuke wanawake masikini
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Katika kitu ambacho sitaruhusu, ni mwanamke kunipanda kichwani

    Mke wangu sasa tuna mwaka wa kumi, ananijua vizuri kabisa. Sijawahi kumpiga na sitampiga kabisa mpaka mwisho wa safari yetu. Ila nishamweleza msimamo na mtazamo wangu tangu tukiwa wachumba. Baadaye tulipoishi pamoja alileta vijitabia vya "nimechoka" kitandani, yaani yeye ndiye anipangie ratiba...
  20. Afisa_Nkai

    JamiiForums Tanzania Kwa ninayoyaona target ya nyoka pale bustanini haikuwa mwanamke

    Wakuu mimi niko salama!. Nirudi kwenye mada nimekuja kugundua target ya nyoka pale bustanini haikuwa mwanamke kabisa, ingekuwa ni mwanamke basi eva alipokula tu lile tunda biashara ingeishia pale pale lakini kwanini sasa ilimfikia mwanaume?, kumaanisha kwamba target ya nyoka ilikuwa ni mwanaume...
Back
Top Bottom