mwanamke

  1. bless on

    JamiiForums Tanzania Usifanye ujinga wa kumbadilisha ‘mwanamke aliyeharibika’ ili uishi naye

    Mahusiano ya kudumu hayataki mbwembwe. Mahusiano ya kudumu hayataki hisia kuzidi akili. Mahusiano ya kudumu yanahitaji uhalisia sio kuigiza. Mahusiano ya kudumu yanahitaji msingi mzuri kuanzia mwanzo. Niamini mimi, mbwembwe na maigizo vitafika mwisho na hamtaelewana ila mkichukuana katika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushamba gani huu? Unatongoza mwanamke wa baa kwa kumnunulia Chocolate!

    Huu ni upumbavu Unakuja baa kwa ushamba wako unaagiza Absolute Vodka alafu unatoa chocolate ya 5000 na kumpa muhudumu. Muhudumu ambae kila mtu anamla kirahisi kama vile kula pipi ya kijiti ya watoto wa chekechea ambayo inaliwa na kila mtoto.
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Navyozidi kuwa mtu mzima nagundua kuwa mapepo huwa yapo katika jamii duni, ukishafanikiwa utayaita afya ya akili

    UKishafanikiwa utayaita afya ya akili. Utamwaisha mtoto wako milembe mapema mnooo Ukifika kule utagundua afya ya akili ya mwananadamu ni uwanda mpana sanaa wakati huku mtaani afya ya akili inapimwa kwa kiwango cha kuokota makopo na kukimbia sokoni matako wazi.
  4. Hekima ni Mwalimu

    JamiiForums Tanzania Nilivyogundua tu Mwanamke ana gari, nikaona huyu siyo Level zangu

    Leo bana nikiwa katika harakati zangu za siku, kulikua Kuna sehemu nimetulia Ghafla nikaona mwanamke Mzuri na yeye pia alikua ametulia Kwa mazingira yake kumfata ilikua noma Nikaona hapa akiinuka tu namfata nichukue namba Akainuka nikamfata nashangaa akaenda kwenye gari raver 4 . Nikazuga...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana wivu wa ajabu sana.Ukiwa ujaoa hakuna mwenye mda na wewe,Ukioa kila mwanamke analazimisha kuwa wake

    Kipindi sijaoa hakuna mwanamke mwenye kusumbuka na mimi ,kila niliyetaka kumuoa alikuwa hataki. Baada ya kuoa na maisha ya ndoa yani kila mwanamke akiona pete kidoleni au kunijua wanatengeneza mazingira washike nafasi hiyo. Walikuwa wapi siku zote.
  6. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Epuka kuzama kwenye penzi na mwanamke wa mtandaoni

    Habari ndugu zangu. Wewe mwanaume mwenzangu usije ukazama kabisa penzini na mwanamke uliyekutana naye katika mitandao ya kijamii Hadi ukafikia hatua ya kutaka kumuoa. Mmekutana huko mkaanza mapenzi siku mkikutana macho macho kula kitumbua fresh kabisa lakini usiingie mazima "UTAJUTA" Sasa...
  7. Walletking

    JamiiForums Tanzania Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu,

    Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu, maadili mema na nia ya kujenga uhusiano wa kweli unaoweza kuishia kwenye ndoa. Umri ninaopendelea ni miaka 20 hadi 32. Ninaamini uhusiano mzuri huanza...
  8. venchwa

    JamiiForums Tanzania Sijwahi kuamini kama JF kuna mwanamke ndo maana nakuwaga na machale sizamagi PM

    Yaan hii iko ndani ya akili yangu kwamba wengi kama si wote wanaotumia jukwaa hili wenye Majina ya Kike ni Njemba za kiume Akili inanituma hivo Kuanzina miandiko, exposure na mitego yao Unajua huyu ni Mwanaume , ila mwanamke jina tu 🙌🏼
  9. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiomba muachane, eti naye ana kwao, sijui nini, bro tuliza hasira, usikurupuke tu ondoka, labda kama umemchoka

    Kaka yangu alikorofishana na mkewe yani shemeji yangu, shem akabeba nguo zake akasepa kwao hapohapo dar, bro akawaomba masister zetu ushauri, dada zetu hawana dogo sister mkubwa akasema piga chini tafuta mwingine. Mara shem kapiga simu Kwa bro akamwambia amfate na gari Yao arudi kwake haraka...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ananisumbua sana huyu mwanamke

    Wakuu Nina ndoa ya miaka 10 wife ana sumbua sana anataka tuachane sababu siijui amekubali na dharau sana anafai nimpe nauli arudi kwao hanitaki tena. Tumezaa watoto watatu tunaishi Mwanza, yeye kwao ni Mbeya na mimi kwetu Singida. Nipeni ushauri wakuu. Tumejenga nyumba moja na biashara ya duka
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rose Shaboka yupo sahihi, Mwanamke hapaswi kuishia kazi za nyumbani. Hayo ni mawazo finyu

    Hamjambo! Binti zetu wa Tibeli mwanamke mwenye mawazo ya kinyumbani nyumbani Anakosa video vya kuwa Mke. Mke mwema haishii tuu kuwaza kufua Boxers, sijui kupika, na kuosha vyombo. Mwanamke ambaye ni mtu na sio binadamu huwezi mtazama kwa angle Moja au nafasi Mojave. Mwanamke nje ya kuwa mke...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Elimu, Fedha, Zisikutoe Kwenye Nafasi yako Mwanamke.

    Sifa Kuu ya Nafsi ni kujihesabia haki hata kama imekosea, ni vigumu kukubali makosa, Sio Ajabu ukaona Mtu badala ya kutengeneza Mambo, anazidi kuharibu, kwani tayari Moyo Umeumia. Na watu wanaomsikiliza Wanaambukizwa Roho YA Uchungu na Ukosefu wakifikiri wanakuwa empowerd. Kumbe Cheo na Nafasi...
  13. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu ngoja niwaambie kitu: Mwanamke atakayekubali kuwa chini Yako na kukusikiliza ni yule uliyemzidi Kila kitu tu

    Ngoja nipumzike siasa kidogo jioni hii: Unaishi na mwanamke ambaye mpo sawa almost Kila kitu usitegemee atakuheshimu kwenye ndoa, utabaki unalalamika ana kucheat na huna cha kumfanya. Kwa mfano: Salary advance mnaomba wote, kikundi/kikoba mnacheza wote, kwanye gari nauli mnabisha wote🤣, jero...
  14. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuambia "Nipe tu Mimba mtoto nitalea mwenyewe", huo ni mtego, utalea tu

    Makubaliano ya "Nipe Mimba Tu" ni Mtego na Haramu: Inabainishwa kuwa mwanamke akimwambia mwanamume "nipe tu ujauzito kulea nitalea mwenyewe," huo ni mtego na ni haramu kisheria,,. Makubaliano kama hayo yanalinganishwa na biashara haramu (kama ya bangi) ambayo haina uhalali mbele ya sheria tangu...
  15. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kumuwin mwanamke yeyote chukua code hizi

    Usiku mwema wadau.....Leo nimeona niwape siri mojawapo ya kuwawin hawa viumbe. Kwa maligendary hii haiwahusu sana labda muongeze maarifa tu. Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Jimmy na Suzzy (mfano) Hayae twende sawa; Jimmy: Mambo vipi mrembo Suzzy: Safi tu Jimmy uko poa Jimmy: Niko poa tu...
  16. Toredo0

    JamiiForums Tanzania Kumuelewa mwanamke ni kazi kweli kweli

    Hichi kitu nikikifikiria bado majibu hayaji kichwani. Mwanamke unakuaje katika mahusiano ya dhati na mtu wako huenda mnapendana sana tu lkn huku nje mkiombwa namba mnatoa tu safi,na baadhi yenu mnarespond kila kitu kweli kuwatetea dada zetu ni kazi hatujuwi tuwaweke fungu lipi?
  17. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli mwanaume anatakiwa kumzidi mwanamke vitu hivi ili mahusiano yadumu?

    Wasalaam wakuu Kuna hili jambo nimelisikia kwa muda sasa kuwa ili mwanamke amtii mwanaume kwenye mahusiano; iwe ni urafiki wa mwanzo,uchumba ama ndoa inabidi mwanaume amzidi mwanamke hivi vitu;- UMRI PESA ELIMU/AKILI
  18. M

    JamiiForums Tanzania Pesa haimpi kiburi Mwanamke bali humpa uwezo wa kutovumilia ujinga

    Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii. Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na...
  19. BB_DANGOTE

    JamiiForums Tanzania Usioe wala kuanzisha na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wa namna hii, utajuta

    Habari ya wakati huu Wakuu, Naomba Niongee na Wanaume, Usioe wala Kudate na Aina Hii Ya Wanawake Utajutia.. ‎ ‎1. Feminist ‎ ‎Anaetamani kuwa juu wanajifanya wanapambana sana na maisha ‎ ‎Wanahisi Mwanaume Sio Kipaumbele Kwenye Maisha yao ‎ ‎Avoid This Kind Of Women Ataharibu maisha yako na...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuelewe: Kama sisi hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja. Vivyohivyo kwa wanawake. Hakuna mwanamke anayeridhika na mwanaume mmoja!

    Habari za Sabato! Saikolojia iko hivyo. Kihisia na kiakili mwanaume na mwanamke hawana tofauti yoyote ile. Wanawake wana wivu kama tulivyo wanaume. Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo wanaume. Jinsi mwanaume ukikutana na mwanamke mwenye mvuto unamtamani licha ya kuwa una mke na watoto...
Back
Top Bottom