mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
  2. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kuwa mwanaume na mwanamke wenye damu zenye chaji tofauti +ve na -ve hawawezi kupata mtoto?

    Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya. Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
  3. JamiiForums Tanzania Ewe kijana wa kiume wakwe zako wa leo ndio maadui zako wa kesho baada ya ndoa hivyo ishi nao kwa akiri

    Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache 1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
  4. JamiiForums Tanzania Nikilala na mwanamke ananing’ang’ania sana

    Habari zenu Waungwana kuna issues moja inanitesa sana, mara tu ninapofanya mapenzi na mwanamke yoyote yule, lazima mwanamke huyo avutie na mimi hata kama tulifanya bahati mbaya, ataanza kunipenda na kunionea wivu, wanawake 7 sasa niliowala kibahati mbaya wananing’ang’ania sana sasa sijui shida...
  5. JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke kisa nimemzalisha

    .
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye sifa hizi, muda wako wa kukutana na mwenza wako umefika

    Mwonekano 1. Mrefu 2. Mweupe Umri Kuanzia miaka 20-27 Dini Mkristo (Msabato) Kabila Msukuma ( hasahasa Mnyantuzu), Muha au Mhehe. Elimu Diploma/ Degree SIFA ZANGU Mwonekano 1. Mrefu 2. Mweusi  Umri Miaka 28  Dini Mkristo (Msabato)  Kabila Msukuma (Mnyantuzu)  Elimu Diploma Kazi...
  7. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu vya maarifa kwa Mwanamke

    Habari rafiki. Naitwa Eva Mrema. Ni muelimishaji, kungwi na muandishi. Nakuletea ofa kabambe. Vitabu hivi viwili vya maarifa kwa mwanamke vinauzwa elfu 20 hardcopy. Lakini kutoka kwenye uzi huu utavipata kwa elfu 16 tu. SOFTCOPY utapata kwa elfu 3 tu, badala ya elfu 5. Karibu sana...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni chombo

    1 Pet 3:7 1 Petro 3:7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe. Kadhalika nanyi waume, katika kuishi na wake zenu mnapaswa kutambua kwamba wao ni dhaifu na...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu vipandikizi vya uzazi kwa mwanamke (Kijiti)

    Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa Je anaweza kupata mimba mara baada yakukitoa ama atasubiri mpaka miaka hiyo mitano (5) ifike
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume, usifanye mambo ya kijinga ukiachwa na mwanamke. Ishi maisha yako na usonge mbele

    Wanaume wengi huchanganyikiwa kwa sababu tu mwanamke huachana nao. Hii inasababisha wanaume: - Kunywa pombe na kulewa, wengine wanatumia dawa za mitishamba na kichawi kwa lengo la kumpata. - Wanapoteza mwelekeo wa maisha na kuanza kutokuwa na tija, kwa sababu ya kuvunjika moyo wengine...
  11. JamiiForums Tanzania Ni bora mwanaume anaekwenda kucheat na akarudi nyumbani. Kuliko mwanamke anayekufanyq ulee watoto ambao sio wako kwa maisha yako yote bila kujua

    This weekend nililetewa kesi moja ya mahusiano kuitatua. Wakati wa maongezo niligundia jambo ambalo lilinifanya niwaze na kujiuliza "Je si ni bora kuishi na mwanaume mchepukaji ila anahudimia familia yake kumjali, kumheshimu na kumpenda mke wake kuliko kuishi na mwanamke anayekufanya ulee watoto...
  12. JamiiForums Tanzania Huwezi lazimisha Mwanamke akuheshimu, Mwanamke anamheshimu mwanaume anayempenda

    HUWEZI LAZIMISHA MWANAMKE AKUHESHIMU, MWANAMKE ANAMHESHIMU MWANAUME ANAYEMPENDA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi hudhani kúmpiga Mwanamke ndio humfanya Mwanamke awe mtiifu na mwenye heshima. Wengine huwafokea na kuwatukana na kuwatolea maneno makali kwa kudhani kufanya hivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke tajiri kuwahi kutokea dunia, aliyeyesifika kwa ubahili ulio tukuka

    Jinsi Hetty Green Alivyokuwa 'Mwanamke Tajiri Zaidi Nchini Amerika' Wakati wa Enzi ya miaka ya dhababu "GILDED AGE" Akiitwa "Mchawi wa Wall Street," Hetty Green alikuwa mmoja wa watu tajiri zaidi nchini Marekani mwanzoni mwa karne ya 20. Katika karne ya 19 nchini Amerika, ukuaji wa viwanda...
  14. JamiiForums Tanzania Usisamehe mpenzi msaliti KAMWE!

    Kuna mwana, alizifuma text za mke wake zilizoonesha dhahiri shahiri ametoka kuliwa dodo siku za karibuni nyumba ya wageni, mwana kaomba kila mtu ushauri wengi walimpa ushauri kuwa asamehe walee watoto hayo mambo yapo blaa blaaa kibao. Alipo fika kwangu sikua na maneno mengi nikamwambia piga...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume wanne wamcharaza mwanamke viboko kisa dini

    Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye. Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa dini Hizi laana zitakuja kuwatafuna brazaj === Ujumbe: Video imeondolewa.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke usikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya

    Majina haya ni mabaya n yanatweza utu wa mwanamke lkn yamepakwa nakshi kuyafanya yaonekane mazuri. Kamwe wanawake msiyakubali na msikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya. Ifuatayo ni tafsiri ya kila jina kwa mujibu wa tafutishi za Sexless unit :- 1. Lishangazi ni kahaba aliyezeeka...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela. Hakuna mwanamke mgumu

    Ukitaka watoto wazuri wakike lazima ugharamie
  18. JamiiForums Tanzania Maneno ya Mchepuko: "Bibi yangu aliwahi kuniambia mwanaume hashibi mwanamke mmoja"

    Pia akampa mfano, "unaona pale kwenye banda la mbuzi, si unaona kuna madume matatu ila majike 38?" Vivyo hivyo na kwa wanyama wengine kama simba, dume moja huwa na kundi la majike, na huo ndo huufanya kama ufalme wake. Bibi yake akamuambia kwenye maisha kuna maneno ya kuambiwa na kuna asili ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ewe mwanamke jithamini

    Hapo zamani za kale jamii nyingi za kiafrika hazikumthamini mwanamke. Mwanamke hakupewa nafasi yeyote katika jamii. Mtoto wa kike hakupelekwa shule, hakuruhusiwa kumiliki mali, hakuweza kufanya maamuzi yeyote katika jamii yake zaidi zaidi Watoto wa kike walisubiri wakikua waozeshwe katika...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaachika kutoka kwa mume wake kisa mchepuko halafu anaenda kuambukizwa HIV kitaalamu tunaitaje?

    Baada ya mwanamke kujua/ kufahamu mume wake anachepuka na kidada fulani jirani,mwanamke anaachika huku akidai hawezi kuvumilia mwanaume amletee magonjwa ya zinaa na UKIMWI Akiwa huko anakutana na mwanaume mwingine na kukubali kuolewa naye na kupachikwa ujauzito na siku ya clinic anaambiwa ana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…