mwanamke

  1. Mwalimu Adolph Longino

    JamiiForums Tanzania Ujumi: Ni sahihi na rahisi kutamka ntu, mwananke, ntoto kuliko mtu, mwanamke na mtu

    Salaam wanajamvi! Katika Mambo ambayo watu wa Kusini (Lindi na Mtwara) husemwa na kudhihakiwa ni utamshi wetu wa kipekee wa baadhi ya maneno yanayohusisha ncha ya ulimi kama vile; mwananke, ntoto, nti, nshale nk. Wanaotucheka hudhani tunakosea utamshi sahihi wa lugha adhimu ya Kiswahili kumbe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nafasi ya madaktari kike na wahudumu wa kike hukatika katika utoaji wa huduma za afya

    Serikali inapaswa kuongeza idadi wa madaktari wa kike ,ili Wawa hudumie Wana wake pale wanapofika hospitalini. Kufanya hivyo kutapunguza unyanyasaji wa kijinsia na kuongeza ufanisi wa kazi. Kwani ni vyema mwanamke akihudimiwa na mwanamke mwenzie ,hasa pale mgonjwa anapotakiwa kupata...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ambaye hajijali na hajali hawezi kukujali wala kujali Watoto wako

    MWANAMKE AMBAYE HAJIJALI NA HAJALI HAWEZI KUKUJALI WALA KUJALI WATOTO WAKO Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Unaweza ukawa kijana smart na mwenye bidii ya kutafuta maendeleo. Lakini ukajikuta jitihada zako zinaishia ukingoni baada ya kukutana na Mwanamke kisha ukamuoa(ukaamua kuishi naye)...
  4. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

    Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka.......... mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata...
  5. RedPill Prophet

    JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke asiye bikra kama hujawahi kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti

    Kama mwanamume, ikiwa utaoa au kuchumbiana na mtu ambaye si bikira kwa muda mrefu, unapaswa uwe na uzoefu wa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti. Kama ni mtu wa Mungu, epuka kuwaoa wanawake wasio bikra, watakufananisha utendaji wako wa chumbani na wanaume waliokuwa nao huko nyuma...
  6. Surya

    JamiiForums Tanzania Pale mwanamke anapodhani kanizidi akili kwenye mahusiano

    Sijue huko kwenu vipi lakini mwenzenu ninayokutana nayo sio mepesi, lakini kwasababu mimi ni mtu makini huwa nafanikiwa kutoka, si Rahis ni mkono wa Mungu tu 😁 Ndani ya kipindi kifupi nimedate na wasichana watatu wa hovyo, unajua kuna vitu huwezi elewa wala kueleza hadi ukutane navyo upate...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa huna hela usipende chatting ndefu na mwanamke

    Nakusanua mwanaume mwenzangu Kama huna hela usipende sana kuchati mara kwa mara na mtoto wa kike Sina maana usiwasiliane na mpenzi wako lahasha ila hii itakusaidia kukwepa vizinga vya hapa na pale Siku ukiwa vizuri financially hapo sasa unaweza kuchati as you wish ila kama huna kitu jitahidi...
  8. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwa sababu za kiuchumi

    Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwasababu za kiuchumi alafu unaanza kulalamika na kulialia eti mke wangu kanikimbia!!! Ulitaka afanyeje? Mti ukimea kando ya kijito cha maji jani lake litakuwa bichi na utazaa matunda yake kwa misimu yake yote. Lakini pindi kijito kikikauka uwe na...
  9. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Najuta kuoa huyu mwanamke! Kununua, kususa na ujeuri juu

    Zamani wakati nakua niliambiwa Wanawake kutoka kanda ya ziwa Ndiyo Wanawake wenye heshima kwa Hii Tanzania hususani kabila la Fulani Fulani la hayati kumbe bwana sio nilikuwa najidanganya tu.Hili kabila la former mkuu wa majeshi Wanawake zao ni jeuri na wana hasira Za kufa mtu aisee Kwanza...
  10. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke nimtafute tena au nibwage?

    Kwema wakuu, kama mada inavojieleza kuna mdada nilikutananae wiki iliyopita kwa kifupi nilimwelewa nikamwomba namba akanipa tukayajenga fresh akakubali baada ya hapo nikaomba nionane nae sehemu mida ya jioni nikamnunulia nyama za kuku nikatoa noti ya af10 nikalipa. sasa yule demu baada ya kuiona...
  11. Half american

    JamiiForums Tanzania Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
  12. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kuwa mwanaume na mwanamke wenye damu zenye chaji tofauti +ve na -ve hawawezi kupata mtoto?

    Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya. Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
  13. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana wa kiume wakwe zako wa leo ndio maadui zako wa kesho baada ya ndoa hivyo ishi nao kwa akiri

    Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache 1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
  14. Se Busca

    JamiiForums Tanzania Nikilala na mwanamke ananing’ang’ania sana

    Habari zenu Waungwana kuna issues moja inanitesa sana, mara tu ninapofanya mapenzi na mwanamke yoyote yule, lazima mwanamke huyo avutie na mimi hata kama tulifanya bahati mbaya, ataanza kunipenda na kunionea wivu, wanawake 7 sasa niliowala kibahati mbaya wananing’ang’ania sana sasa sijui shida...
  15. Utawala2025

    JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke kisa nimemzalisha

    .
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye sifa hizi, muda wako wa kukutana na mwenza wako umefika

    Mwonekano 1. Mrefu 2. Mweupe Umri Kuanzia miaka 20-27 Dini Mkristo (Msabato) Kabila Msukuma ( hasahasa Mnyantuzu), Muha au Mhehe. Elimu Diploma/ Degree SIFA ZANGU Mwonekano 1. Mrefu 2. Mweusi  Umri Miaka 28  Dini Mkristo (Msabato)  Kabila Msukuma (Mnyantuzu)  Elimu Diploma Kazi...
  17. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu vya maarifa kwa Mwanamke

    Habari rafiki. Naitwa Eva Mrema. Ni muelimishaji, kungwi na muandishi. Nakuletea ofa kabambe. Vitabu hivi viwili vya maarifa kwa mwanamke vinauzwa elfu 20 hardcopy. Lakini kutoka kwenye uzi huu utavipata kwa elfu 16 tu. SOFTCOPY utapata kwa elfu 3 tu, badala ya elfu 5. Karibu sana...
  18. Mtukutu wa Nyaigela

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni chombo

    1 Pet 3:7 1 Petro 3:7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe. Kadhalika nanyi waume, katika kuishi na wake zenu mnapaswa kutambua kwamba wao ni dhaifu na...
  19. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu vipandikizi vya uzazi kwa mwanamke (Kijiti)

    Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa Je anaweza kupata mimba mara baada yakukitoa ama atasubiri mpaka miaka hiyo mitano (5) ifike
  20. RedPill Prophet

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, usifanye mambo ya kijinga ukiachwa na mwanamke. Ishi maisha yako na usonge mbele

    Wanaume wengi huchanganyikiwa kwa sababu tu mwanamke huachana nao. Hii inasababisha wanaume: - Kunywa pombe na kulewa, wengine wanatumia dawa za mitishamba na kichawi kwa lengo la kumpata. - Wanapoteza mwelekeo wa maisha na kuanza kutokuwa na tija, kwa sababu ya kuvunjika moyo wengine...
Back
Top Bottom