mwanamke

  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Unamchukuliaje mwanamke ambaye akitongozwa lazima akwambie?

    Kuna mademu ambao wao ni kukutafutia vita na watu. Mwanamke mzuri lazima atongozwe kwanini akitongozwa na marafiki tunaojuana ndo huja kutufitinisha nao lakini wakitongozwa na watu wa mbali huliwa mzigo na Huwa ni Siri zao. Mwanamke akitongozwa ni wajibu wake kukataa bila kumjulisha mmewe au...
  2. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

    Hii imekaaje wakuu, mbona km tumeoa wake za watu?
  3. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Mimi nikijana wa 33yrs natafuta mwanamke wa kumuowa
  4. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

    Hata sijui kama ni mkeo utamfanyaje?
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mwanamke auawa na mwanamke mwenzanke kwa kipigo

    Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ambureni kata ya Ambureni wilayani Arumeru baada ya Mwanamke mmoja ajulikanae Kwa jina la Manka kumshambulia kwa kipigo mwanamke ajulikanae Kwa jina la Rogata Nkya ambae Kwa sasa ni marehemu kisa kuokota kuni shambani kwake Mtuhumiwa. Mdogo wa marehemu...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haraka sana nahitaji Mwanamke wa kwenda nae Kufunga Ndoa ya 'Kibwerere' Mkoani Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa chachu ya kukuza uchumi. Makonda amesema masharti ya ndoa hizo ni pamoja na kati ya wawili hao...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ni mzuri tu haitahitaji makorokoro meengi ili aonekane ana mvuto

    Makucha ya bandia, mawig na makorokoro mengine mnajipamba na kujiremba ni takataka tu.
  8. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke ni mfano wa kuigwa na wadangaji

    Habari zenu!!!! Na habari ya siku nyingi!!! Nianze kwa kuwapa salamu kutoka kwa Mercy na Mage wote ni wazima. Twende...... Jana tarehe 08/07/2024 nilienda kumtembelea mshikaji wangu, idol wangu katika harakati, nilienda dukani kwake. Anaduka kubwa tu la electronics na vitu vingine. Huyu...
  9. 888I

    JamiiForums Tanzania Trump anaendelea kupinga na Mapenzi ya Jinsi Moja

    Rais wa zamani wa Marekani Bado anaendelea kukerwa na Mapenzi ya Jinsi Moja.
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usitafute mwanamke mzuri kuwa katika hali hii. Jinsi ya kutambua Mwanamke aliyembele yako ni mzuri

    USITAFUTE MWANAMKE MZURI UKIWA KATIKA HALI HII. JINSI YA KUTAMBUA MWANAMKE ALIYEMBELE YAKO NI MZURI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usibabaishwe na mawigi, usichanganywe na makeup, usivurugwe na powder sijui manjano masikala. Usije ukalaghaiwa na mavazi na miondoko na mikogo. Usijichanganye...
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 ya thamani kuliko mwili wa mwanamke

    Mpendwa Bachelor, Ikiwa sababu kuu ya kuwa mwanamke ni kwa sababu ana kifurushi kikubwa cha mbele aka Manchester united na kifurushi cha nyuma aka Arsenal, basi hauko kwenye MAPENZI. Haijalishi unafikiria nini, ikiwa unaona tu mali yake ya mwili basi UMEPOTEA katika TAMAA...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana

    Ni dhahiri uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana, na ni mkubwa mno, ukilinganisha na uwezekano wa mwanaume yeyote humu nchini. Elimu, uadilifu, uzoefu wa uongozi katika utumishi wa umma kitaifa na kimataifa, weledi katika kazi, sifa, vigezo na masharti ya kikatiba na...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar

    Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 04 Julai, 2024 imegawa Mitungi ya Gesi 2,000 ( KG...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume anayetosheka na mwanamke mmoja au ni hulka ya mtu tu?

    Nataka kujua kuhusu hiki kitu ambacho kimenifanya nishindwe kabisa kuwaamini wanaume ,je ni kweli wanaume wameumbwa na matamanio kiasi cha kwamba hawawezi kutosheka na mwanamke mmoja?
  15. Tanzanian Dream

    JamiiForums Tanzania Akili kumi za kumteka mwanamke

    Ndoa ni tamu,ndoa ni paradiso,ndoa ni utajiri,wanaosema ndoa ni ujambazi hawajui codes za ndoa. Baba yangu alipenda kuniambia "ignorance is the biggest enemy in your life" mchawi wa mafanikio makubwa yoyote yale ni ujinga,watu wengi wameingia kwenye ndoa na hawajui ndoa ni Nini?hawajui Kama...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ulitongoza mwanamke wako wa kwanza ukiwa na miaka mingapi?

    Mimi nilitongoza kwa mara ya kwanza nikiwa na umri wa miaka 16. Je na ww ulitongoza mara ya kwanza ukiwa na umri gani? Na ulikuwa na hali gani wakati unatongoza, kwa mfano mm wakati na tongoza mara ya kwanza nilikuwa na uoga flani ambao baadae uliisha je ww ilikuwaje wakati unatongoza?
  17. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania WANAUME TUJIFUNZE KWA SAMUEL ETOOUkifanikiwa usitafute penzi jipya mkumbuke uliyeanza nae

    Pichani ni Samuel Eto'o akiwa na mkewe unaambiwa kabla Eto'o hajawa star mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa pesa ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza...
  18. Ma Mshuza

    JamiiForums Tanzania Ndo nakuambia sasa kama hujui. Asilimia 95 ya wanaume wanapenda mwanamke huyu

    Awe na Tako awe na kiuno awe na bastola. Hutaki kajisaidie....mi nshakutana na wanaume wanasema napenda mwanamke namba moja.... Nyooooh...namba moja my ass. Wengi ambao ni vibamia wanaogopa kuyafakamia matinginya sababu hawafiki ndani au hawajui style mujarabu. Unabisha aangalia insta...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?

    "Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala. Sasa Mwanamke au Mkeo huyo...
  20. Mwalimu Adolph Longino

    JamiiForums Tanzania Ujumi: Ni sahihi na rahisi kutamka ntu, mwananke, ntoto kuliko mtu, mwanamke na mtu

    Salaam wanajamvi! Katika Mambo ambayo watu wa Kusini (Lindi na Mtwara) husemwa na kudhihakiwa ni utamshi wetu wa kipekee wa baadhi ya maneno yanayohusisha ncha ya ulimi kama vile; mwananke, ntoto, nti, nshale nk. Wanaotucheka hudhani tunakosea utamshi sahihi wa lugha adhimu ya Kiswahili kumbe...
Back
Top Bottom